NDUGU WANAJF,
NAOMBENI MSAADA KAMA KUNA MTU ANAJUA KAMPUNI YOYOYE INAYO KODISHA VIFAA VIFUATAVYO KWA HAPA DAR AU NAIROBI. TUNAHITAJI KUKODI VIFAA KWA AJILI YA KAZI YA UFUNGAJI MITAMBO
Mobile...
The rising cost of living has made the need for management of personal finances more urgent than ever before. If you have a poor money habit, you should have realised by now that you need to...
Angalia magazeti yetu fulani yalivyokuwa yakiandika vichwa vya habari na linganisha na stori yenyewe.
Mheshimiwa JK Amejiuzulu
Katika hali isiyokuwa ya kawaida( inaendelea ukurasa wa 4)...
Jamani wadau, please naomba msaada mtu anaejua kampuni inayoweza kunitengenezea package za chaki (box ndogo na Kubwa) na juice (Box).,NB: Naomba location na full address if possible
Nilibahatika kumsindikiza rafiki yangu duka la jeshi ambako anaamini wanauziwa bidhaa kwa bei ya chini.
Maduka yote yanamilikiwa na wahindi, Nilichoona
Bidhaa zao nyingi zina ubora hafifu, Na...
Nawasalimuni wanajamvi!
Mwaka jana nilikuwa nikimsaidia mgeni mmoja kwenye shughuli za uwekezaji. Mbali na taasisi nyingine, alikatishwa tamaa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) pamoja...
Jamani bei ya mafuta inazidi kupaa wiki iliyopita tulikuwa tunanunua diesel kwa Tshs1,750 kwa lita lakini jana yamefika Tshs 2,000 (ongezeko la zaidi ya 14%). Je inawezekana hii nayo ikawa moja...
Nimekuwa naangalia link ya airtel kwenye JF ambayo inasema 'NUSU SHILINGI YA UKWELI mchana kutwa, mwanzo hadi mwisho'. Nilipojaribu kuifuatilia link hiyo nikakuta ndani ya mtandao wa airtel...
Wana JF
Katika pitapita zangu ndani ya jukwaa hili nimejionea mambo mengi sana ambayo yanaweza kutusaidia kama Watanzania kujikwamua kiuchumi.
Pamoja na hayo mimi pia nimefika mahali nimeona...
Please find attached area, location and the picture of the Property.
The asking price for the property is 1.2 M USD.
Hope to hear from you soon.
Dalali hakuna
Sijui hizi bank zimeingiwa na mdudu gani wamejaza walinzi na makamera kibao lakini hakuna kitu nina mpango wa kwenda kuwashitaki,
Juzi nilidraw hela kutoka kwa teller baada ya hapo nikawa...
Napenda tuulizane swali hili
Maana nadhani hata sisi kwa ssis wenyewe, wanasiasa wetu, rais wetu na mawaziri wake . hatuna commo na understanding juu ya ni nini hasa ni uti wa mngongowa...
Kanisa Katoliki lakataa msaada wa mbunge
Thursday, 03 March 2011
Mussa Mwangoka, Sumbawanga
KANISA Katoliki katika Jimbo la Mpanda mkoani Katavi, limeagiza kurudishwa kwa msaada uliotolewa na...
The cooperation and participation of the private enterprises in housing development is intended to help in effective implementation of national housing policies, to solve the urban housing...
Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya watu wanaoendelea kumiminika huko Loliondo na nimeanza kuziona fursa mbalimbali za kibiashara ambazo zikitumika vizuri zinaweza kutatua matatizo yanayojitokeza...
Kuna ndugu yangu amenipa kiasi cha Tsh 500000 nifanye biashara,je wanajamii wenzangu nifanye biashara gani?nimeisha umiza kichwa sana kuwaza lkn cjafanyikiwa,nisaidieni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.