Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

please mwenye kujua website ya mlimani city shopping mall naomba anisaidie. nimejaribu ku search google lakini sijafanikiwa. Asanteni.
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Kukua kwa teknolojia siku hizi kumerahisisha mambo mengi,moja wapo la hayo mambo ni uwekaji au uhamishaji wa fedha kwa kutumia kampuni zitoazo huduma za simu za mkononi,lakini kila jambo zuri...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I have never met a rich person who has never lost money. But I have met a lot of poor peoplewho have never lost a dime ------investing,that is. By Rich/poor dady. Nilipofanya utafiti bubu...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
A Tanzanian Entrepreneur, in search of Business Partners. See attachment for more details. "Together we CAN"
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau janvini kila siku tumekuwa tukishauriana mambo ya biashara kupitia nyanja mbalimbalije naweza kuelewesha kwa hili kwa mfano nina millioni 60 ambazo ningependa kununua Hisa popote pale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau habari za mchana? Nina mpango wa kuagiza gari ya mzigo canter tani 3 toka Japan kwa ajiri ya kunisaidia katika biashara zangu. Nina maswali yafuatayo ningependa msaada toka kwenu; 1. Je...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Naomba ushauri
0 Reactions
1 Replies
3K Views
No pilitics. please... Nimeanzisha uzi huu tuchambue mashirika ya ummma .Leo naanza specific na Tanesco .Hapa tu assume kashfa ya dowans imekwisha. au haikuwai kutoea Kwa mujibu wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu wanajamvi waslam aleikum. Ninaomba msaada kwa mwanajamvi yeyote mwenye uzoefu wa hizi gari aina mbili anisaidie. Haswa haswa kwa Information kama. 1. Ulaji wa mafuta 2. Upatikanaji wa Spare...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Kwako Ndugu Ibrahim Mussa. Kwanza kabisa nakupongeza kuteuliwa kushika wazifa wa Mkurugenzi wa utalii nchini. Ni nafasi kubwa na nina imani kwa uzoefu wako unaweza kusimamia vema rasilimali hii ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii amemteua Bw. Ibarahim Mussa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Utalii kuanzia tarehe 01 February 2011. Uteuzi huo ameufanya kwa mujibu wa kifungu cha 6 (1)...
0 Reactions
102 Replies
12K Views
In recent years there have been skyrocketing on prices of consumers' goods and services in Tanzania caused by mismanagement of our economy; from planning to implementation aspect but at the end of...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wana JF habarini za majukum! Hope week inaanza vyema kwa wengi wetu, jamani natamani sana kuingia kwenye field ya biashara na sijui ni wapi nianzie mwenye mawazo naomba anisaidie sambamba na hilo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwasikia watu wengi anapoongea kiswahili au lugha ya asili basi huweza kusema jambo hili kwa kitaalamu hujulikana kama..................hapo atataja neno hilo kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi!kabla ya yote napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa manajamvi kwa michango ya mawazo mbalimbali ambayo inatusaidia wengi wetu. wana jf wamekua sio wachoyo wa...
0 Reactions
75 Replies
16K Views
Habari zenu wanajamvi wenzangu mlioshiriki na msio shiriki siku hii ya Chai day. Binafsi sikubahatika kuwepo ktk hafla hii basi cc wote ambao hatukushiriki tunaomba wale walishiriki watudokeze...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1) Biashara ya kahawa nje ya nchi AAAOE - Sales leads, Business directory, B2B, Trade Leads, Wholesale, Import, Export, Marketplace, Bulletin board 2) Soko la chai nje ya nchi (Black tea)...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
wajameni mie nataka kurudi bongo kufanya business, nina mtaji wa kama milion200 hivi, je ni biashara gani ambayo itanifaa? nilikuwa nawaza kufungua warehouse ya kuhuza vitu vya ujenzi lakini sijui...
0 Reactions
61 Replies
9K Views
Those who are planning to buy shares in Precision Air should be cautious as the airline seems to be in a financial crisis and are only looking for capital, there are also rumours of lots of...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Business doesn't get done without credit.Neither, for that matter, does much in modern life in general. This means we must deal with banks, an action that makes people nervous and disheartened.It...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…