Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

I am happy to be back again and bravo for the CHAI meeting!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau kwa sasa hivi kusajili LLC ina weza kugharimu kiasi gani apa Tanzania yani gharama zote mpaka ka kampuni imesimama?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Any one with Radio Station, i am doing Radio Production that includes Radio Programming (Mastering new schedules by considering compentence activities) We also train staffs about radio production...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WADAU UMEME UMEKUWA MTAJI MKUBWA WA MAFISADI ,VIONGOZI WETU WAMETAJIRIKA KUTOKANA NA UMEME NA MATATIZO YANAONGEZEKA KILA SIKU KUTOKANA NA UMEME NAOMBA UJADILI NA TUTOE MAPENDEKEZO MBADALA KWA HILI...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Wasalaam, Upo mchakato wa kuongeza na ama kuingiza sekta binafsi katika ununuzi wa kahawa mbivu kutoka kwa mkulima(Cherry) . Hii itasaidia kupitisha kahawa nyingi zaidi katika mitambo ya kati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam kwenu, 1. Naomba nisaidiwe kwenye hili, Ninapo/tunapo deposit pesa zetu Bank, wao Bank wanazifanyia nini hizi pesa? 2. Ni vipi unaweza ku-insure pesa, mfano ninapesa zangu nataka...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
:bump: Salaam kwenu waungwana wote! Nafikiria kununua Ki-gari to JPN in Apr 2011, Plz naomba kufahamishwa gharama nitakazo paswa kuzilipa hadi linakuwa kwa barabara, bila gharama ya kununua na...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Wanajamii forums, natafuta soko la computer madhubuti kabisa used and brand new. Desk tops and laptops. Desk Tops ambazo ni brand new ni za kisasa kabisa ambazo computer system imekuwa built in...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wadau jamani yoyote anayeweza kunisaidia juu ya hili nitashukuru sana.Nina project nimeanzisha ya kilimo cha umwagiliaji maeneo ya Kisarawe tatizo ni kwamba sina acess ya maji kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kuna marafiki zangu wame register kampuni, wako wanne, kampuni yao ina share zenye thamani ya sh milioni kumi lakini cha ajabu the whole process haijawakost hata sh milioni moja.!!? ivi hili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
In recent years there have been prices skyrocketing on consumers' goods and services in Tanzania caused by mismanagement of our economy; from planning to implementation aspects but at the end of...
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Tourism accounts for around 19% of the GDP and nearly 25% of total export earnings. TANZANIA TOURISM AT-A-GLANCE % of GDP: 19% (2010) Growth py: 10% (2005) Arrivals py: about 1,000,000 (2010)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa nasikia supplier wengine wa product hii (Shutter Doors) wanatengeneza vitu fake. Naomba mwenye kujua reliable ones wenye bei nafuu anipe contact.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hivi, sukari inapokuwa sh 2000 tunaelekea wapi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakulima wenzangu nawasalimu kwa heshima zote. Naomba wenzangu mnijulishe mnatumia mbegu gani nyingine katika kupata kitunguu kizuri chekundu mim natumia mbegu inayojulikana kama RED BOMBAY. RED...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
According to the Financial Times, Bloomberg sasa hivi speculators wamesukuma bei ya mafuta above $100 a barrel. Sasa sijui kwetu hali itakuwaje. Nauli inaelekea itafika Tshs 100,000 kwani mfumuko...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Ndani ya wiki moja rafiki yangu anatarajia kupata mkopo wa Mil 20. Sasa ameniomba ushauri wa biashara gani anaweza fanya na akawa na uhakika wa kuingiza kuanzia sh 100,000 na...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Hi guys. It's a pleasure to be a member of this group. Just wanted to know, is there any member of Jamii forum ama any member wa hii forum anafahamu mtu yeyote anaye fuga rabbits on a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau mwenye utalamu na mambo haya anaweza kunipa wazo kutokana na mwenendo wa maisha ya Bongo wanavyouona.Kwa mfano mtu unataka kuwekeza kwenye mradi unaoweza kujenga nyumba ambazo ni nzuri kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya kufanya kazi kwa miaka mingi hapa US, niliweza ku-save na nimepata business partner/investor ambapo seriously tumeamua kuwekeza katika fast food business hapo Dar na Arusha...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom