Nafikiria kuanzisha day care hapa Dar lengo hasa likiwa ni kwa ajili ya watoto ambao hawajaanza shule.
nimepata tu wazo ila kwa kweli sijui ni wapi ntatakiwa kuanzia namaanisha kwa vitu kama...
Salaam, mimi ni mteja wa huduma za mtandao wa TIGO kwa muda mrefu.nimekuwa nikitumia mtandao huu tangu enzi za mobitel ,buzz,na sasa Tigo. Kwa masikitiko yangu mtandao wa Tigo pekee ndio hauna...
Wizi kupitia huduma ya M-Pesa ulioanza kujitokeza nchini kenya si ajabu akaanza kufanyika pia ndani ya nchi yetu hivyo tujitahidi kuchukua tahadhari!! soma visa vifuatavyo hapo chini ili yasije...
Serikali kupitia EWURA imeridhia ongezeko la 18% ya bei ya umeme kuanzia January mwakani. Hilo ni pigo kwa mtumiaji na tayari ongezeko hili litakuwa na athari katika uchumi wetu. Wahanga wakubwa...
Wanajamvi,
Magazeti mengi ya leo yameandika juu ya hali hii ya kutisha ya kupanda kwa bei ya UMEME kwa asilimia 18.5 ya bei ya sasa...Zoezi hili linaanza mapema Januari 2011, na lina baraka zote...
Gavana wa Banki Kuu alipokuwa anatangaza kuanza kwa matumizi ya Noti mpya hapo January Mwakani 2011, alisisitiza hakuna mda maalumu wa mwisho kubadilisha matumizi ya hizi Noti zinazotumika sasa...
By ALVAR MWAKYUSA, 19th December 2010 @ 23:07, Total Comments: 0, Hits: 87
AN international charity organization, ActionAid, has released a scathing report accusing the Tanzania Breweries Limited...
Kitendo cha kubadilisha notes ni sawa na kuongeza fedha katika mzunguko huu wa kasi ndogo uliopo sasa. Na hii inahashiria kutokuwa na usawa katika Pato la Taifa, thamani ya bidhaa pamoja na huduma...
Juzi nilikuwa ktk maduka ya kubadilisha fedha za kigeni (Bureau de Change) maeneo ya posta, nimeshangazwa sana jinsi madafu ya bongo yalivyokomaa dhidi ya US$, nilitegemea ningebadili kwa Tsh...
Nasikia BoT wanataka kuanzisha noti nyingine, tena ni noti ya shilingi elfu hamsini? Kama ni kweli hii ni dalili ya nini kwenye uchumi na dhamani ya sarafu yetu?? Msaada wajameni
Zamani SIDO ilikuwa inasimamia na kuendesha viwanda vidogo vidogo ambavyo kwa kweli ni muhimu katika kutia chachu ya maendeleo ya Viwanda vya ndani. Kwa bahati mbaya katika pitapita zangu, sioni...
Nawatahadharisha wafanya biashara wote wanaotumia bandari ya Tanga au boda ya Horohoro kupitisha bidhaa zao.Na kama ukitaka kufilisika basi puuza onyo hili
Kama wote mnavyojua utaratibu wa TRA...
GrEattHinkErs,
Inanikera sana kuona Foleni kutokea kisongo inaanzia Kilombero na barabara ni naona ni Finyu,
Inanikera Sana kuona Foleni inaanzia kijenge nikitokea Njiro na hakuna uwekekano wa...
Wale jamaa wa ngoma za kienyeji kitoka Botswana wameletwa tena! kutafuta fedha za Watanzania .Hiki ni kielelezo kingine cha uduni wa fikra zetu!Ukichunguza kwa makini kinachofanywa na hili kundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.