Dec 15, 2010
The European Investment Bank (EIB) Wednesday announced a US$135 million loan to co-finance a new 667-km high voltage transmission line being built in Tanzania to improve power...
Bank ya NMB imeanzisha kilimo account ambayo imezinduliwa mwenzi wa kumi na moja katika mkoa wa mtwara. CEO wa nmb amesema account hiyo ya kilimo itakuwa na interest ya 6% na itakuwa haina...
nianze kwa kuwapongeza wachumi wenzangu kwa kuelimika sana maana siku hizi unapoingia kwenye forum hii ya wachumi kweli unakuta thread za kichumi na hata mawazo watu wanayochangia ni kichumi zaidi...
Je ni wabunge wagapi wanavaa suti Made in or by Tanzaniam?
Je ni ni Viongozi wangapi wapo tayari kutengenezesha viatu vipya japo pair mbili kwa mkwa kwa mafudi wetu
Je ni viongozi wangapi...
Wafanyakazi wa Zantel hapa Arusha wameanza biashara chafu ya kulangua moderm za internet kwa kuwatumia wafanyabiashara binafsi akiwemo mmiliki wa duka la SOUND and VISION au maarufu kama kwa...
Mimi ni mfanya biashara nilikuwa nataka kufungua duka la jumla kibaha,wenyeji wangu wakanieleza kuna kabila la wangweno,hawataki mtu mwingine kufanya biashara kama sio mgweno watakuloga,kwa...
Dear JF Members,
I hope everybody is doing better!
Please whenever you are free... I beg you better read the attached Inspirational book, I am sure you will grasp precious knowledge which will...
Nadhani kwa wakaazi wa Arusha na vitongoji vyake watakuwa wameshaona kwenye mabango mbalimbali barabarani ama kupitia redio ama magazeti ya kuwa iliyokuwa inaitwa novotel mount meru hotel...
Kama kuna watu amboa wameshindwa kujiendeleza kama jumuia ni Watanzania!,Pamoja na rasilimali nyingi bado nchi yetu na maskini ,mijadala mingi inayoendelea hapa nchini ni kujadili watu.Kila siku...
Wakuu,
Nina idea ya kuanzisha business, mostly ku negotiate for other companies, bundle volumes, try and see sehemu kwenye cost savings for companies and small businesses as well. I am not living...
Tanzania has once again been forced on the defensive following another financial scandal involving donor funding to the country.
This time, the government has been forced to refund money that...
MARA nyingi tumekuwa tukishuhudia baadhi ya wafanyakazi wa kampuni au viwanda wakiingia katika migomo na migogoro kutokana na madai ya kutaka kuboreshewa haki zao mishahara ikiwemo.
Migomo hiyo...
Any serious partner who can bring machine and other equipment for extraction of quarries is invited.
Our site is located in lugoba area with a huge deposit content.
Thank you.
Wafanyabiashara wataka umeme wa Buzwagi
Imeandikwa na Raymond Mihayo, Kahama; Tarehe: 13th December 2010 @ 23:20
WAFANYABIASHARA wa viwanda na mashine za kukoboa mpunga, wilayani Kahama mkoani...
Mwaka jana nilisafiri kwenda US kuwasalimia rafiki zangu wanaoishi huko, bahati nzuri nikapata rafiki mpya. Kwenye maongezi aliniambia angependa kuwekeza Tanzania. Alipo niomba ushauri nikamwambia...
Wanajamii,
Naomba mwenye kufahamu ni wapi naweza kupata msaaada wa matengenezo ya vifaa vy IBM (servers, printers, desktops, laptops) hapa jijini Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani
Obuntu
Mgawo wa umeme wasitishwa
Imeandikwa na Halima Mlacha, Morogoro; Tarehe: 8th December 2010 @ 23:59
ANGALAU Watanzania wanaotumia nishati ya umeme watakuwa na ahueni sasa baada
ya Shirika la...