30th June 10
The Guardian Reporter
The British banking conglomerate, Barclays is in the process of taking over the National Bank of Commerce (NBC) branch network in Tanzania from both...
Ebwanaa habari wakuu nilikuwa kimya kidogo miangaiko ya hapa na pale sasa mi naomba mawazo na pia mtu mwenye interest yoyote ya kitu chochote kutoka UK,najipanga nije nyumbani baada ya muda kidogo...
7 Ways to Measure Financial Performance
How's your business doing financially?
If you're not sure what else to say after answering "Great!", "OK", or "Terribly!" Don't worry, you're not...
PRESIDENT Luiz Inacio Lula da Silva of Brazil will be the guest of honour at the official opening of this year's 34th Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) on July 7.
The Dar es Salaam...
tunaambiwa kuwa GDP ni ile thamani ya pato la mwisho litokanalo na bidhaa au huduma fulani katika mwaka. pia ili kupata pato sahihi katika huduma na bidhaa zilizozalishwa, inachukuliwa thamani ya...
:A S-rose:Wana JF,Nilisajili namba yasimu mwaka jana, nilikuwa naakikisha kama namba yangu ya simu - Vadacom imesajiliwa. Nilipopiga *106#, nilishtuka kupata jibu linaniambia kuwa sijasajiliwa...
Gold may reach new high amid fears of double-dip recession
Analysts claim bullion could hit $1,430 an ounce
Precious metal is popular hedge against rising prices
Richard Wachman...
Nimeona Tangazo la Kivuko.com pale kwa michuzi nikafurahishwa sana nikidhani kuwa hiyo inaweza kuwa njia bora ya watanzania kuachana na bidhaa feki wanazoletewa kutoka China kila kukicha. Kama...
Zek Group to contruct $33m worth shopping mall in Dar
By HAMISI ALLY
THE EAST AFRICAN
Posted Saturday, December 27 2008 at 11:22
ZEK Group International, a Tanzanian property...
wanajamii habari zenu
jamani naomba kuwauliza kuhusu cost of living sasahivi hapo bongo,mimi nipo state natarijia kuja hapo kukaa kwa muda wa miezi 4.
bei ya vyakula kama mchele...
Habari wana JF?Mimi huwa najiuliza swali moja, Watanzania tunafanya kazi saaana na tunakatwa Michango ya mifuko ya jamii kila mwezi. Hivi hatuwezi kuitumia fedha inayoingia kwenye hii mifuko ya...
wanasema tuuoigie kura mlima wetu ili uwe kwenye maajabu saba mapya ya dunia. kwa staili hii hata ukipita sitaona uzito wake kwa kuwa umepigiwa kura. chema siku zote hujiuza. kwani maajabu ya...
Ogilvy Africa clinches deal to market Bharti Airtel
Zain Africa CEO Chris Gabriel (right) and Zain Kenya managing director Rene Meza at a press conference. Bharti Airtel completed the...
Wadau wale wenzangu na mimi ambao wako kwenye minyororo ya madeni, hii link inaweza kuwapa changamoto ya kuanza kuikwepa minyororo hii.
The Courage to Live Debt Free - the Principles of Economic...
Habari zenu Wadau.....
kama kuna yeyote mwenye data juu ya kiwanda cha uzalishaji wa Zana za Kilimo cha Ufi kilichopo Ubungo naomba anijulishe....Kuna kipindi kilikua kimesimama uzalishaji. so...
(ii) Exempt VAT on machines and equipments used in the collection, transportation and processing of milk products. This measure is aimed at promoting investment in the diary sub‐sector and...
Meya Londa kufikishwa polisi
Na Beatrice Shayo
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Salum Londa atahojiwa Jumanne ijayo na Kamati Maalum iliyoundwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, William...
ABOUT 100 Tanzanian truck drivers have been detained by police in Rwanda, Burundi and the Democratic Republic of Congo (DRC) allegedly for stealing products from the tankers while on transit...
Jana baadhi ya hoteli za Jijini Dar-es-Salaam zimepewa nyota ili kuwezesha kutambua hadhi/ubora wa hoteli kama ilivyozoeleka katika hotel industry duniani. Pamoja na kupongeza hatua hii...
Wiki iliyopita Mkuu wa mkoa wa Dar es Salam Mhe William Lukuvi alivamia ofisi za kitengo cha ardhi katika Manispaa ya Kinondoni na kuamuru Mkuu wa kitengo hicho kuwekwa rumande baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.