Mfanyabiashara na tajiri bwana Elon Musk aliokoa takribani dola za marekani bilioni 25 kwa kubadili jina la twitter kuwa x .
Sasa ipo hivi:
Kwa pale Marekani, unapokuwa na public company...
Ninasikiliza DW hapa, kuna bwana mmoja anasema,
"kufungwa kwa Maduka hayo mtaani kumepekea bei ndani ya mabenki kuwa kubwa, pia anasema dola ipo mtaani tatizo watu wanashindwa kuzibadili sababu ya...
Nina kiwanja sehemu za Kwembe nataka kujenga sijui nianze vipi! uwezo wangu wa kuweka hela ni kuwa kila baada ya mwezi mmoja naweza kuwa na laki mbili mpaka nne tu si zaidi ya hapo.Hivi yawezekana...
Hili nalo jambo gumu kati ya mengi yanayotukabili watanzania kipindi hiki kigumu. Dola ya kimarekani ina shoot kwa kasi na punde si punde tunaweza kujikuta tunazoe mahesabu ya 1:3000. Tuzidi...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mjasiriamali na nimeamua rasmi kujikita huko katika harakati zangu za utafutaji na kuongeza kipato. Na nimejaribu kufuatilia sana kuhusu biashara ya juice ya miwa...
Wakuu a-saamu aleykum...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina mpango wa kuwekeza kwenye biashara ya bodaboda. Nipeni ushauri, aina gani ya pikipiki ni nzuri, ntapataje dereva na kwa siku...
Habari wakuu, nipo kwenye kisiwa cha maisome kilichopo Sengerema, nina mwezi sasa nafanya biashara ya uchuuzi wa samaki aina ya sato natoa huku napeleka Mwanza ila faida sipati kwasababu nilikuwa...
Anasema miaka 10 iliyopita serikali iliamua TANESCO ibinafsishwe; anatoa historia ya mgao; walipokuja NETGROUP solutions kuendesha TANESCO, walitumia maji mengi kuzalisha umeme.Hawakuwekeza kwenye...
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa, Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson...
Habari wakuu, kuna kipindi nilipost Uzi kwa wanaotaka kufanya biashara ya mafuta ya alizeti. Kuna watu wengi walinitafuta kuniulizia lakini kwa bahati mbaya hawakwenda na msimu ulivotaka...
Mbunge Stanslaus Nyongo: Lini Serikali Itaanza Kununua Pamba toka kwa Wakulima Pindi Bei ya Pamba Inapoporomoka katika Soko la Dunia
SERIKALI ipo katika hatua za awali za uanzishwaji wa Mfuko wa...
Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa hizi Bank mbili ni wababe ktk sekta ya Biashara ya kibenki Tanzania na hii ni kutokana na ukubwa waliokua nao na pia kutopishana sana kwny baadhi ya takwimu...
Habari wakuu! Niliwahi kuandika hapa kuhusu biashara ya alizeti na mafuta yake!
Kwa mwaka huu kama unataka kufanya biashara fanya hii na itakulipa! Mafuta yameshuka Sana bei Hadi kufikia 48000...
Katika dunia ya leo hakuna kitu unachokiona na kikawa hakina thamani,kwa wale waishio miji mikubwa wameona jinsi watu wanavyo okota makopo ya ma maji, vyuma, mawe, na hata zile nywele sinazotupwa...