Wadau, nakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kusisituza vijana kucheza Bitcoin. Kuna kampuni ya Bitcoin imeniimgiza huko. Na inanitaka nianze Kwa kuwekeza $200 kwamba nitavuna $360. Je Kuna...
Habari zenu wadau wa Uchumi na biashara.
Nielekee kwenye mada moja kwa moja. Nimejikuta nastuck hapa maana kuna biashara naifanya ambapo watu wanabook online na kulipa then nawahudumia. Kumetokea...
Poleni na majukumu wadau, me naomba kwa yeyote mwenye uzoefu wa biashara ya dagaa (wakavu) wa mwanza kupeleka Dar, naomba kujua gharama za kununulia kwa wavuvi, gharama za kuwakausha pamoja na...
MBUNGE CONDESTER Atembelea Eneo Lenye Madini ya Sodalite Kukagua Utafiti Unaoendelea Kijiji cha Chindi
Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe (Mundy) ameambatana na Afisa Madini mkazi Mkoa...
Ni vyema Serikali ije na ukweli kuhusu NHIF na siyo maneno tu Shirika limezidiwa,
1. Wanachama mpka sasa ni wangapi?
2. Michango ya NHIF inayokatwa Kwa waajiriawa na waajiri inapelekwa Kila...
Nazungumzua hizi pombe za 2000 kwa mfano ukiagiza Mzigo wa kampuni ya MATI SUPER BRANDS LIMITED wenye vinywaji kama vile Zed na strong spirit unapata faida kubwa sana.
Ukiagiza katoni 500 kwa...
Mkoa wa Arusha ni moja kati ya mikoa yenye mzunguko mkubwa wa pesa ila una tatizo moja.
Arusha ikiwa ni jiji lina tatizo la kuwa na asilimia kubwa ya vipanya (hiece) ambazo madereva wake nusu...
Mwaka 2018 mimi na jirani yangu tuliuziwa plots kwa bei ya 350,000(laki tatu na nusu) kila mmoja kwa maana kiwanja kimoja kimetoka viplot viwili. Kwa wakati huo mfuko wa cement ulikuwa unauzwa kwa...
Wakuu habari?
Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida...
Habari wadau
Airtel sasa wameanza kuvuruga mfumo wao wa biashara.. Airtel matangazo mengi kwa maana ya promo na sasa mmefikia hatua mmeanzq kuharibu biashara.. yaan imefikia hatua mmeanza...
Wakuu niaje,mko poa...mi mafanya biashara ya ladies shoes na mikoba,niko location mwanza.nilianza kwa kukata baloo za viatu mwenyewe na pochi,kwenye viatu nilikuwa nafungua grade number moja ila...
Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nimepatwa na changamoto ya kushindwa kulipia malipo mtandaoni kupitia visa card, nimetumia card ya TIGO,VODA na CRDB lakini...
Kumekuwa na utaratibu mbaya sana watu kuchukuwa mikopo mabenkI bila kuwa na utaratibu sahihi utakaowawezesha mikopo hiyo ijilipe wenyewe bila ya kuathiri vipato vyao ila wengi wamekuwa wakifanya...
Habari wadau.
Naomba kujifunza kwa mtu aliendelea katika masuala ya cryptocurence. Mimi ni mfanyabiashara wa p2p binance. Mtaji wangu nj mdogo bado, ni laki tano pekee.
Changamoto niliyokutana...
Leo nimetoa pesa kwa wakala, kwenye simu nilikua na 50000.
Wakala akanambia tumia njia ya kawaida Kama unatuma pesa akanipa namba ya kawaida, kwenye kiasa akanambia weka 49550 kweli nikaweka...
Hakuna kitu kinarudisha Nyuma maendeleo ya wafanyabiashara wengi kama utapeli wa Mtandaoni.
Mtu unafanya kazi unajikusanya alafu mtu anakuja kukutapeli.
Nimekutana na tapeli ambaye anaishi Dubai...
VISINGIZIO HIVI VIMECHELEWESHA WENGI KUFANIKIWA KIFEDHA.
Achana navyo mara moja.
"visingizio ni kichaka cha watu waliojikatia tamaa ya mafanikio."
Ukiona mtu yeyote anajivunia visingizio huyo...
Naombeni kujua jinsi ya kufanya matangazo na mauzo mtandaoni kwa bidhaa za chakula
Yani kuandaa tangazo ni vitu gani nizingatie na vipi havina umuhimu, maana nataka nianze biashara kwa kutangaza...
Naomba kuuliza kama naweza pata wazoefu au wafanyabiashara ya Marashi hasa Oud aina zote, Misk na mamb mengine kama hayo vipi kuhusu mtaji na soko lake likoje!?
Habari wana JF! Tukumbuke kabla ya tarehe 01/06/2019 nilikuwa na wazo la kufanya "waste plastic pyrolysis" yaani nichakate mifuko ya plastic kuwa bidhaa zenye manufaa kwa watanzania harafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.