Nianze kwa kusema 'much respect to you all hustlers'. No matter what you're going through.... but you're the future billionaire. Hiyo ni salamu yangu kwenu watafutaji mliojipata, ambao hamjajipata...
Habari wana JF..
Naomba Kuuliza Je ni kuna faida/hasara gani za Kutumia Jina Moja kwenye Biashara Tofauti tena zilizopo Mkoa/Willaya Moja
Mfano
1 JUNDOX FURNITURE'S
2 JUNDOX BARBERSHOP
3 JUNDOX...
Wakuu natarajia Mwezi June 2024 nichukue mkopo wa 7ml kutoka saccos
Malengo ni kufungua duka ya reja reja hapa kijijini kwetu Moshi Kilimanjaro plus vinywaji vya barid na moto hasa nyakati za...
MASEGA YA MAGARI AINA HIZI HAPA[emoji1370][emoji116]
Toyota aina zote
Benzi aina zote
BMW Aina zote
Nissan Aina zote
Ford aina zote
Isuzu aina zote
Honda aina zote
Volvo aina zote
Volks wagon...
Wadau habari,
Hii bar ina jina zuri sana la kuhanikiza jitihada za raisi wetu mpendwa Dar Samia katika suala la utalii ila ina hudumqa za hovyo sana, nyakati za usiku haswa jumatatu meneja huwa...
Habari wana Jf
Kwa muda mrefu sasa nilikuwa nikifuatilia ndani na nje ya JF kuhusu mali alizoacha mjeruman kipindi anaondoka nchini miaka mingi iliyopita. Kila mtu alitoa mtazamo wake juu ya mali...
Habarini.
ngeomba kujua naweza tumia njia zipi kutoa hela kutoka paypal ukiwa Tanzania au ushaur wowote jinsi ya kutoa hela paypal bila ya account ya benki ya nchi husika.
asanteni.
Wakuu kwema,
Katika mizunguko yangu hapa Dar nimeona sehemu roundabout nzuri, nimepata idea ya kujenga hotel ya kifahari na njia za juu za kufika bila kusababisha ajali pia ntajenga parking...
Mji wa Songea pamoja na kuwa mkubwa bado hiace ndio dala dala zinazopiga shanting za hapa na pale. Kwa kuwa kiwango cha 70,60,50 hadi 40 kinapelekwa kwa mwenye gari kwa siku narudia tena matajiri...
Wakuu habari za mida?
Mzee wangu anataka kufungua pharmacy tulikuwa tuna omba kujua utaribu wa kufungua pharmacy ! Pia gharama za kumlipa pharmasia kwa mwezi kwajili ya kuweka leseni yake dukani...
Ilikuwa April 2017,
Niliamka Asubuhi nikiwa na mawazo mengi sana,Haikuwa mara ya kwanza mm kuamka asubuhi ila siku hii ilikuwa tofauti.Wawili kati ya watu niliokuwa nafanya nao kazi ambao...
Wana Business and Economic Forum,
First of all i would like to commend you for all the effort in educating us on potential opportunities on investment as well as duly technical materials that...
Mimi ni kijana wa miaka 25, katika kupambana kwangu nimepata mtaji wa milion 15 nataka nianze biashara ya duka la vifaa vya umeme.
Sasa naombeni muongozo (kupata mlango, kuagiza mzigo, maeneo...
Wadada hupata attention sana huko instagram kutoka kwa wanaume kupelekea kuwapa wadada hisia ya security.
Wakaka hutumia muda sana kuangalia porno huku waki-idolize wanawake kuwa wako nao bila ya...
Inakadiliwa wasomali tanzania ni 77,000 mwaka 2007 na kwasasa wanakadiriwa kua 200,000 au zaidi.
Kwa mkakati wa hawa jamaa wakuzaliana sana inakadiliwa Mwanamke mmoja wa kisomali anazaa watoto...
Habari zenu woote
Naamini niko jukwa sahihi kushare uzoefu wangu kwenye biashara.
Sasa leo napenda kushare nanyi uzoefu wangu kwa kuangalia circle yangu, nimegundua ngazi 3 kiuchumi:
1. Uchumi wa...
Habari wakuu,
Nahitaji kuanza ku-import mafuta ya kula kutoka nje, naomba kujua yafuatayo,
1. Document au vibali vinavyohitajika nikienda toa mzigo bandarini?
2. Bandari yenye unafuu wa kuingiza...
Ndugu Zangu Habarini
Nina wazo la kufungua kampuni ya ukusanyaji na uzoaji taka ngumu katika sekta mabali mbali kama taasisi, mashule, majumbani nk.
Lakini naomba kujua ni zipi changamoto za...
Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya marafiki zangu manufacturers kutoka nchini India ambao hutengeneza na kuuza vifaa vya hospitali. Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.