Habari wakuu, jana nilileta bandiko hapa kwa wale wasio na kazi au wenye kupata japo masaa mawili kwa siku kuwa kwenye mtandao kutengeneza pesa kupitia simu zao wengi walibeza, lakini...
Wandugu utu uzima dawa.. Hebu tushauriane kitu kwenye hili la mishe za kutafuta shilingi
Ajira hakuna na changamoto za maisha ni nyingi sana.. Kila kitu ni hela hasa kwa sisi tunaoishi mijini...
Mimi siyo expert wa kutangaza online kwenye Facebook na Insta lakini nina uzoefu kidogo wa kama miaka miwili hivi kutangaza huko.
So niulize swali lolote kuhusiana na sekta hiyo nami nitakujibu...
Habarini wana group, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. mwishoni mwa mwezi huu nina mpango wa kuanza biashara ya NGUO, akiba yangu ni elfu 50.
Sehemu nilioiwaza ya kununua mzigo ni...
Wana Jamii forums naomba kwa ambae ana uelewa au kwa ambae amewahi kufanya hii biashara ya kukamua mafuta ya alizeti, nahitaji kujua machine zinazitumika kukamua, bei zake kama kunae...
SIRI/KANUNI 21 ZA MAMILIONEA WALIOJITENGENEZA.
(Tafsiri ya kitabu The 21 Success Secrets Of Self Made Millionaires- by Brian Tracy)
************
Utangulizi: Kanuni ya Kisababishi Na Matokeo...
habari wakuu,naomba msaada kwa mwenye kujua wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati.Kwa yoyote mwenye ufahamu tujuzane wakuu.Sijaajiriwa so plz lieleweke hilo.
Salamu ziwafikie wana Jf wenzangu.
Ninaomba msaada katika uwekezaji wa fedha benki.
Ni hivi mimi nina mzee wangu anayetarajia kustaafu mwaka huu. Sasa kama kijana wake wa pekee na anayeniamini...
Habari wakuu, natumai mko poa kabisa.
Nahitaji kufanya biashara ya hardware nikiwa kwenye upande wa vifaa vya Bomba pekee yani nahitaji niwekamili katika upande huu kabiaa.
Ni vitu gani vya...
Kwa mujibu wa B.O.T mwaka 2018 noti za shilingi elfu kumi zilikuwa trillion tatu na mwaka 2023 zimeongezwa tena kwenye mzunguko na kufikia trillion sita, hiyi inaleta picha gani?
Wakuu nimeongea na seller alibaba kama watatu nataka kuagiza smartwatch 30 pcs akanipa mchanganuo wa cbm 30*5.65=169.5usd naona kama gharama kubwa zaidi ya bei ya bidhaa au mimi ndo sijaelewa...
Wakuu JF kwema?
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nahitaji msaada wa kujua ni balo aina gani la nguo za watoto, na nguo za Origin ya wapi zinakua quality nzuri kuuza kwa hapa Dar es...
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuboresha reli ya TAZARA pamoja na reli ya kutoka Dar es Salaam ,Tanga mpaka Kilimanjaro ili reli hizo...
Husika na mada tajwa hapo juu,
Mimi ni mtumishi katika Secta Binafsi hapa nchini Tanzania.
Katika utumishi wangu nimefanikiwa kujichanga mpaka kufikia million 50. Hizi pesa ziko kwenye account...
Wakuu nataka nifungue maabara ndogo.
Elewa hapo ndogo! Ila nina mtaji wa laki tano je unatosha kufungua Maabara ndogo ya kuanzia nikipata hela nitakuwa naongezea vitu!
Wataalam wa Afya nawaomba...
Leo nimeona nisaidie baadhi ya trader wenzangu ambazo tunastrugle katika level tofauti tofauti...ambao wanastrugle kutime market na kukaa mda mrefu kwenye screen kwa kuogopa kumiss trade.
Kuwa...
Ukibadilisha umiliki wa biashara binafsi kwenda kampuni inabidi upate tin no nyingine ya kampuni ambayo ni tofauti na ile ya mwanzo (biashara binafsi)
swali.
Endapo tin no ya mwanzo ina deni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.