Mwaka 2007 sukari iliyokuwa inazalishwa ndani ya nchi ilikuwa inauzwa kati ya Tsh 800-900 kwa kilo, ambapo imported sukari kama Ilovo ilikuwa inauzwa 1000/- kwa kilo 1 ya pakti.
Nakubali kuwa...
Habari za mchana wanajamvi, mimi ni kujana mwenye miaka 33, katika kujitafuta baada ya mapambano ya muda mrefu ya hapa na pale nimefanikiwa kupata kandarasi ya kutekeleza mradi wa taasisi mojawapo...
Hellow.
Kuibiwa na wafanyakazi ni moja ya changamoto tulizo nazo wafanyabiashara.
Nimefunga CCTV camera ila mfumo nilioweka mimi umeme ukikatika camera hazifanyi kazi.Moja ya ofisi ina standby...
Kwa ujumla, kila mtu ana uwezo wa kuanzisha biashara. Hata hivyo, kuanzisha na kusimamia biashara inahitaji uwezo, rasilimali, na jitihada za kutosha. Hapa kuna mambo kadhaa ya kuzingatia:
Ujuzi...
Hili ni kwa Wamiliki wa Saloon za Wanaume Sinza, vijana na Mabinti wenu wanawaharibia Biashara, Mimi nilikuwa ninaishi Dar na nikaamia Arusha, na ninakuja Dar mara nyingi maana bado nina nyumba na...
Habarini,
Samahani naomba anaejua routing number za CRDB BANK wao wana nipa CORUTZTZ ambayo ni swity code lakini ili niweze ku trasfer pesa paypal wanataka routing number ambazo zina kuwa 8...
Hellow, shime wana JF naimani mko wazima wa afya, akili na mwili.
Back to the topic, wakati mwingine shule inaweza kua chanzo Cha kuchekewesha maendeleo ya watu, Tukizingatia elimu yetu asilimia...
Habari wana jamvi, nina nia ya kufungua biashara ya spare za magari makubwa naomba ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu wa mtaji wa kuanzia, location, manunuzi n.k
Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema kutokana na jitihada za...
Habari wana JF na poleni kwa kipindi hichi cha corona.
Mimi ni mjasiriamali ninajishughulisha na biashara mbali mbali.ila katika harakati za kibiashara huwa napenda sana kufanya biashara ya kuuza...
Ninayo milioni 6 kwa ajili ya biashara. Nahitaji partner wa kufanya nae biashara. Partner ni lazima awe tayari kuwekeza kiasi hicho hicho cha pesa kwenye biashara. Yaani jumla tuwe na milioni 12...
Baada ya mwaka kukamilika tangu mfuko huu kuanzishwa na bei ikiwa 100 tu kwa kipande enzi hizo, hii leo 2024 kipande kinauzwa kwa tsh 111.
Hii ina maana kwa mtu aliyeweka 50mil wakati huo leo...
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.
Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu, I am stalked.
Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana...
Habarini wadau.
Nimejaribu sana kutafuta mtandaoni namna ya kuyapata, ila sijapata uelekeo. Kwa mwenye kujua namna naweza kuyapata anisaidie.
Ninahitaji kiasi kama lita moja tu, kwa matumizi...
Poleni na majukumu wana fj, Ninashamba ekali 3 za hiyo miti ina umri wa mika 11 natafuta wateja wa bidhaaa hiyo shamba lipo maeneo ya mbeya kiwila kilometer 20 kutoka kiwila idadi ya miti ni zaidi...
Original TWS Earbuds
Genuine Assured [emoji736]
Bluetooth Version 5[emoji736]
High Capacity Long Endurance 4-5 hrs
New Type-C Interface
Very Soft & Comfortable
Tsh 40,000/=
[emoji403] Free...
Habari wanajamii forums, habari wajasiriamali.
Nafungua uzi huu ili kuleta pamoja wadau sisi wenye maswali kuhusiana na biashara ya mgahawa ama biashara ya chakula, na kuleta pamoja wale wenye...
Maduka ya rejareja yanayouza vitu vinavyonunulika kwa haraka(Fast moving consumable goodsi.e sukar, ngano, sembe&N.k hua ni mengi sana mitaani tunamoishi na yamekaribiana yahitaji akili & mbinu...
Habari za asubuhi mabibi na Mabwana,
Naendelea na uchunguzi sehemu mbali mbali unaweza ukafanya nini kwenye vijiji vyetu vilivyobarikiwa na Mungu wakati sisi vijana woote tunataka tuishi mjini...