Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wasalaam Wakuu Kama kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mjasiriamali natamani kuwekeza kwenye mradi wa kupasua mawe na kutoa derivatives i.e. kokoto, chipping na mchanga ulio katika powder /...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Naamini wote ni wazima wa afya. Mi ni kijana mpambanaji na kwenye harakati za utafutaji nikajikuta niko nje nchi na ni mda sasa tangu nilipotoka tz, Mungu amesaidia...
5 Reactions
61 Replies
5K Views
Habari za muda huu wadau. Mie nimuajiriwa wa sector X. Kipato napata cha kawaida. Nina mtaji hapa wa milioni mbili. Nipo mkoa wa lindi nianze Biashara gani iniingizie Atleast pesa ya mboga.?
1 Reactions
5 Replies
838 Views
Habari, Naomba msaada wa kujua namna nzuri ya kufanya hii biashara ya dhahabu (Based in chunya) kwa mtaji mdogo wa 25M
6 Reactions
69 Replies
6K Views
Tufaidishane pengine tukaokoa watu wengi kutotapeliwa au kuingiza faida. Kuna namba ilinitumia message telegram wakidai wao ni kampuni ya marketing za online ambapo wanafanya media buy...
1 Reactions
10 Replies
924 Views
Habari Wafanyabiashara , Kwa sasa soko la zao la Ufuta ni kubwa sana, Msimu wa mwaka jana ufuta ulinunuliwa kwa bei ya Tsh 4000 kwa kilogram moja. Msimu huu kuna uwezekano mkubwa wa bei ya ufuta...
6 Reactions
17 Replies
4K Views
Nawasalimu Kwa salamu zote halali, niende direct! Hiviii, unajisikiaje unatafuta pesa Kwa shida, unahifadhi taasisi za kifedha au baada ya kazi ngumu posho inapitia moja ya taasisi ya kifedha...
1 Reactions
9 Replies
451 Views
Wakuu habar zenu. Naomba ushauri wenu, kwa tsh 50,000 naweza fanya biashara gani zanzibari hasa maeneo ya mjini magharibi? Asanteni.
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Mimi ni trader wa forex katika soko la gold ambayo pear XAUUSD niliyoingia nayo ilinipa kama usd 7700 kwa lot size 20 kipindi cha nyuma mwaka 2021. Kipindi cha nyuma kutrans pesa kufika kwenye...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari mimi ni mfanyabiashara mdogo wa nguo za mtumba hapa Dar es Salaam nilikuwa nataka kuongeza wigo wa wateja kwenda minadani kuuza biashara. Nilikuwa naomba kujua ratiba mbalimbali za minada...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii ni biashara ya bwana mdogo fulani, mji kasoro bahari. Familia yao ilikuwa ikinipokea wakati naenda shule hapo mji kasoro bahari. Mwaka juzi aliomba mtaji mdogo afungue biashara ya salon. Naona...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini wananzengo Nahitaji kufungua biashara ya kisasa kidogo ya kibanda cha chips Je ni mambo gani ya kuyazingatia kiserikali(eg TRA, jiji) na kibiashara? Asanteni.
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi karibuni kumekuwa wimbi la ongezeko la kampuni zinazokopesha hela mtandaoni.Na wengi wamekuwa wakikopa pasipo kujua uhalali wa hizi kampuni,na wengine kuzilalamikia kuwatoka riba kubwa sana...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nashida ya milion 5 wapendwa naeka gari dhamana la aurius Toyota Nawasirisha
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Aisee leo nimeshangaa naambiwa kuna jamaa anatengeneza MILLION KWA SIKU MOJA wakati hiyo ni budget yangu miezi 2. Malengo yangu kwa sasa ni kuweza kutengeneza laki 2 tu kwa siku!Mlioweza...
11 Reactions
107 Replies
23K Views
Habari zenu wana jf. Leo nataka niwaambie kuhusu fursa za biashara ndani ya falme za kiarabu na wadau wengine wenye uzoefu na huku wanaweza kuongezea ambapo sijapagusia. Uwepo wangu huku kwa...
10 Reactions
118 Replies
41K Views
Wakuu ni wapi hapa Dar nitapa duka linalouza spare orijino za Mitusbishi? Km unafahamu nipatie mawasiliano wakuu
0 Reactions
8 Replies
508 Views
Tuna kawaida mtu akiandika kitu cha kugusa mahala fulani utasikia umetumwa Mimi naandika haya ambayo nimetendewa na nimeona hii ni fursa ya kuwasilisha dukuduku langu Huenda nisifunguke sana...
11 Reactions
70 Replies
4K Views
Habari naomba ushauri au mwongozo jujutsu biashara ya Raba za mitumba za wakubwa na watoto bei ya Balo na wapi pakuzipata.
1 Reactions
1 Replies
839 Views
Ciao! Scale upto 4 to 6 busines figures kwakutumia mbinu hizi A) Streamlined Operation and System katika biashara inalenga kuboresha ufanisi wa shughuli na mfumo wa biashara kwakuwa startups...
4 Reactions
9 Replies
469 Views
Back
Top Bottom