Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu jukwaa la biashara, nina duka nilifungua mwaka jana kuna rafiki alinisaidia kukata vibali vya TRA ila kwa sasa hayupo. Mwaka jana nilihusika tu kwenye kulipia zile kodi za kila baada...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari ndugu jamaa na marafi kutoka JF. Nimejaribu kuwaza kwa sauti hapa, mtu akiwa na mtaji chini ya million moja na yuko mji midogo (Halmashauri) hana shamba. Je, shughuli gani kati ya (kilimo...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna sababu kadhaa kwa nini unaweza kuamua kusajili kampuni. Hapa kuna baadhi ya faida za usajili wa kampuni: 1. Utambulisho rasmi: Usajili wa kampuni hutoa kitambulisho rasmi cha biashara yako...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Benki kuu ya biashara ya NMB Tanzania imetangaza matokeo yake ya kiutendaji ya FY2022|23. Kwamara nyingine Matokeo yakionesha benki hii imevunja rekodi kwa mwaka mwingine...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Wadau kama Kuna mtu ana connection balo za nguo nzuri za mitumba grade one anisaidie Bei yake na idadi ya nguo ndani kwa balo 1 Na mawasiliano yake ,
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi serikali haiwezi kuchukua vijana wetu tukawapeleka china kwenda kujifunza utengenezaji na uundaji wa pikipiki?Hata kwa awamu? Kwanini nasema hivyo pikipiki zimeshaonekana kuwa ni hijati kubwa...
2 Reactions
18 Replies
634 Views
Tangazo nahitaji mpishi wa vitafunwa na chakula cha mchana na Vyakula include pilau biryan wali wa kawaida ndizi mshahara sh laki 2 include chakula cha mchana kwangu kwa atakaehitaji awasiliane...
1 Reactions
3 Replies
335 Views
Statement of Estimated Tax Payable na Final Return of Income ni nyaraka mbili tofauti zinazohusiana na kodi ya mapato nchini Tanzania. Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili: Statement of...
2 Reactions
5 Replies
962 Views
Habari wanna jamii.... Kama mada inavyojieleza hapo juu, ninafikilia kuanziasha biashara ya kuuza barafu katika masoko na shule zinazonizunguka ninaomba ushauri kwa wazoefu katika mambo haya 01...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
1. Personal MBA - Josh Kaufman 2. $100 start up - Chris Guillebeau Natanguliza shukrani
2 Reactions
6 Replies
920 Views
Mimi sina ujuzi wowote wa bima na ninakampuni ya shughuli nyingine tofauti na bima, isipokuwa nimeona nafasi kwenye shughuli zangu hizi nawezakupata ma kazi nyingine za kukatia bima. Tafadhari...
0 Reactions
3 Replies
335 Views
Habari wadau. Nimewekeza kama 10m kwenye bond fund. Jana nimeona imeongezeka km elfu 30 kwenye account ya UTT. Lakini pia nilijaza NMB account ndiyo niwe napata gawio langu na niliwekeza tarehe...
13 Reactions
428 Replies
58K Views
Habari Wana jukwaa!! Ni matumaini yangu mu wazima wa afya njema, na poleni kwa changamoto za hapa na pale katika utafutaji wa riziki, naamini kila kitu kitaa sawa kwani MUNGU yu upande wetu...
2 Reactions
15 Replies
989 Views
Habari wakuu nauliza biashara ipi ya kufuata China tofauti na nguo ambayo itauzikana mkoani..maana uku mkoani wigo wasoko nimdogo sana
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello naitaji ushauri mlezi wangu kapata changamoto ya afya na akashauliwa astaafu kwa hiari lakni Bado anamkopo benki ya nmb na kumaliza ni mpaka mwaka 2026 je hapo utaratibu Huwa inakuwaje...
1 Reactions
3 Replies
378 Views
Mnaofanya biashara za mabucha, samaki wabichi, vinyozi, maziwa, juice fresh, usagishaji wa nafaka na uchomeleaji mnawezaje katika mazingira haya? Marejesho yenu ya mikopo katika mabenki, SACCOS...
4 Reactions
2 Replies
484 Views
Mtaani tumezoea kodi ya fremu kuanzia 50k-200k, kutokana na eneo. Kwa taarifa ninazopata ni kuwa fremu K.koo si chini ya 1M, oky hio sikatai kutokana na eneo lenyewe. Vipi hawa wanaosema ni...
3 Reactions
154 Replies
34K Views
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki, Me naitwa Gerald Anthony Lyapega naishi Kinyerezi ni muhangaikaji wa kawaida tu kwa jina langu la mitaa wananiitaga GYGA. Pointi yangu ni kupata mshirika wa...
12 Reactions
60 Replies
3K Views
Habari ya jioni. Yes, ukitaka kupoteza marafiki, jamaa ndugu na kadhalika wewe kopesha pale ambapo wanahitaji pesa. Kuanzia last week nimeset muda wa kupigia wadeni wangu ambao walikuwa na shida...
7 Reactions
12 Replies
613 Views
Habarini wanajamvi, nilikuwa na wazo la biashara ya maji maarufu kama Water ATM lakini sina taarifa sahihi juu ya biashara hii, hivyo basi kwa yeyote mwenye taarifa yoyote juu ya biashara hii...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom