Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari za muda huu wakubwa. Mimi ni kijana wa kiume ambae nimebahatika kupata sehemu yangu ya urithi toka kwa wazee wangu ambapo nimepata milioni 30. Nilikua naomba wazoefu, watu mnaoifanya hii...
8 Reactions
26 Replies
17K Views
Habari za Leo wakuu.. Naomba kwa anayefahamu Tani 1 ya parachichi(Hass) ni shilingi ngapi? Naomba Bei ya shamba na Bei ya kutoka shamba mpaka Dar. Shukran
2 Reactions
2 Replies
881 Views
Kama una swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa usajili wake, kufanya mabadiliko, kodi za TRA na chochote kile kinachohusu kampuni kwa BRELA na TRA uliza hapa nitakujibu. Karibu
13 Reactions
278 Replies
32K Views
Sina mambo Mengi sana ipo hivi nataka mshirika aliye serious tufanye ushirikiano wa kula hela japo ndogondogo kila siku formula hii hapa yeye Atachagua team moja ya GG Na Mimi nitachagua yangu...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Wanakambi, kuna mghahawa mmoja nilizoea kupata chai ya asubuhi na vitumbua maarufu kama "Kwa Mama P" ni hapa Mwenge jijini Dar es salaam. Siku zote tulikuwa tukiuziwa kikombe cha Chai Shilingi...
3 Reactions
15 Replies
779 Views
Mchoro umetiki umepata kazi ukalipwa million hela haichukui siku mbili ya tatu chali umebaki na hewa hamna kitu ila ka elfu ulichobakiza kanadumu hata siku nne bila shida, unakabembeleza leo 2000...
15 Reactions
132 Replies
4K Views
Nafanya biashara za nafaka na mazao, Nina shamba na mifugo, nina duka na gari za mizigo, nimeajiriwa kama mwalimu wa serikali nk. Nina ujuzi mkubwa Tu na experience ya miaka mingi kwenye Dunia ya...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa Miaka 25 nipo Mbeya Mjini, natafuta kazi na nipo tayari kufanya wakati wowote upande wa Mauzo na usimamizi wa biashara yeyote kwa uadilifu kabisa. Kielimu nina Bachelor degree ya...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna msemo mmoja unasema kama unasubiri uje upate milioni mia ndio uje uaze kufanya Biashara fahamu kabisa kichwani mwako kuna uwezekano mkubwa sana Maisha yako yote ukashindwa kuja kufanya...
15 Reactions
15 Replies
5K Views
Bodi ya Wakurugenzi ni sehemu muhimu ya uongozi wa kampuni au shirika. Majukumu ya Bodi ya Wakurugenzi: 1. Kutoa mwelekeo na sera za jumla za kampuni. 2. Kuchagua na kusimamia Mkurugenzi...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Ataenzisha biashara ya Uber au Bolt Mbeya atapata pesa sana, pamoja na magari executive ya kukodisha. Mimi kila nikiwa na kazi kule inagharimu ofisi yangu million 5 kusafirisha dereva na magari...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau habari zenu, Nimepata frem mahali kwaajili ya kufungua Biashara, kuna Jamaa anahama. Sasa kuna mdada anaeishi hapa kwenye hii nyumba kanambia kuwa hii nyumba haina Riziki/haina baraka ya...
1 Reactions
8 Replies
504 Views
Kwa mtaji wa 3mil naweza kupiga business gani hapa Dar es salaam? Hii 3M sijapewa na mtu. Ni Katika harakati zangu za kutafuta since 2022 hadi leo ndiyo niliweza kuweka Chochote ninachopata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Me kijana wa kiume (24) nimemaliza chuo mwaka huu, Nina mtaji wa m1.5 ipo kati ya biashara hii itanitoa; (1) BIASHARA YA NAFAKA. Ni biashara ambayo naipenda sana tangu zamani japo sijawahi...
5 Reactions
25 Replies
5K Views
Huku wengine tukijitamba kuweza kufika mpaka vyuoni na kuona tuna bahati kwa kupenya kwenye system kuajiriwa na kupokea mishahara ya milion 1.xx, Najiuliza mara mbili mbili nafanya kitu gani na...
2 Reactions
6 Replies
863 Views
Kama kichwa cha mada mie mdau nimebangaiza kitaa nina 4m hapa nataka nifanye biashara ya uwakala wa pesa kwa simu na mabank, natafuta frame ya kufanyia biashara hiyo iliyopo maeneo yalochangamka...
3 Reactions
16 Replies
6K Views
Prof. Muhongo Ataja Kazi Zinazohitajika Duniani: Software developer, Data scientist, Information Security Analyst, Nurses, Management Analyst na Artificial Intelligence Specialist. Mbunge wa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Biashara ni siri..aisee usitoe code kabisa Mimi kuna biashara nilikua nafanya 7years back sasa bana nikampa code wife...wife ana rafiki yake si ampa siri yote! Nakuja ingiza mzigo sokoni aisee...
17 Reactions
48 Replies
2K Views
Serikali imetoa wito kwa Watanzania kuwekeza zaidi katika viwanda vya maziwa nchini kutokana na kutolewa kwa kodi nyingi katika viwanda vya bidhaa hiyo pamoja na kuwepo kwa soko la ndani na nje ya...
0 Reactions
1 Replies
370 Views
Mnaomiliki hivi vyombo vya moto au madereva au kama una experience Naomba ushauri Kati ya guta na bajaji ipi -Inarudisha hela mapema -Inauhakika wa hela kwa boss -Ikitokea dharula inauzika...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom