Kama ulipanda hii gari ukiwa mdogo punguza kula chumvi, sukari na nyama nyekundu.Na Pia Nawaambia Vizazi Viipya Hili Gari Ni Peogeut 404 Miaka ya 1964/69 Lilikua Likiuzwa Tsh.3000/= Mpaka 3500/=...
Tunaunda welding machines kwa bei nafuu. Tunapatikana Dar es salaam. Na kwa wale WA mkoani tunautaratibu WA kuzisafirisha mpaka hapo ulipo.
bei zetu ni 300,000/= kwa mashine ya Amps 280 na...
Habari wana-JF,
Kwa wale wakazi na wenyeji wa Jiji la Arusha naomba mnipe taarifa kuhusu maduka yanayouza laptop used & refurbished nzuri.
Nimeangalia online nimepata maduka kadhaa ila nataka...
Huyu mwenye hii biashara ni maarufu sana kwa utengenezaji wa maturubai ya magari ya mizigo kama Canter, Fuso, Scania tandem n.k
Mwamba kajipata sana sijaona mshindani wake mpaka sasa. Siri ya...
Habari za wakati waponchaji na madigala na watu wengine, tumain langu mnaendelea vyema na kijiti cha utafutaji na bwana anaendelea kubariki kazi ya mikono yenu.
kama uzi unavyosema ni mahususi...
Habari wakuu,
Naomba kujua kwa wale wenye experience ya maduka ya mangi kama nitakaloliambatanisha hapo kwenye picha ,kuanzisha inahitaji mtaji wa shingapi ? Imechukua frame mbili hiyo.
Asante
Habari wakuu,
Matumaini yangu mko vizuri na wenye shida Mwenyezimungu awasaidie, Niende moja kwa moja kwenye maada.
Wakuu naomba kuuliza kuhusiana na duka la Dawa za asili au kama ilivyozoeleka...
Habari zenu wakuu.
Ningependa nipate maoni/busara yenu katika hili. Mimi natamani sana hapo baadaye niekeze katika kilimo biashara. Najua kila zao lina changamoto zake ila nahitaji kuelewa kutoka...
Habari Wakuu ningefurahi Kama nitapata mchanganuo was biashara hizi mbili.
👉Kuanzia Gharama za uanzishaji, utekelezaji wa viwanda hivi.
Najua vyote ni Bora, ila utofauti lazima uwepo?l!!.
👉Kwa...
Habari! Natafuta Kijana wa kuuza duka awe na sifa zifuatazo:-
Awe kijana wa kiume
Amemaliza kidato cha nne
Awe mwaminifu
Awe mkazi wa Dodoma mjini
Awe na mdhamini mkazi wa Dodoma mjini
Awe tayari...
Kuna hela kama million 10 ninampango wa kuitumia miez sita mbele, kwahyo nahitaji kuihifadhi kwenye fixed account.
Wadau ni benk ipi itakua na asilimia nzuri katika faida. Natanguliza shukrani wakuu.
Serikali imesema shehena ya kwanza ya sukari imewasili kukabiliana na uhaba uliopo
Wananchi sasa wawe na amani kwani sukari ipo na bei elekezi inajulikana
Source: TBC
Dar es Salaam. Tarehe 31 Januari 2024: Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB imezindua msimu wa tatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ na...
Habari wana JF leo nina mengi ya kuongea na ninyi wateja au wadau wote kwa ujumla juu ya kununua hivi vitu vya kieletroniki kama vile Tv , Home threater , pasi , na vitu vingine vingi ila kwa leo...
Kutokana na wadau wengi kutaka kujua hasa gharama za uzalishaji wa mkonge na muda gani unaaza kupata faida ikanilazimu niwaandalie hii bajeti ambayo tunaitumia kwa mkoa wa Tanga ila inaweza...
Wakuu nimepewa taarifa kuhusu mikopo kutoka kwene hzii taasisi Tulia foundation na Mo foundation. Nataka nijue kuna changamoto gani kwa mkopaji?
Je, siyo kausha damu?
Mkopo unalipika?
Kuna...
Guys natamani sana kuifanya hii biashara ya Tax kwa njia ya mtandao kama vile kupitia Uber na Bolt lakini sijui ijui sana bishara hii, mwenye kufahamu lolote kuihusu hii biashara anipe info’s...
Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo...
Salaams JF,
Nilipata wazo la kuanzisha bakery maeneo ya Sinza. Products ni ; Mikate, Maandazi na cakes aina mbalimbali. Sikuomba au kutafuta ushauri kwa mtu yeyote. Pia sijafanya research ya...
Habarini wanajamvi, nimekuwa nikisikia watu wakisifia sana kuwa Msumbiji kuna pesa sana ukipeleka biashara mfano nguo, urembo hata bidhaa za vyakula kama mboga mboga, mtu aliepo huko, au ashawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.