Katika nchi zilizoendelea na nyingi za Latin America na Asia au hata jirani zetu Kenya kuna biashara kubwa ya sehemu za makaburi inayofanywa na makampuni binafsi. Unakodishiwa kaburi unakuwa...
Habari!
Wangapi kati yetu tushakutana na changamoto ya kupoteza pesa sababu tu Vodacom Mpesa wanakataa kurudisha pale vifurushi vinajinunua mara mbili wakati mmoja?
Kuna haja ya kupaza sauti kwa...
Kama ulikuwa hujui CRDB wanakukata 10% kwa kila unapolipa kwa Dola ($) kutoka account yako ya Tsh. Mfano juzi nimelipia 216$ nilikuwa na salio la Tsh. 618,591.67 mwisho nimebaki na 75,993.47...
Habari wakuuu.
Nimekuja mbele yenu kutaka msaada kwa mwenye ujuzi wa biashara ya juice za matunda fresh location ni Dar.
Je, ni zipi changamoto za biashara hii.
Je, soko lake likoje na ni kwa...
Habar wakuu
Biashara na ujana nichangamoto kweli kweli kama hukuweza dhibiti usimamizi na matamanio ya mwili pamoja na matumizi yasio rasmi.. fuso kuanguka mtoni na kuipoteza ni 42m, kushindwa...
Jamani eeh, kukodi fremu ufungue duka unapoteza hela zako. Somo hili kichwa cha habari hii kinahusika.
Hii tabia imekithiri sana hapa nchini. Utakuta mjasiriamali analipa pesa nyiiiingi kulipia...
Habari JF
Kuna kijana wangu amepata Bajaji ya mkopo.
Sasa Kuna kijiwe huku Kigamboni gharama za kujiunga Ni 50,000/=
Na mzunguko wa kawaida Sana.
Lakini anasema kupitia Bolt na Uber Ni bure...
Nimeandika kitabu cha hisabati Kwa shule zinazotumia lugha ya kingereza, lakini changamoto ni Soko. Naomba mwenye uzoefu wa kufanya na kutangaza biashara mtandaoni anipé uzoefu au namna bora ya...
Uzi huu tujuzane bidhaa zenye viwango vya juu hasa kwa wale wasio na pesa za ziada za kununua upya kitu kile kile ama wanaopenda kukaa na vitu vinavyodumu.
Tujadiliane brand ama model za bidhaa...
Wakuu nataka niwe na chukua Mali aidha kariakoo au bara mzigo gani unatoka nao uhakika ukivuka maji na Meli au vi boat?taratibu zake na changamoto zake ni zip?
Poleni sana na majukumu wadau.katika pitapita zangu nimekutana na hili swala la pepsi kuanzisha biashara mtandoni wana sema ukitaka kuwa member nilazima ulipe ada na watakuweka kwenye madaraja...
Niko kwenye market research, Nataka nitengeneze application inayo offer service flani. Service gani inahitajika sana Tanzania ? Mwana JF mmoja kaniambia iwe ya ajira na Tenda
Habari ndugu zangu wana jf.
Nataka niagize simu aina ya Googe pixel 5 matumizi yangu binafsi Kwa njia ya Alibaba.
Mwenye ujuzi na hili namba anielekeze asee Ili nisipigwe na kitu kizito.
Asanteni...
Habari wakuu?
Nimekwama naomba mnisaidie wazo la biashara angalau nisikose 20000 kwa siku..
Mtaji ni milioni 4 isizidi 5
Naomba pia maelekezo ya sehemu gani Arusha hiyo biashara itafaa zaidi...
Wakuu ...poleni na majukumu ya hapa na pale
Niende moja kwa moja kwenye mada..Mimi Kuna kipindi niliajiriwa Sasa mwaka Jana mwezi wa sita Mimi na jamaa zangu tukatimuliwa...nikalipwa kifuta jasho...
Wakuu, hongereni na majukumu ya ujenzi wa familiya zenu na nchi kwa ujumla.
Mimi ni mjasiriamali mdogo, ninabiashara ndogo eneo la Mbagala. Niliamua kuweka na mifjko hii ya kubebea bidhaa, na...
Wakuu,
Kuna gape nimeliona mahali la kutengeneza pesa kidogo.
Eneo lina uhitaji sana wa movie zilizotafsiriwa kuanzia single na series.
Well, nina mpango wa kufungua ofisi yenye ina deal na...
Habarini! Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon anipe ikimpendeza hata na CARGO wa Tanzania wa uhakika.
Karibuni jamani mnipe moja mbili na mimi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.