Leo nitakuwa mtomvu wa nidhamu sitaanza na salamu kama nilivyozoeleka.
Swali langu:
a). Biashara ya magazine (majarida ya matangazo ya baishara) inaweza kufanyika kwa mtaji wa shilingi ngapi...
Kama wewe ni mzoefu vifaa vya majumbani na pia unajua pasi gan inafaa kwa matumizi ya familia kwamba anaweza tumia mtoto, kaka, baba au mama bila kuleta matatizo ya ku overheat au kushindwa ku...
Habar kwanin wahindi wengi mitaa ya kariakoo hupenda kufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi wakati mwingine saa nne na huwahi kufunga maduka Yao saa kumi na moja na nusu..ukizingatia wengi hukaa...
Ninawasalimu wote katika Jumapili hii Njema, na tulivu. Naomba nisipoteze mda na niende kwenye mada moja kwa moja.
Baada ya kuwa napata matangazo ya App za mikopo, nikaamua nifanye ka utafiti...
Habari, nina mpango wa kuanzisha cleaning agency, so ninaombi kwa mwenye uzoefu ili nijue mambo mawili matatu.
1) Bei za usafi wa sofa na carpets.
2) Bei usafi wa nyumba nzima
3) Bei kung'arisha...
.
Akasema basi ntasubiri mpaka utakapo pata ndio nitaondoka!
Kumbe hapo alishaenda kununua vitu vyake kwa ajili ya safari..
Wife akasema usilazimishe mwache aende tu, basi Mimi kupiga simu kwao...
Wakuu, kumekuwa na maneno mengi kuhusu hili. Leo nimetumiwa picha hii toka kwa mdau mmoja kwamba wanayo, sasa sijui kama ni utapeli ama ni real. Kuna clip yake
Habari wadau,
Nilikuwa nawadharau sana vijana wanaoimbaimba na kucheza cheza TikTok. Nawaona wapuuzi hawana kazi ya kufanya na wajinga.
Mtoto wa shangazi yangu ni mmojawapo wa hao wapuuzi wa...
Anaandika Kenge
Kwanini mawazo ya biashara hasa kwa sisi fresh youth yanafanana sana? yani ukikamata vijana kumi wa kibongo ukawapa mtaji ukawaambia fanya biashara..Watakimbilia kufungua duka...
Habari Wana Jukwaa.
Karibu katika Andiko hili ambalo nitaeleza biashara hii kinaga ubaga.
Tutaanza na topic hizi:
1. Jinsi ya kuanzisha kiwanda kidogo cha Maziwa
2. Jinsi ya Kutengeneza...
Je, unajua umuhimu wa mwamvuli kwenye kutangaza brand yako? Kuongezeka kwa utambuzi wa brand ni mojawapo ya manufaa ya msingi ya kutumia miavuli ya utangazaji kwa kampuni yako. Bidhaa hizi za...
Habari wapendwa,
Kuna rafiki yangu (wa kiume) anahitaji mtu wa kumuonesha njia/kushirikiana naye kwenye Biashara
Na maanisha anahitaji mtu anayefanya Biashara tayari na anayehitaji mtu wachangie...
Habarini wanajamvi bila shaka mu wazima wa afya,
Poleni na shughuli za kila siku za kuendesha maisha,
nahitaji msaada wenu wa mawazo kuhusu vifaa muhimu vya kuwa navyo kuendesha biashara ya...
Karibu mkoa wa Lindi kata ya Yangamara kitongoji cha Kilidu. Wakati tupo mbioni kuelekea mavuno ya ufuta tunawakaribisha matajiri na wafanyabiashara kwa nia ya ununuzi wa ufuta.
Fuata utaratibu...
Habari wafanyabishara,
Naomba kupata Experience kidogo kwa wale waliowahi kufanya matangazo either ya redio ama mtandaoni.
Kipi Bora na kinaleta matokeo ya haraka, Kutangaza Biashara mtandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.