Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ukitaka kutoboa ndani ya muda mfupi wa Mwezi January hadi March kuna biashara maalumu za kufanya, japo zinahitaji mtu asiye na aibu aibu, pia mwenye wito wa kibiashara. Ni biashara ndogo ndogo...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam Alleykhum, Wadau kwa kutumia uzoefu wenu, nishaurini nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12 nilionao ili kila mwisho wa mwezi at least nipate Net profit ya milioni mbili...
17 Reactions
377 Replies
65K Views
Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/- milioni ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara. Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri...
4 Reactions
142 Replies
51K Views
Imani yangu mko vema sana humu. Mimi Naenda moja Kwa moja kwenye mada naomba kuelezwa kwamba Kuna notion ya taifa kutumia fedha yake Kwa Kila kitu hata kununua bidhaa kutoka nje kw Hela yake...
0 Reactions
1 Replies
333 Views
Habarini wana Jamiiforums. Mimi ni mjasiriamali, biashara yangu ya Sasa na iliyofanya Nika make hiyo pesa ni nguo za mtumba nayofanya katika minada... Natamani kufungua ofisi nyingine, wife...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Nina swali wana JF .Je Mfumo wa Brela kufanyia kazi taarifa zilizoboreshwa kwa kuchukua mda huwa inachukua mda gan mpaka mchakato mzma umalizike?
2 Reactions
10 Replies
505 Views
Habari wakuu Moja kwa moja kwenye mada, nina mpango wa kuingia katika biashara ya mtandao(Network Marketing), asilimia 80% ya maoni niliyoyapata kwa watu wa karibu ni negative; yaani wanaamini...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Umoufia Kwenu wana JF, Mtunzi wa kitabu cha Ujasusi Ndugu Yericko Nyerere katika kuwa_encourage watunzi wenzake watumie majukwaa ya kimataifa kuuza kazi zao,amewapa siri jinsi yeye alivyofaidika...
17 Reactions
103 Replies
50K Views
…kama Umewahi kwenda Jeshini basi… . Utakuwa umeshawahi Kukutana au Kusikia Mbinu nyingi za Kivita Zikifundishwa… . Hata kama Hujawahi kusikia basi Ondoa shaka... . Kwasababu… . Hapa chini Naenda...
25 Reactions
39 Replies
3K Views
Tupeane uzoefu jinsi ya kufungua biashara ya duka la alminium na vioo, mtaji kiasi gani unahitajika, changamoto zake na ni vitu gani vya kuanza navyo.
3 Reactions
1 Replies
743 Views
Guyz natafuta kiwanda cha kutengeneza chupa, kipo kweli bongo or ndio hadi twende Kenya?
0 Reactions
37 Replies
14K Views
Napata wapi mkopo wenye riba ya 10% Kutoka kwene taasisi kubwa?
1 Reactions
10 Replies
841 Views
Naplan kufanya biashara maeneo ya Mbezi Mwisho. Anaejua utaratibu wa kupata eneo kwaajili ya kuweka meza ya biashara hapo Mbezi naomba anielekeze.
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari! Leo Jan-19-2024 Benki kuu ya Tanzania BOT imetangaza rasmi kuanza kutumia mfumo wa Riba, kama taarifa yao inavyoeleza "BoT YATANGAZA RIBA YA BENKI KUU KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA 2024"...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
habari wa ndugu, naomba kufahamu anaye elewa utaratibu wa kuchukua mzigo wa rasta kwa bei ya jumla kutoka kiwandani anieleweshe na bei inakuwaje nataka kuanza biashara hii kuchukua mzigo mkubwa...
1 Reactions
6 Replies
15K Views
Ni muda mrefu Sasa tangu kuletetwe new version ya sim bank application ya CRDB , tatizo la app hii ni kutofungika na kuonesha blank vision na kugoma kufunguka kabisa,,,nini shida hapa??
0 Reactions
2 Replies
591 Views
Wakuu matumaini yangu wazima, Wote mtakumbuka katika hotuba ya bajeti ambayo imeanza kutekelezwa Julai mosi 2023 tuliambiwa kuwa Magari ya umeme hayatakua na kodi. Serikali ya CCM ilienda mbali...
0 Reactions
3 Replies
479 Views
Marafiki wa kiume na wa kike kuna changamoto kwenye biashara yangu ha kukaanga chipsi ina mfa mfupi toka nifungue ila watu wakija kununua wananiambia biashara bila mizizi haiendi. Mwengine akaja...
0 Reactions
5 Replies
645 Views
Salaam, Mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo wa vitenge hasa kutoka Tunduma, katika kuhangaika wa kunifungia mzigo nishajikusanya nikaanza kufanya utafiti nikakutana na sister mmoja anasema yupo...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Kwema jaman wandugu, napenda kujua haya yafuatayo kuhusiana na lipa ya Azam pesa. Kiwango cha mwisho kutoa pesa n shs ngap??? Je ukitoa pesa kutoka Azam pesa kupeleka kwenye code ya Azam pesa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom