Wakubwa kuna mtu ananipa somo kuhusu uwekezaji wa mtandani kupitia kitu inaitwa Effiliate naomba oujua zaidi kama ni cha kufanya au cha kuacha maana naweza kusema naipotezea kumbe naweza kupata...
Dar es Salaam. Tarehe 16 Januari 2024: Katika kuimarisha uwezo wake na ushirikishaji wa wadau, Taasisi ya CRDB Bank Foundation imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na Shirika la Maendeleo la...
Habari wana-JF! Nipo na 5m ambayo nafikiria kuwekeza kwenye biashara. Nimepitia mawazo mengi ya biashara ila gaming lounge naona ni biashara nzuri kuanza kwa mtaji nilionao.
Faida ya eneo nilipo...
Watu MASIKINI Wameundiwa Mfumo, Utakaowaongoza.
Ili wasivuke katika MIPAKA ya UMASIKINI wao.
Unasema nimejuaje?
Sasa Hebu Angalia…
Wakati wa zamani Wazungu waliigawa dunia katika Vipande...
Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani?
Samahanini wakuu, naombeni mchango wenu on regard of heading above
Kama unadhani vijana wanaojihusisha na kazi ya kubeba mizigo ya watalii ndani ya hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimajnjaro(KINAPA) maarufu kwa jina la 'wagumu' ni vijana wasijiotambua na ambao...
Habari, naomba mwenye uzoefu wa kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online uitwao tausi portal unaopatikana katika tovuti ya Tamisemi, anisaidie namna ya kupata mawasiliano ya huduma kwa...
Wakuu salama.
Natafuta business partner/Investor awe na capital at least 5ml hadi 10ml.
Aina ya biashara: ni biashara ya butchery, mayai na maziwa
Eneo: ni Kahama na Mwanza
Kwa sasa biashara ina...
“A CALL FOR REFORM”
1.0 Introduction
Time is of the essence, especially in the realm of tax disputes where financial stability and regulatory compliance hang in the balance. In Tanzania, the...
Bonjour
Wakuu, embu tupeane ushahuri hapa Leo, jinsi unavyo weza ku save pesa hapa mjina daslam .. Aisee hiki ni kipengele sana kwangu, una save pesa, mara linakuja tatizo moja heavy, unajikutana...
Habari zenu,
Nina ofisi zangu za Uwakala wa mitandao ya simu na nimekuwa nashangazwa na Kamisheni ndogo zinazotolewa na Vodacom.
Mitandao mengine ipo vizuri kiasi chake lakini Vodacom wamekuwa...
Habari zenu wanajamii Forums
Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x.
Nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom nitakalopata nanunua mzigo mfano pochi.
Nguo halafu naweka...
Salam,
Toka Disemba nilienda kununua Azam hazijafika. Nimerudi Jana tena maduka ya Karatu yote hayana hizi decorder za Azam.
Nikanunua Dstv nikasema ngoja nione wakoje.
Wakanipa kifurushi Cha...
Habari members Nina shida na million 15 haraka Sana ndani ya wiki hii lakini Sina chochote Cha kuuza chenye thamani ya mil 15 Wala Sina asset ya kuweka dhamana nikakope bank au kwa mtu yoyote...
Ukikopa Bank 20M kwa riba 16% kwa muda wa miaka 9(miezi 108) unalipa 37,854,541.16, kwa ufupi ni kama M38 hivi,(KAUSHA DAMU P2)
Hii ni kutokana na kikokotoo cha loan calculator,
Sasa nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.