Habari wanajamii,
Mimi ni kijana niko chuoni Nina laptop yangu yenye thamani ya 1,500,000 natumia ina best specifications nilinunua kwa kazi za graphics na chuo masomo ya IT sasa nilawa siingizi...
Wanajanvi, ninaomba mniambie, kwa watu waliowahi kuwekeza wanapata manufaa gani. Je huu mfuko ni sawa na kununua hisa? Je unapataje manufaa? Mwanye uzoefu anieleze tafadhali, asante.
===========...
Lengo la swali langu hili ni kupata company kutoka kwa hawa wamachinga wa mbezi maana nami ninampango wa kufungua meza yangu ya biashara hapo mbezi mwisho. Nilishapata eneo na nimeongea na mmiliki...
1. Mshahara haujawahi kutosha.
2. Ongezeko la mshahara huwa haliendani na ukuaji wa gharama za maisha.
3. Mshahara huwa unaleta uteja, unapozoea kupokea kila mwezi unakuwa kama mlevi.
4...
Uwekezaji katika Bond au Hati fungani ni aina ya uwekezaji ambao imekuwepo kwa muda mrefu sana katika nchi mbalimbali,
Hata hivyo hapa nchini kwetu dhana hii ya uwekezaji bado inaonekana kwa ni...
Naibu Waziri Kihenzile Akagua Upanuzi wa Bandari ya Pangani, Bandari ya Kipumbwi na Bandari ya Mkwaja Zinazotumika Kusafirisha Ndani na Nje ya Nchi Bidhaa za Mifugo, Saruji, Mbao
"Nikiwa...
Nilikua Dodoma kwa mara ya kwanza siku 4 zilizopita. Kuna siku niliingia machinga complex ambayo iko barabarani tu. Kwa mimi naweza kusema ni kama karume pale Dsm. Aisee hapa Iringa the same...
Naomba tuangalie Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza kuzifanyia kazi kwa ajili ya MAUZO ya nje (exports)
Wakuu tunaendelea kuangalia kila Aina ya Fursa kutokana na changamoto ya ukosefu...
...Mwaka 1990 Nchini Marekani...
.
Alikwepo Mbunifu mmoja Hatari sana wa Mitindo ya Viatu vya KIKE
.
Aliyejulikana Kama...
.
"Steve Madden"
.
Kwa Kipindi Kile...
.
...Steve Madden alikuwa Akiishi...
Wanabodi kutokana na hali ya kimaisha kuendelea kuwa ngumu, nimepata wazo la kuanzisha Darasa dogo tu la mafunzo yale ya awali ya computer ikipendeza nianze na computer 10, naomba Ushauri kwa...
Naomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!!
Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia
Mfano mi jana gesi imeisha...
Kama huwa unapenda ama unaskia au unatamani kuagiza mizigo china au nje ya nchi basi huu uzi ndio mahali yako.
Kwanza kabla sijaendelea, nikupe pole wewe uliyepatwa na hili janga la kutapeliwa...
…mwaka 1942 katika Mji wa Liverpool nchini Uingereza…
.
Alikuwepo Muuzaji mmoja Hatari sana kuwahi kutokea aliyekuwa anaitwa…
.
“Ben Feldman”
.
Ben alikuwa anauza…“Life Insurance”
.
Ambazo Mfano...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Napenda kufahamu kama kuna mtu mwenye uzoefu la hili swala anielekeze. Kwa anayefahamu application ya skrill inayotumika kutuma pesa kutoka nnje ya nchi kuja hapa...
Wakuu, huduma ya M-KOBA inayotolewa kupitia kampuni ya mawasiliano ya VODACOM imekuwa maarufu miongoni mwa watumiaji wake hasa makundi ya watu wenye malengo mbalimbali kama vile kusaidiana katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.