Habari wanandugu na wageni na wenyeji wa JamiiForums hakika Mungu aendelee kumbariki mwashishi wa hii kitu
Nivumiliwe tu sio mtaalamu wa kuandika sana ila najua sana kusoma waliachoandika...
Wandugu habari kuna kitu katika uwekezaji ( investment portifolio) kinashauriwa kuwa nacho ni kuwekeza katika channel mbalimbali zinazoweza kukuletea kipato (Positive Cashflow).
Katika kuangalia...
Habari wana jamvi,
Naomba ushauri nataka kwenda uganda kuleta nguo za mitumba, pochi na viatu pamoja na vipodozi napenda kujua cha kufanya maana ndo nataka kuanza ikiwemo accomodation nikiwa...
• Habari wana JamiiForums na wafanyabiashara wenzangu, nataka nitengeneze milioni yangu ya kwanza mapema mwaka huu. Hata hivyo, Maana nimekuwa kila nikitafuta hela nashindwa kufikisha million ...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Napenda kuandika ujumbe huu kwenu kuomba MSAADA wa mawazo, pesa ama kazi.
Mm Ni kijana wa kiume( msukuma), mhitimu wa chuo, course ya bachelor of science in...
Habari zenu.
Nilifika kariakoo kwa lengo la kutafuta spea za pikipiki yangu aina ya tvs na baadhi ya vifaa vya electronics.
Lililonifedhehesha ni hili, nilikuwa na shida na ''Tv Guard''...
Habari za muda huu wakuu, nende moja kwa moja kwenye maelezo mafupi juu ya swai langu.
Kwanza kwenye account yangu ya NMB kuna kama mil.3.5 hivi ambayo ipo kweny fixed accont. Sasa wiki...
Hivi Watanzania mna matatizo gani? Mnafahamu maana ya depreciation? Gari gani inaongezeka thamani baada ya kutumika?
Hivi mnajua hayo magari mnanunua kutoka Japan kwa Usd 3,500 yalipotoka...
Inawezekana kisungura ikawa ni gongo Ile wanatuficha tu ....Jana nimekikataa kisungura nikamix na energy kwanza nilikosa usingizi nilihangaika Sana kitandani wakti mda huo tumbo linauma sana...
Jamii Formums, mwaweza kuweka pia jukwaa la masuala ya utalii.
Ninaandika kuhusu sehemu inayoitwa Chemka, Hot spring iliyopo Hai, Boma ng'ombe huko moshi. Kiingilio kwa mtu mmoja ni elfu 5, wakati...
Imetoka kwenye gazeti la Rising Kashmir
KASHMIR kwa sasa inashuhudia idadi kubwa ya vijana wa kike wakiingia katika biasharaa ya ujasiriamali baada ya kuushinda uhafidhina, ikiwa ni njia...
Habari za wakati huu,
Nimetumaini yangu kwamba mnaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa taifa.Leo ni tarehe 31 Ya mwisho wa mwaka.Leo nimeona nilete mjadala mdogo hasa kwetu sisi wajasiriamali na...
Vipi wadau mbona Bei ya Sukari imepanda ghafla, tena kwa ongezeko la asilimia arobaini na tano (45%)
Naona ugumu wa Maisha kuelekea/kuanza kwa mwaka 2024.
Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake.
Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata...
Azam TV wakonga nyoyo za burudani Tanzania baada ya kutambulisha Visimbuzi vya kwenye mabasi. Hivi sasa tutakuwa tunacheki mechi za simba na yanga kwenye mabasi ya mikoani. Kupitia kurasa zao leo...
Habarin Wana-JF,
Nahitaji msaada wa kujua ninawezaje kupata vifungashio vinavyokubalika kisheria vya kufangashia mazao jamii ya kunde na kama kuna mashine zinazoweza kubana nahitaji kuanzisha...
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akikabidhiwa maua ya pongezi na watumishi wa Wizara hiyo alipowasili katika Ofisi za Wizara, Mtumba Dodoma, Julai 18, 2023, baada ya kuapishwa...
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - LIMENI MIWA KWA WINGI, SOKO LA MIWA LIMEKUWA KUBWA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka wakulima wa miwa kuendelea kulima miwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.