Habari wakuu
Samahani sana Mimi nina mtaji mdogo wa 5m
Ila nahitaji ni fungue hardware itakayo kuwa na vifaa vidogo vidogo vitakavyo endana na bajeti yangu
Naomba kama kuna mtu yoyote mwenye...
Wakuu kheri ya sikukuu ya kuzaliwa KWA Yesu? Assalam aleyko?
Nilikuwa naomba kuuliza kama upo na asset unaweza kwenda kuomba mkopo KWA ajili ya biashara au ni lazima iwepo biashara ambayo ipo...
DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Nilifanya course iliyopita na kwakweli madini niliyoyapata yalikuwa yamesimama. huwa naattend sana forums nyingi za investments na personal...
Wafanyakazi tumenongwa sana tuache kutegemea single source, yaani hela za makazini tujiongeze kidogo na shughuli nyingine. Yaani kweli mtumishi inafika tarehe mshahara hujatoka unakosa hata 5000...
Kiujumla nahitaji ku-invest pesa kwa kuweka kidogo kidogo kwa muda wa miaka mitano bila ya kutoa kiasi chochote huku nikitegemea faida baada ya miaka hio mitano.
Nahitaji msaada katika nyanja...
Nilikuja hapa kununua nyama leo sikukuu watoto wakale lakini nimekuta bei zimebadilika hadi elfu 11 kwa kilo, naomba serikali itusaidie udhibiti wa bei ambazo zinapanda mara kwa mara.”- Dickson...
Wakuu, pamoja na kuwa kila mtu na maisha yake na life style yake lakini ni vema kukumbushana kuwa na tahadhari kwenye matumizi ya Fedha.
Bila hivyo kuna mambo yataparangana Januari au hata miezi...
Waziri Dkt. Kijaji: Serikali Kuendelea Kulinda Viwanda Nchini
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji Mb), amesema Dhamira ya Serikali ni kuhakikisha viwanda vya wawekezaji wa ndani na...
Welcome | Karibu
Date Tours & Safaris!
We provide tours and travels services, along with the best safari tours to all the top destinations in Africa. We can provide private tours and safaris for...
Kama Title inavyosomeka. Ninatafuta Lilipo chimbo la Mabati, Misumali, PVC na Chuma(square Pipe, metal sheets na round pipe) bei ya jumla(kiwandani).
Mwenye Chimbo atakula 50k( kunipeleka/...
Habari wana-JF, naomba kujua bei elekezi kwa 4G router ya Vodacom inayoweza ku-connect devices 5.
Nimeona vifurushi vyao bei iko juu kushinda Airtel ila wateja wengi wanalamikia mtandao wa...
Heri ya mwaka mpya?
Kama wewe ni msafiri maeneo mengi sana nchini yanajengwa Vituo vya kujazia mafuta. Mfano ukitoka Dar es salaam kuelekea tunduma...Njiani ni mamia ya vituo yanajengwa hasa...
1. Uwe na kifua kikubwa cha kukabili mambo magumu, uwe mvumilivu , issue kama kodi, madereva, adhabu, matengenezo
2. Uwe na fundi mmoja unaye mwamini
3. Kosa moja lisimfukuze dereva, wekeza...
Historia imeandikwa katika Masoko ya Mitaji Afrika Mashariki leo baada ya Hati fungani ya NMB Jamii kukusanya Tsh Bilioni 400 ikiwa ni zaidi ya mara tatu ya lengo lililokusudiwa ambapo ni Tsh...
Kwanza kabisa nawasalimia kwa salamu ya pamoja, poleni na pilika za kutwa nzima,
Karibuni unaweza kuondoka hapa na chochote,
Leo nitawazungumzia watu wa makundi ya aina 3
1. WAMILIKI
2. WATEJA
3...
Habari wanaJamvi,
Natumaini siku yenu inaendelea vizuri.
Kama ilivyotajwa hapo juu, natafuta anayeshughulika na BioGas hapa Bongo. Nahitaji sana.
Asanteni.
Huku magari mengine kama katarama, allys star, isamilo, Abood, happy nation, dar lux (sijui kapotelea wapi) wakikimbizana kupandisha nauli ya Mwanza to dar kwa Sasa ni 78,000/= huyu jamaa zuberi...
Wakuu heshima yenu. Wakuu naomba kuwasilisha nia yangu katika harakati zangu za kuwa tajiri maana ndio ndoto yangu kubwa.
Nina duka la ngo dodoma. Naiza nguo za kiume special kwa rejareja...
Jamani habari za wakati huu, hivi naomba kuulizia kuhusu maeneo haya mawili, MKURANGA na KIBAHA vipi eneo zuri kwa kilimo, kuna uwepo wa maji kwa ajili ya umwagiliaji, and more accesible zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.