Mhe. Kigahe: Watumishi wa Mpaka wa Kasumulu Timizeni Wajibu Wenu kwa Weledi na kwa Wakati
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Exaudi Kigahe (Mb) ametoa rai kwa watumishi wa kituo cha pamoja...
Kama ilivyo kwa raia wengi wa Tanzania ambao hubahatika kwenda ng'ambo, mimi pia nilipata bahati hiyo kwenye miaka ya tisini.
Nimeishi miaka mingi ughaibuni kiasi cha kuwa mwenyeji kabisa na...
Hali hii ipo miaka nenda rudi, kama mnavyojua machinga hupenda kusogelea sehemu zenye frame nyingi mbaya zaidi wanaweza kuweka biashara inayofanana na yako mbele ya duka lako yani unapigwa block.
Ishu yangu ni hii naomba kwa anaejua hawa jamaa wanaouza baskeli ambao ni Meridian bit tech limited je ni kweli wapo Zanzibar? na wanafanya hii biashara ya baskeli tafadhalini Sana kwa anaejua...
Habari,
Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
* Wafanyabiashara wanaweza kutumia NCD kupata anwani na simu za biashara zinazotoa bidhaa au huduma wanazohitaji. Hii inaweza kuwasaidia kuokoa muda na juhudi za kutafuta biashara hizi. Kwa mfano...
Kwa watu wote hasa vijana kumiliki nyumba ni ndoto ambayo kila mmoja anatamani kuitimiza. Lakini imeoneka kuwa sio rahisi kumiliki nyumba.
Kwa wale ambao tayari mnamiliki nyumba hata magari...
Ndugu zangu habari zenu,
Mimi ni kijana wa miaka 29 ninajishughulisha na biashara ya stationery maeneo ya buza uswahilini sasa naona changamoto imeanza wiki hii mambo ni magumu: mauzo yapo hafifu...
Jumapili njema iwe nanyi wote.
Nimekuja naombeni mchanganuo wa Biashara ya Stationary kwa Kuanzia vifaa ni vipi na aina gani ni nzuri.
Mambo ninayota stationary yangu iyafanye ni
1.Copy...
Inafika wakati biashara inakatisha tamaa, kuna hawa wateja wanao penda kupunguziwa kila kitu asee wanakera. mtu anakuja dukani anaulizia karibu kila bidhaa ukimtajia bei utasikia……..,
Duh! We...
Bila shaka kila kitu kina malengo. Na ili kutathmini ufikiwaji wa malengo lazima uwe umekusanya taarifa sahihi(umetunza rekodi).
Pongezi kwa Google waloweka Sheet ya bure ya kutunza rekodi zako...
Lengo nitumie pesa ya mkopo kufanyia biashara huku nikiwa nalipa kidogo kidogo kila mwezi dhamana yangu ni account ya bank salio nililonalo. Je napewa?
Hizi ni fursa mbalimbali katika sekta ya bahari ambazo mtanzania yeyote anaweza akafanya au kuanzisha kampuni ya kutoa huduma hizi.
1. Clearing and Freight Fowarding
Hii huusisha kazi za kutoa...
Hello wana Jf kwa wafanyabiashara wa biashara ya mchele hasa wale ambao bado mna mitaji midogo haina haja ya kutumia ghalama ya kusafiri mpaka mbeya Karibu uagize mzigo unaohitaji kutoka kwetu...
Pamoja na kwamba ana lalamikiwa na watu wengi kwa kuweka vituo vyake vingi kwenye makazi ya watu, lakini ni moja ya kampuni zinazo fanya vizuri tanzania..
Mmiliki wake ni nani?
Kwanza nianze kwa kumshukuru Muumba wa Mbingu na Nchi kwa kuzidi kutupa afya makini sote kwa mapenzi yake.
Naamini siku zote Mungu hatupi tunachotaka bali unachostahili nimekulia maisha ya...
ndugu zangu hivi mnajua biashara ya nguo inalipa sana?
Ila siyo kirshisi kama usipokuwa mjanja, mjanja kivipi?
Nguo za wanawake na watoto zinatoka sana, zingatia location nzuri ya biashara yako...
Habari ndugu zangu.
Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, thamani ya pesa yetu imeshuka pia. Noti moja ya sh. elfu kumi si kitu tena.
Ata ukienda dukani tu kwa muha kununua mahitaji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.