Ndugu zanguni habari za wakati na muda kama huu. Matumaini unausoma ujumbe huu ukiwa mzima wa afya na kama kuna changamoto basi Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi.
Nia na madhumuni ya jumbe hii ni...
Hii inaonekana sana.kuna wizi mkubwa sana kwenye mafuta ya sheli apa mjini
Adi inafikia mda mtu unatamani uichome sheli moto
Na pia ni sheli gani hazina wizi huu na nini kifanyike
Karibuni kwa...
Nguvu kazi nyingi ya taifa (work force) hufanya kazi za udalali mijini lakini kwanini?
Kazi ambazo zimeshamiri na kila kijana kutoka mkoani na zina watu wengi ni za udaĺali wa viwanja nyumba...
Mfano ukiwa na nia ya kuanzisha biashara wapi pazuri kwenda kufanyia biashara? Naomba kwa wazoefu wanipe ufafanuzi maana dar nimegoma kwenda kabisa kule no.
BASHUNGWA AWAPA NGUVU WAWEKEZAJI WA VIWANDA KARAGWE.
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amewahakikishia Wawekezaji wa Viwanda katika Wilaya Karagwe mkoani Kagera...
Habari wandugu...
Vigezo vya kuwa super dealer wa gas za kupikia ni zipi ...na mwenye abc ya hii biashara. Na je mtaj wa 50 ml unaweza tosha? Na changamoto zake?
Natanguliza shukran
Habari wadau,
Nimuda sasa nimekua na wazo la kuanzisha biashara ya kuuza movies mbalimbali ambazo nitakua nimeserve kwenye server fulani.
Tatizo mimi ni muajiliwa na sintokua na muda wa...
Tarehe 12 Siku ya Jumatano Asubuhi… Mida ya Saa 11:43 am …Nilienda mjini Maeneo ya Masika karibu na Benki ya CRDB Ilipo…(Morogoro)...Kwa pembeni Kidogo kuna Sehemu wana Choma Ndizi na kwa Pembeni...
Yaani hii kazi nilishawai ifanya hapo mwanzo na ilinilipa kiasi, lakini kwa sasa nipo mkoa mwingine baada ya miaka minne na ninatafakari kuanzisha tena. Lengo nifike level ya saluni kubwa lakini...
Niko na interest za kuanzisha chanel ya youtube!!siku nyingi sana.
Kama mjuavyo chanel ya youtube ni investment ya muda mrefu na inachukua muda kuanza kuona matunda yake!
Inaweza kuchukua hata...
Mdau Leo anauliza Kati ya biashara za kawaida na Bond za ma bank zinazotoa interest ya 10.5% kwa Mwaka je, kipi kina faida zaidi?
Kwenye Bond
-Hakuna Kodi ya TRA
-Hakuna Kodi ya Pango sehem ya...
Mawazo yangu ya jinsi ya kutatua tatizo la dollar Tanzania
1. Serikali iongee na kampuni za utalii na kuwaomba walete pesa hapa utaratibu wa sasa watalii wanalipia hotel na karibu kila kitu kabla...
Wasaalam?
Ipo hivi juzi asubuhi Jumapili niliingia nyumbani nilikuwa SA kwa mambo ya kikazi, kufika nyumbani nilimkuta binti yangu wa kwanza pamoja na dada wa kazi kumuuliza mama yako yuko wapi...
Habari,
Je, unajua wapi naweza kupata msaada wa kupata uwezekano wa usajili wa Bolt na Uber. Nime download app ila shida ipo kwenye leseni na kazi ya gari. Vyote ninavyo ila vile vyenye vigezo...
Hati fungani ni biashara "kichaa" na watu pekee ambao wanawekeza kwenye hii biashara ni wale waoga wakupoteza thamani ya mitaji ya pesa zao. Mabenki, mashirika ya bima, mifuko ya mafao pamoja na...
Elimu ya bure kabisa hii;
Ingia Mabibo sokoni ama Buguruni. Kapoint matikiti manne ya elfu nne nne. Kila tikitiki likate vipande 40 vya Tsh. 200 @1.
Kwa kila tikiti itatoa gross amount ya 8,000...
Nataka nianze kufanya biashara ya viungo kwa kuvifunga kisasa kwenye chupa na kuvipqki kisasa. Maana nimekuwa nikiviuza kwa kuvifunga kwenyeji dukani kwangu.
Wazoefu wanipe uzoefu biashara...
Nauza camera canon 90d 4k ikiwa na lens yake, memory card yake ya 32gb 4k, stand, reflector na gimbal ya kawaida, vyote kwa tshs, 3.5m. Mawasiliano: 0716 002323, dar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.