Saturn Resources has capitalised on African gold miners trading at a discount.
Saturn Resources has agreed to buy Shanta Gold, a mining company registered in Guernsey with a focus on East African...
habarini wanajukwaa natuamini wote ni wazima wa afya na mlio na changamoto mungu awe nanyi katika kila hatua AMEN.
Naomba muongozo wa taratibu gani za kufuata ili kuweza kupunguza thamani ya hisa...
Naibu Waziri Kigahe Apiga Marufuku Wakulima Kuuza Mazao kwa Lumbesa.
Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe(Mb) amepiga marufuku kwa wakulima kuuza mazao kwa kutumia...
Habarini wana jukwaa, leo nimejiskia kuandika kuhusu soko la hisa kwa hapa Tanzania. Nimeona baadhi ya watu walikua wakiuliza sasa si vibaya hata wakapata kufahamu ni kitu gani hichi. Huu utakuwa...
Waziri Dkt. Kijaji Awaasa Vijana Kufanya Kazi kwa Uadilifu na Kujituma Wanapopata Ajira Viwandani
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) ametoa rai kwa vijana wa kitanzania kuwa...
Yaani nimeona sendozi aina ya Teva inauzwa instagram 250,000! Nimepita huku mtaani nikazikuta kwa mmachinga, mpya kabisa. Nimempa elfu ishirini akapokea kiroho safi maisha yanaendelea!
Argentina wamemchagua Javier Milei kuwa Rais wao mpya. Ni jamaa mwenye msimamo mkali wa kulia. Moja ya malengo yake ya kukabiliana na hali mbaya ya uchumi na mfumuko wa bei ni kuiua pesa ya...
Salamu.
Nipo likizo huku Usangi Kilimanjaro milimani Huku.
Nikiwa nyumbani hapa Ngujini nasikia tangazo la speaker.
Nyumba ya Bwana Omari Iddi iliyopo Ngujini na Vudoi Mwanga mjini vitapigwa...
💥SOKO LETU LEO ONLINE💥
🔥🔥MADA YA LEO🔥🔥
Fursa za kuanzisha biashara mbalimbali
Habari wakuu kwa mujibu wa ratiba yetu leo kila Jumanne. Tunajadili Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza...
Habari za mida wadau....
Kama kuna mtu mwenye kampuni, anaefanya kazi, anaejihusisha na mambo ya usafirishaji wa mizigo kuanzia bandarini mpaka kumfikia mteja ndani na nje ya nchi including...
Of course sio biashara kubwa kiasi kiviile hapana, ni biashara ya kawaida tu. Vipi TRA watanisumbua? Au kukata leseni hadi biashara iwe kubwa kiasi gani?
Habari wakuu,
Ningependa kujua machine ipi ni nzuri kwa matumizi ya stationery, Canon au Xerox
Pia nahitaji kiasi gani kupata machine yenye ubora, ya wastani, yaani isiwe chini sana wala isiwe...
Jamani nilikuwa nauza vitafunio tu ,lakini nilijaribu kuweka maziwa mtindi naona napata wateja wa mtindi.
Naomba msaada kwa nae fahamu sehemu mtindi unapatikan naweza kupata kuanzia Lita 10 hadi...
Habari za jioni wanajukwaa naomba nisogeze hoja mezani kuhusu ishu ya tozo za Kodi(pay as you earn) kwa mfanyakazi alieajiriwa na kampuni mbili binafsi 2 kwa wakati mmoja na mshahara...
KARIBU TUKUHUDUMIE
1. Usajili wa Kampuni
2. Usajili wa Majina ya Biashara
3. Kuhuisha Taarifa za Kampuni zilizosajiliwa kabla ya 2018.
4. Upatikanaji wa leseni na vibali mbalimbali.
5. Kufanya...
Wakuu Naomba mwenye uzoefu naomba anisaidie
Nimefungua ofisi ya biashara ya miamala ila napata changomoto watu wakitoa pesa kwa wingi float inajaa,
Changamoto inakuja namna ya kupunguza salio la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.