Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeridhishwa na Utekelezaji wa Mradi wa njia ya Kusafirisha Umeme katika Reli ya kisasa (SGR).
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Daniel Sillo...
Aisee hawa jamaa soko lao lipo juu sana. Sh. 500 hizi hizi kwa mwezi huyu jamaa sidhani kama anakamatika.
Nawaza vijiwe kama hivi unakua navyo kama 10 hivi. Sijui utakua wa level zipi hapa town.
FURSA KUMI ZA KUJIAJIRI KWA KIJANA.
Na Evangelist Hosea Kione
1: Kilimo:
Kilimo ni sekta muhimu sana. Unaweza kujiajiri kwa kufuga kuku, ng’ombe, au kukuza mboga mboga na matunda. Jifunze mbinu...
Wakuu habari
Nataka kununua kiwanja Cha kijana ambaye amefariki, yaani hakuwa na mke, Wala mtoto. Wazazi wake wameshafariki. Ana ndugu zake wawili waliozaliwa pamoja
Ni taratibu gani zitumike...
Habarin wadau,samahani nilikuwa naomba kujua jinsi yakuwa wakala wa rangi za majumbani,je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo,na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za...
Wadau hamjamboni nyote?
Naamini mmekuwa na siku njema ya Sabato
Wapo watu wanadharau wauzaju wa Mbogamboga na matunda magengeni wakiwaona ni watu wa hadhi ya chini na wasiokuwa nadhifu
Hata...
Benki ya isiyojali na kufikiria kero za wateja wao ni hii bank.
Hawafai basi tu.
Kila siku app ina matatizo huku wateja wakilala njaa kwa kukosa huduma.
Vat leaching plant...
Mfumo wa uchakataji wa madini ambao hufanya uzalishaji kwa Asilimia 70%. Ni mfumo ambao unatumia utenganishaji wa dhahabu na na madini mengine kwa kutumia kemikali(chemical...
Hello wana Jf kwa wafanyabiashara wa biashara ya mchele hasa wale ambao bado mna mitaji midogo haina haja ya kutumia gharama ya kusafiri mpaka Mbeya
Karibu uagize mzigo unaohitaji kutoka kwetu...
Greetings wana Jamii forum,
Your Financial Advisor is here again, Naonda iphone 15 pro max imetoka. mtaani watu hawakai kwa amani mabinti wanasumbua na pia ppo want to get it chap chap, but quick...
Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.
Ukiwa n'a uwezo WA kufata bidhaa zinapotengenzwa 90%umewin kwenye biashara Tayar
Mfano kama Una uwezo WA kuchukua mzigo WA nguo kutoka china ,uturuki , Thailand n.k biashara yako itasimama...
Ninahitaji kununua mashine kwa ajili ya biashara na gharama yake ni kama dola 17,500/= Kama 43.7 Milioni
Ni benki gani inafaa kuomba kiasi hicho?
1. Nimesikia kuhusu kuitumia mashine Kama...
Habari Wanafamilia Wa JF,
Katika Pitapita Zangu Za Mtandaoni Nimeona Bidhaa Nikaipenda,Haipatikani Popote Isipokuwa India. Muuzaji Anafanya Delivery Ndani Ya India tu. Naomba Kujuzwa Wana JF kama...
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA Council of Ministers) kwa kipindi cha mwaka...
Wasalaaam ndugu Wana jf
Sjui ni kwangu tu au na kwako ipo hivi yaani kuna kiwango flani Cha pesa kukivuka kinakua na vizuizi vingi Sana mwisho wa siku unajikuta unacheza mule mule tu, sjui shida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.