Wakuu kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu nimejifanyia analysis kujua kwa nini nina income kidogo ukilinganisha na mahitaji ya kila mwaka.
Katika kujifanyia fair anaysis nikapata vikwazo saba...
Karibu kupata huduma ya usafi kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.
Ninajivunia kutoa;
Usafi wa kina, utapata usafi thabiti na wa kina katika kila kona ya nyumba yako.
Muda ufaao, Ninazingatia muda...
Wakuu!
Nina sarafu za kizamani za watawala mbali mbali...., kabla sijawa nazo niliambiwa ni dili sana. Leo nimezipata (angalia baadhi ya picha), hivi soko lipo wapi? Mwenye idea aje DM tuongee...
Nilifika NBC Mlimani Branch kuomba kubadilishiwa kadi baada ya kadi yangu kumezwa. Kumbe wao wana utaratibu kuwa wakitaka kubadili kadi zinamezwa kisha unazunguka ndani na kupewa nyingine. Kuingia...
Wadau kichwa cha habari kinajieleza.
Naomba kujua wapi napata gari, faida na changamoto. Gari itakuwa mkoani
=====
Hongera boss kwa mtazamo huo chanya....
Ila naomba fikiria huu msemo wa WARREN...
Kama heading inavyosema kununua bidhaa kwenye duka la mbongo msawahili kabsa mweusi tiiiiiiiiii ni shida sana atajifamya kukupa guarantee ya mwaka au miaka 2 au miezi sita halafu bidhaa ikileta...
Mteja anapokea fedha kwenye accounts yake fedha zinafika na kusoma lakini mteja hawezi kutoa.
Mteja anafanya muamala, m.f, anatuma hela kwenda kwenye mtandao wa simu, ombi linapokelewa na...
…Haya ni Maneno ya Mzee…
.
“Juma Swalehe”
.
NA…
.
…Hii ilikuwa ni Tarehe 15/06 Siku ya Alhamisi Mida ya…
.
Saa 2 na DKK 5 Usiku!
.
Maeneo ya Barakuda, Mzimbu…
.
(Morogoro)!
.
…nilikuwa Nimeenda...
Habari zenu,
Tanzania ni kubwa na tuna mikoa mengi lakini ni mikoa gani mnahisi ni nzuri kwa ajili ya kujenga apartments kwa kukodisha.
Namaanisha mikoa yenye good return in investment.
Asanteni
Habari za sahizi wana jamii forum
Nilikuwa nataka kufanya biashara ya mabegi ya mkono mmoja ya wanaume, mwenye uzoefu nawaomba mnishauri kuhusu hii biashara, napatikana Dodoma.
https://www.sunranch.vip/#/pages/register/register?code=27836
Jisajili hapo juu
Bei ya bata ni Tsh 25000, utapata 1000 kila siku, na mapato ya jumla ni 60000 ( halali kwa siku 60)
Bei ya sungura...
Wenye maduka nawaombeni msaada wenu.
Nimeajiriwa lakini nina biashara za pembeni likiwemo duka ambalo nimemweka binti, mshahara wake ni laki 1 pamoja na elf 4 ya kila siku (chakula, nauli, choo)...
Samahani wakuu mimi ni kijana na umri wangu ni miaka 27 muhitimu wa degree.
Nilikua nafanya kazi kwenye kampuni japo kwa muda huu imesimama, nilifanya saving zangu nikafikisha miliioni 4.5...
Nina ndugu yangu katokea mbeya kaja apa mjini dar anasema mbeya mji wa wafanya kazi maana ajaona fulsa yoyote,kama unavyo jua mbeya hata kwa buku mbili unaishi siku mzima,sasa yeye ni dereva wa...
Wasalaam.
Title yajieleza. Tsh 5M nataka kuizalisha.
Nawaza hizo ideas mbili, aidha (a) Kufungua Uwakala wa Bank ama (b) Kununua Toyota probox (mkononi mwa mtu) na kuipeleka route za vijijini...
Mimi ni mfanyabiashara wa kawaida elimu ya kawaida sana. Nahitaji msomi mwenye shahada ya chuo kikuu business administration ili nisonge mbele kwa biashara zangu na ushauri. Aliye tayari anitafute...
Wakuu kwa mtu yeyote mwenye ujuzi kuhusu biashara hii hasa samaki wa maji baridi huko Dodoma.
Soko lake vipi lina upinzani mkubwa?
Mimi niko Mbeya. Nawasilisha kwa salamu na shukrani kwenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.