Kwenye mambo ya kazi hatuchezi tunachezea mshahara sitaki uje unilaumu sikukupa akili weka na ile B&W ya kupima kuanzia buku.kale kapombe kazuri sana kana stimu lake special yaani kanakukamata...
Tumeona urembo unavoendelea kuwa hadhi na ni hitaji la watu wengi hasa wanawake,nitaelezea namna ya kuendesha biashara hii kisasa hata kma sio msusi vitu gani unatakiwa uvizingatie.
Kwanza...
Habari wakuu ushauri kwenu nahitaji.
Katika biashara zangu tatu wastani wajumla napata faida ghafi laki nne kwa siku wakat mwingne huzid hapo.
Ila mtaji wangu kwa mwaka nikama hauongezeki uko...
Jamani naomba tu niwasalimu. Kuna changamoto moja naipata juu ya Neolife ni network market ambapo kuna mshikaji tunaheshimiana sana of course ni uncle ananilazimisha kujiunga nae. Anadiriki...
Mambo vipi wadau,
Mimi kijana nafanya kazi sehemu moja ila mshahara wangu mdogo ila unagawanyika sana naona kabisa mshahara haujitoshelezi. Nimeandika huu uzi kwa wale wajanja mjini tupeane basi...
Nimeona tusifunge mwaka na Mimi niweke japo tips kadhaa.
Nafanya biashara ya aina moja lakini na source sehemu mbalimbali. Kwa sasa ni China, Uturuki na Nairobi.
Hii biashara nilianza kama 5yrs...
Habari za siku nyingi wana familia? Sina mengi ila naomba kuuliza kuhusu yule jamaa alikua anasaidia delivery ya bidhaa kutoka ktk online market zisizo safirisha bidhaa kwenda P.O Box. Mfano...
Great Thinkers.
Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo.
Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli...
Habari wakuu. Kijana mwenzenu nimefungua chuo na nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Nahitaji washirika wa kusaidiana kupata wanafunzi kwa mkataba maalum wenye manufaa kwa pande zote. Chuo kipo...
Ieleweke tu gharama za nyumba zimepanda na hivo hii inatuumiza sana wapangaji.Lakini pia si kua hamna nyumba za bei rahisi maeneo mazuti La hasha zipo tena zipo nyingi tu ila kukisekana kwa...
Mzee wangu anaamini sana kwenye kilimo, nahofia nikimuomba mtaji wakuipromote app yangu ataona huyu kijana ananiletea utandawazi nyumbani kwangu. Ninamsimamia kazi yake moja huku Dar, yeye yupo...
Unapota kuanzisha mradi mpya na mkubwa,mradi unaomini ukiusimamia vizuri utakutoa basi huna budi kuzingatia jambo Hili la mhimu ambalo wengi Huwa tunalisahau kwenye mipango yetu,jambo lenyewe ni...
Nahitaji mpishi wa vitafunwa na chakula kwenye mgahawa
Wali pilau biryan na vitafunwa mshahara laki 2include chakula cha mchana kwa mawasiliano 0747848885/0742009965
Location kibaha visiga
Habar Wana jamii forum.
Mimi nilipewa selfu kubwa na Babu yangu KABLA hajafa 2017. Pindi ananipa hiyo selfu alinipa bahasha tu kuwa ukifika mwaka 2024 January moja nifungue hiyo bahasha. Nilipo...
Kodi zifuatazo hutozwa kwenye magari yanayoingia nchini;
1. Ushuru wa forodha (Import Duty): asilimia 25% ya thamani ya kununulia gari (CIF Value)
2. Ushuru wa bidhaa (Excise Duty due to CC-EX)...
Habari ndugu zangu leo nimekuja na maada ya kuhusu miti ya mitiki.
Je, ni nani aliyewahi kuuza miti ya mitiki au aliye sikia kuhusu wanunuzi ni wakinani Nazani wengi tunatamani kujua ilo.
Je unajua umuhimu wa mwamvuli kwenye kutangaza brand yako? Kuongezeka kwa utambuzi wa brand ni mojawapo ya manufaa ya msingi ya kutumia miavuli ya utangazaji kwa kampuni yako. Bidhaa hizi za...
Hellow guys mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 na nina matamanio ya kujiajri.
Je, ni biashara gani yenye mtaji mdogo kwa 200k itakayoweza kuniinua kiuchumi[emoji94][emoji94]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.