Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habarini ndugu zangu, Samahani ivi nawezaje kureceive file kutoka freelancer.com? Nilijiunga freelance.com wiki mbili zilizopita; sasa nimepata client amenipa project ya kuandika article fulani...
1 Reactions
2 Replies
859 Views
Mvumbuzi mkubwa kuliko wote katika historia ya ulimwengu. Ubora wa maisha ya binadamu wa sasa una deni kubwa na kazi ya Edison. Elimu yake ya darasani ilikuwa ndogo, lakini aliweza kujipatia haki...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba msaada namna ya kupata mabelo ya viatu hasa kwa Kanda ya Mwanza. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaman kwa anaejua njia bora za kuweza kutoka kwa biashara ya dukan yaan vitu vya kupima kama mchele maarage n.k ushauri wenu pleaz
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanza ningependa kusema kuwa wengi tunafanya biashara huku tukisahau kuwa biashara co bidhaa....bali ni mfanyabiashara anayeisimamia Nitashare experience kidogo ili tujifunze something(ukitaka...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuwaachia wakulima na walanguzi kuuza vyakula kwa bei zinazowapendeza wao, kuna madhara yoyote kiuchumi ama kijamii kwa Taifa letu kiujumla?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wapendwa nataka kwenda Dubai kununua spare part na magari. Naitaji kujua machimbo ya ununuzi na changamoto zake na jinsi ya kusafirisha Michango yenu na ushauri tafadhali. Sent using...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari wakuu wangu. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi, ndoto yangu ni kuja kumiliki shule kuanzia chekechea mpaka Form Six. Ni vitabu gani na inspirations zipi naweza kuzipata katika hali ya...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Mambo vipi? Leo Jumapili kama kawaida tunakutana tena kwenye darasa la leo ambapo nitakuonyesha njia tano unazoweza kutumia kumshawishi mteja mpya anayetembelea online store apate inammi na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wadau kuna hizi bubble gum za kutafuna zinatoka zambia nimesoma maelezo yake nikapata detail kuwa wana distibutors Tanzania nimefanikiwa kuchukua namba nikajaribu kumtafuta lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habar kinavyo jieleza mimi ni kijana wa miaka 24 na nina plan ya biashara (business plan) iliyo kamilika hivyo now natafuta watu wa ku join nao yaani business partners ambao naweza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sina mengi ya kuzungumza, kama kichwa kinavyojieleza, ninatafuta watu wake kwa waume, ambao, wamechoka kuchangia harusi na birthday, bali wanataka kuchangia maendeleo yao na kesho yao, binafsi ni...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu Mteja, Kutakua na maboresho ya huduma za Tigo Pesa leo kuanzia saa 6 usiku mpaka 12 asubuhi. Tafadhali fanya miamala yako kabla na baada ya muda huo Hiyo ndio Sms niliyotumia jana ila mpaka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Za leo wa ndugu,mimi ni msichana wa miaka 23 ni mwanafunzi wa chuo(must) nipo mbeya,,Nimebahatika kupata mtaji wa milioni moja,,nimewaza biashara gani ya kufanya nikaamua kufanya biashara ya...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Natafuta kampuni inayo deal na kusafirisha mazao, kuna deal ya kusafirisha mahindi kwenda Zambia. Ni deal endelevu ila kwa kuanzia, buyer anahitaji tani 30,000 za mahindi. Buyer yupo Tanzania...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Heshima zenu wakuu wangu, ninaomba msaada. Nipo kwenye institutions fulani ya elimu hapa Tanzania. Nina kama elfu 50,000 hivi, ninaweza KUFANYA kitu. Nimeona nitafte vijana wangu wawili...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jaman naitwa Emmanuel mwita napatikana mwanza ninajihusisha na uuzaji wa bidhaa za watu na makampun mbalimbali ko kama una kampun yako au una bidhaa yako nitafute tufanye biashara namba ya sim ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wapendwa wana jukwaa napenda kuuliza jee ni kweli kuwa mpesa visa master card inaweza kufanya manunuzi mtandaoni km ebay,aliexpress,na amazon? Jee vipi kuhusu makato na gharama za huduma...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
nyanya moja kwa sasa inauzwa shilingi za kitanzania 500. muuzaji hapepesi macho wala wamung’unyi maneno.huwezi amini ila bahari ndo hiyo. sijajuwa bado kama nchi imewekewa vikwazo au serikali...
9 Reactions
51 Replies
5K Views
Hivi ni kweli pesa ndiyo mtaji pekee kwenye mafanikio yetu ya kibiashara.? Jibu ni HAPANA. Kama hauniamini acha kusoma nilichoandika huku chini maana utakuwa unapoteza tu muda wako. Kwa sababu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom