Biashara ya mazao mfano Mpunga,Nunua Mpunga gunia 180@52000/=Yaani kijijini katika kipindi cha mavuno mwezi wa sita mpaka wa saba bei huwa haizidi 50000 kwa hiyo 52000 namaanisha na usafiri hata...
Habri za jioni;
Kwa hakika dunia inaenda kwa kasi sana.Tatizo la ajira kwa Tanzania linakuwa kwa kasi sana huku kasi ya kupoteza ajira ikiwa kubwa kuliko kasi ya kupata ajira
Katika hali kama hii...
Tangu kutangazwa kwa coroma virus nilioda vitu kikuu ila hadi leo ni siku ya 14 hazijatoka China.
Ila zilizokuwa njiani zimefika.
Hawa mawakala wao hawajui chochote wala wao hawajasema lolote...
Habari Wana Jamiiforums!
Mimi ni mjasiriamali kwenye sector ya utalii, nipo Arusha. NATAFUTA mtu aliye serious kwaajili ya kufanya nae biashara, najua kuna watu Wana pesa au connection lakini...
TANZANIAN REAL ESTATE INVESTORS! Apartments or Standalone?
Dear TANZANIAN REAL ESTATE INVESTORS (including parastatals/institutional investors),
YES we need homes but APARTMENTS needs are...
Nimeona wito wa Waziri wa Fedha kwa wafanyabiashara kwamba tuwasilishe changamoto zetu ambazo zinatukabili. Waziri Mpango ameahidi kufanyiwa kazi kwa changamoto hizo. Baada ya hapo nikaonelea...
Forbes’ Celebrated young Nigerian billionaire and CEO of Invictus Group, Obinwanne Okeke has been arrested by America’s Federal Bureau of Investigation (FBI) over a $12 million (N4.3bn) fraud.
He...
TUNAUZA CHUMA ZA ALUMINIUM KAMA VILE JAM SILL OUTER Z T PLAIN HOOK TOP BIDING MOSQUITO NAKADHARIKA PIA TUNATENGENEZA MADIRISHA MILANGO PARTION MAKABATI YOTE YA ALUMINIUM, BALCON STAINLESS STELL...
Habari Waungwana Naomba Msaada kidogo humu kuna Watu wengi Wenye Hekima Sana.
Sasa Nina Vidola $ Vyangu Nilidunduliza ili nije Nichange kwa Shiling Sasa Nachohitaji Kujua.
Je, Wapi Naweza...
Ndugu wapendwa poleni sana katika harakati za hapa na pale za siku ya leo.
Napenda kufahamu watu wa mkoa wa katavi humu kama wamo ili tujuane maana nilikuwa napendekeza nijue ratiba ya minada ya...
Toka mwaka 2016 Serikali ya Tanzania imekuwa ikiweka juhudi kubwa katika utekelezaji wa mkakati wake wa kuibadili Tanzania kuwa nchi ya viwanda ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.
Mojawapo ya...
Ndugu zangu! nafikiria kuanza biashara ya kuuza ngozi ya mamba nchi za nje! Mimi ni mwenyeji wa kutoka wilaya ya Ludewa ziwa nyasa. Mwezi wa kumi na mbilli nilikwenda likizo ziwani na kushuhudia...
It might seem counterintuitive to start a new business when the economy is in the dumps. But a recession can actually be the ideal time for launching a company. In fact, many well-known and...
Habari wakuu wa jamvi. Natumaini wote ni wazima wa afya.
Nizame kwenye mada. Mimi ni kijana nimeajiriwa katika gym mmoja hapa Dar. Licha ya kazi yangu kuwa silipwi kipato cha kuridhisha sana...
Nina imani wengi tumeajiriwa ila tunatamani kuongeza kipato zaidi.
Naomba tuchangieni biashara ipi tunaweza fanya tukiwa kazini.
Kwa mimi kazi ambayo naweza fanya nikiwa kazini ni za kuuza...
Wakuu naomba kwa wazoefu wa hii biashara hii ya udalali a.k.a "Wazee wa Kulenga" mnisaidie nina mtaji wa gari moja mpya nataka nianze kununua na kulenga magari yaliyotumika. Je, changamoto ni...
1. Hisa ni nini?
Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa...
Hello wanaJamii,
Sitaki kujisifia kuwa hiii Idea ni bora au kabambe kuliko zote ila ni idea ambayo ni unique kwa hapa Tanzania na kama ukiwa serious unaweza toboa.
KWA NINI MIMI BINAFSI...
Hello great thinkers,
Mimi ni Mjasiriamali, na naingia rasmi katika ulimwengu wa startups. Sasa kuna jambo moja linanitatiza, nikaona kabla ya sijamtafuta mwanasheria nijaribu kupata maarifa toka...
Hellow bosess
Kwa wazoefu naomba kujua kama Shirika la Posta ni salama kiasi gani kupokea bidhaa nilizonunua mtandaoni (Amazon, eBay na Ali Baba), pia kama kuna gharama za ziada...