Imeelezwa kuwa Tanzania ilikuwa sahihi kuwa na bifu na kampuni ya Acacia Minining ambayo haikutimiza wajibu wake ipasavyo.
======
TANZANIA “had a legitimate beef” in its dispute with Barrick...
habari wakuu,kuna hii biashara ya kuuza crips za viazi,ndizi au mihogo na tambi za dengu,naomba kufahamu juu ya faida na soko lake kwa ujumla kwa dsm.mashne za kutengenezea znapopatkana na gharama...
Salaam wakuu..
Poleni na mitikasi ya january nzima, natumai wewe family yako pamoja na jamii nzima inayokuzunguka ni wazima wa afya njema kabisa.
Naam mimi ni kijana mwenzenu kiumri ninamiaka...
Miezi kadhaa iliyopita serikali iliamua kuongeza kodi maradufu (kama si zaidi) kwenye mabango ya matangazo (billboards na hata kwenye magari).
Aliefikiri hivyo obviously hajui the first thing...
Kuanzisha biashara bila mtaji ni moja ya mambo ambayo kila mtanzania anatamani yangewezekana.
Nina amini inawezekana tu ukiweza kutafsiri maana ya neno mtaji.
(Kwa mtazamo wangu,) Mtaji ni...
Kama kichwa kinavyojieleza, je nifanye biashara na ndugu wa kuzaliwa nae au kila mmoja afanye yake tusije gombana?
Kuna kipindi nilifanya na brother mmoja ila nilikuwa naona kama yeye ndo inabidi...
Tanzania imepata mabadiliko makubwa ya teknolojia katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. Leo hii, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 11 wanaotumia mtandao wa intaneti kupitia simu zao za mkononi...
Wanazengo, nilikuwa naitaji kujua kuhusiana na madini kiundani zaidi. Kama hiyo photo hapo unawezaje kutambua kwa kuyaona au unaweza kutumia njia ipi kuyajua.
Sina uzoefu na madini. Nilikuwa...
Nimefanyiwa kitu cha hovyo na Vodacom sijui ni kwangu au na kwa wengine pia kama kinawatokea.
Nimeweka vocha naambiwa kuna tatizo la kiufundi na baadae naweka tena naambiwa vocha imetumika katika...
Kwema wana JF!
Natafakari ikiwa mtaji wa Milioni moja waweza tosha kwa kuanzia biashara ya ufugaji,km yupo mwenye experience zaidi na biashara hii anisaidie kufunguka zaidi ili nijue hii industry...
Wenda kijana mwenzangu kwa Siku nyingi na miaka mungu umekaa bila kugundua na kufikiria maisha yako ya mbeleni utafanya nini kufikia target yako.
Inaweza isiwe muhimu sana kwa mtazamo wa juu ila...
Haijalishi unasomea masomo gani. Iwe uhandisi, iwe unajimu, iwe biashara, iwe ualimu, etc. Unapaswa kuandaa mazingira ya kujiajiri kwa kufanya mambo yafuatayo.
1. Jifunze public speaking...
Salama wakuu?
Naomba moja kwa moja niende kwenye mada.
Kwanza kabisa naomba ku-declare interest kua mimi ni msikilizaji mkubwa sana wa radio na kwa namna moja au nyingine imenifanya kuwa mdadisi...
Ndugu zangu,
Kwa jina naitwa Fabian,umri wangu ni miaka 30 nipo mkoa wa Dar es salaam,elimu yangu ni taaluma ya teknolojia ya habari ngazi ya cheti tu,kutokana na kukosekana kwa ajira hapa kwetu...
Wanajf, naomba ushauri, nahitaji Mkopo wa faster. je hao bank of Africa wako vipi?
Wanatoa mikopo kwa heshima au ni riba za kuviziana?
Sent using Jamii Forums mobile app
MEAL is an acronym of Monitoring,Evaluation,Analysis and Learning which is a practice of project/program/business management that emphasizes the need to collect relevant business data both...
Habari wadau?
Naomba kupata ushauri na uzoefu kutoka kwenu.
Ningependa kujua jinsi ya kuanzisha BIASHARA ya viatu vya mtumba (vya kike na vya kiume), mahala napoweza kupata viatu hivyo (kwa bei...