Leo asubuhi sana kuna jamaa nilienda mpelekea bidhaa maeneo ya Posta nikamkuta ana ndinga kali anaoshewa na jamaa ni wale ambao wanaoshaosha magari town, nilivyopewa changu nikaona nimuulizie...
Wanabodi,
Kwenye mazuri tupongeze, mabaya tukosoe na panapostahili ushauri au angalizo tutoe.
Hatua ya rais Magufuli kuzuia kusafirishwa kwa kinachoitwa mchanga wa dhahabu kupelekwa nje ya nchi...
Niko mbioni kuachana na mambo ya kuajiriwa, sasa naitaji kumiliki biashara zangu lakini cha kwanza naitaji kununua bajaji kwa mtu ili niendeshe mwenyewe kusafirisha abiria.
Nini changamoto na...
Habari wadau, wataalamu wa mapaa tunaomba ufafanuzi na faida ya hiden roof na hasara zake kitaalamu zaidi. Na mfumo upi katika hiyo miwili ni mzuri na wenye tija kwa jengo.
Salaam waungwana, ndugu zangu nina wazo la kutaka kufungua biashara ya kuuza mabegi aina zote yaani mabegi makubwa ya nguo, saizi ya kati, ya mgongoni na hand bags za wadada. naomba mnisaidie...
Naomba msaada kwa wachumi na Wajasiriamali mliopo humu ndani. Ninapanga kuwa naweka akiba kidogo kidogo benki kutokana na kipato kidogo nachokipata kwenye biashara yangu ndogo.
Plan yangu ni...
Wapendwa, poleni na majukumu.
Kuna jambo naomba mnisaidie kuhusu biashara ya viatu vya mtumba, hususani akina mama.
Kuanzisha hiyo biashara ni vitu gani muhimu napaswa kuwa navyo?
Na je, kati...
As many of you know, Tanzania isn't well set up to allow the flexibility of online businesses. I just wanted to know, is there anyway I can receive money online into my bank account from foreign...
Wanabodi habari za usiku. Natumai mnaendelea vizuri katika ujenzi wa taifa letu.
Naomba kuuliza pia tujadili, kipi ni bora (kuzingatia uimara, gharama za ujenzi) kujenga nyumba flat roof au hizi...
Kunauwezekano wa kufanya MALIPO kwa KUPITIA digtal wallets mfano PayPal au skrill bila kuwa na bank account?
Na kama uwezekano upo ni njia gani unaweza tumia?
Habari wa JF, bila shaka mu buheri wa afya natafuta "Business Partner" ili tufungue kiwanda kidogo cha Waste Recycling (Kuchakata taka) na kuzalisha bidhaa mbalimbali zitokanazo na taka...
Programmer wa Vodacom upande wa m pesa mnaonaje mkatuletea menu ya kuweka pesa iwe Kama kibubu.
Yani muweke mfumo mteja awe na uwezo wa kutengeneza account ya muda fulani Kama ilivyo "m-pesa...
Kuendelea kukua kwa teknolojia kumeleta chachu na kupunguza baadhi za adha tulizokuwa tunazipata enzi hizo ilikuwa ikifika mwisho wa mwezi kwenye ATM mashine unakuta kumefurika watu balaa.
Kwa...
habari wana jamii....
Msaada kwa wenye uelewa na hili.
Ktika pitapita zangu mtandaoni na kwenye magazeti nikiangalia exchange rate za kila siku kwa kila nchi naona thamani ya fedha yetu ipo...
Ningetaka kuunda kampuni ndogo ya kujenga nyumba nzuri lakini ya bei sawa kwa ajili ya watu. Lakini ninahitaji skills na watu ambao wana mawazo yale pia.
Baada ya kupitia nyuzi kadhaa humu jamvini nimegundua kwamba wapo baadhi ya wadau wanaotaka kujua baadhi ya mambo kuhusu namna ya kuwa wakala wa premier betting, kwasababu mimi najua baadhi ya...
Hivi hii kampuni ya Alliance Global ni kweli inasaidia kujikwamua kimaisha au ni utapeli unaotendeka pale? Kwa yeyote anayejua kuhusu ili anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzoni mwa mwezi huu wa Januari 2020, Naibu Waziri katika Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye (Mb) alilitaka Shirika la Posta nchini (TPC)kujikita katika matumizi ya...