Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mwanzo wa mwaka huu ni kengele ya miaka mitano kuelekea 2025 mwaka ambao Tanzania ilipanga kuwa imefikia lengo lake la kuwa nchi ya uchumi wa kati, ya viwanda.Dira hii ambayo Tanzania ilianza nayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Generally poor people are more taxed. The tax systems contribute directly to peoples' poor conditions. When basic human needs like foods, fuel and soft drinks are taxed, the effect go directly to...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Nadhani mfumuko wa bei(Inflation) kila mtu unamgusa, na inatuathiri sote wether uwe muuzaji au mnunuzi. Miaka 2 iliyopita bei za bidhaa zilikuwa steady kidogo, ila recently bei za bidhaa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu salaam wanasema bongo nyoso, Nimeelezwa kuwa comoro kuna soko jepesi kuliko hapa bongo ambapo hatulii njaa au hamna ambacho kinatufanya tuvuke boda cha kufuata kama chakula, ila Comoro ni...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Shirika kongwe la ndege la Afrika Kusini, limetangaza kufuta safari zake za nje ya nchi na baadhi ya safari za ndani, kutokana na kuishiwa fedha za uendesheji shirika linalozalisha hasara kwa...
13 Reactions
59 Replies
6K Views
Mimi ni muumini wa msemo usemao Tanzania kazi ni nyingi sana ila ushirikiano ndio mdogo sana. Kuna watu wanajua sana kuandaa proposal mpaka wakapewa kazi fulani ila ile kazi hawaiwezi. Kuna wale...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari! Wakuu Nina dharula nahitaji mkopo wa haraka wa takribani milion 8 na nitarejesha million 10 ndani ya mwezi mmoja. Taratibu za kisheria zitafuatwa ikiwemo kusainisha hati za makubaliano...
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Naomba kujua, maana jana wamenilazimisha ninunue na biashara nimeanza juzi! niliwambia waje kesho nikinunua! sasa sielewi hivi vitambulisho havina expire date! karibuni!!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu hawa jamaa ukitoa hela hawakupi noti za elfu 10 wanakwambia hawana na hii ni mara zote. Juzi tulitoa milion 12 tukapewa mabunda ya elfu 2 na elfu 5. Leo tena ndo wameniacha hoi jamaa yangu...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Nimetoka Kwenye darasa la ujasiriamali. Mwalimu kasema ili ufanikiwe you have to think out of the box. Wana JF nimenthink out of the box nakuja na idea munisaidie kupata fursa ya kutoka kimaisha...
2 Reactions
24 Replies
22K Views
Baada ya BRELA kubadilisha mfumo wa usajili wa Makampuni na kuleta mfumo mpya wa Eletronic, Sasa tumekuja na huduma hii ili kukupa usaidizi wa usajili wa makampuni kidigitali usisite kuwasiliana...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi poleni na hekaheka za kumaliza mwaka.. Tujikumbushe; Mzee Mengi alikuwa na gazeti linaitwa ALASIRI. Halikuleta faida. Gazeti la Dar Leo vile vile. Ushindani wa magazeti mengine ulikuwa...
8 Reactions
15 Replies
5K Views
Yaani adui mkubwa wa masikini siku zote huwa ni masikini mwenzake na wala sio tajiri. MO sio adui wa masikini, wala Bakhresa sio adui wa masikini. Adui wa masikini ni masikini mwenzake ambaye...
11 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari ndugu ni matumaini yangu mu wazima wa afya kama kijana mpambanaji nilikuwa naomba msaada wenu jinsi ya kuwa Wakala wa hivi vitu, ni matumaini yangu nitapatiwa msaada. Natanguliza shukrani...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
December 10, 2018 Rais alizindua vitambulisho vya wajasiriamali na wachuuzi wadogo wadogo maarufu kama wamachinga na alisema vitadumu kwa mwaka mmoja, sasa mwaka umeisha na wachuuzi hawa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Biashara hii imeshamiri sana katika maeneo ya Dar es salaaam hususan mida ya jioni ambapo chapati moja huuzwa kwa wastani wa Sh. 500. Wakuu naombeni mchanganuo wa hii biashara nataka kufungua...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
1. Andaa orodha ya watu na taasisi ambazo unadhani zaweza kuhitaji huduma yako. Kwa mfano kama wewe ni mtengenezeji wa websites basi tafuta makampuni yote ambayo hayana website ama yana websites...
6 Reactions
4 Replies
922 Views
HELLO MEMBERS, PLEASE SHARE WITH ME ANY LEGAL (AUTHORISED) SUPPLIER/SELLER/DEALER OF ETHANOL- FOOD GRADE CONTACT: Email: goldmarkbeverages@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Watu wengi wanatamani sana kuagiza bidhaa mtandaoni kutoka Dar sababu bidhaa nyingi ni bei rahisi tofauti na mikoani lakini tatizo linakuja kwa wakazi wenyewe wa Dar wengi sio waaminifu. Wanunuzi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Ni siku ya tano leo ombi lango la kufungua Kampuni halijafanyiwa kazi, status bado "making final decesion" naona hakuna tena email yao wala status change. Walisharudisha mara tatu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…