Habari za Jumapili,
Napenda kufahamishwa masoko ya kuuza asali kwa jumla kuanzia lita 20 na kuendelea. Nimesikia wanunuzi wa kubwa ni viwanda vya madawa na cosmetics. Ukiachilia mbali kampuni...
Unga kilo ni shilingi 2200 kwa baadhi ya sehemu huku Dar inatarajiwa kufika 3000 tukiingia mwezi wa pili.
Walanguzi ndio wanufaikaji wakubwa na sio wakubwa kwa hiyo serikali isidhani kuwa...
Guys nani amewahi sajiri jina la biashara Brela kwa huu mfumo wa online? anisaidie maana nimekwama kipengere cha kujaza majina na jinsia, niki hover mouse inaniletea haka ka alama 🚫, sasa...
Wadau kuna kampuni imenilipa fidia ya sh mil 30. Kulitokea nini na ilikuwaje mpk nikalipwa fidia hii? Nisingependa kuiongelea.
Ombi langu kwenu ni kwamba naombeni ushauri na uzoefu wenu wa...
Wakuu husikeni na mada tajwa hapo juu. Mimi shida yangu natafuta dereva wa gari, lori anayeenda hayo masafa nina kamzigo kangu.
Charges tutaelewana tukishakutana PM.
Pia kama wamjua mmoja...
Greetings JF massive
Imekuwa muda kidogo sijaandika hapa kwasababu ya majukumu lakini leo nimepata time kidogo nikasema nitatumia muda huu ku-share mambo muhimu kabisa katika darasa la leo...
Wana bodi,habari za miangaiko,nataka kuagiza tractor nje ya nchi,nimelipaza Ukraine kwa muuzaji Garkolena-Group,ukiangalia kwenye mtandao wanajihusisha na vyakula,Je nitumie njia gani kujua ni...
Salam za mwaka mpya wadau.
Kuna rafiki yangu kaniomba nimtafutie bei za jumla za dagaa kavu katika soko la Kariakoo. Yeye anataka kusupply hapo sokoni.
Naelewa huwa zinabadilika kutokana na...
Mafanikio hayaji sehemu uliyozoea,
Mafanikio sio tabia za kila siku,
Mafanikio sio watu walewale kila siku,
Mafanikio ayachekei mtu,
Mafanikio ni ujasiri hata kama mbele unaona giza nene...
Kama kichwa cha habari apo kinavyoeleza naombeni ushauri wenu. Nimetembelea mitandao kama Alibaba naona bei zao ni nafuu sana tofauti na bei ya hapa Tanzania.Nini kinafanya watu wakwepe kununua...
MTANGAMANO wa kikanda kwa nchi za afrika kupitia mashirika ya posta umesaidia kutoa huduma jumuishi na sahihi za kifedhana posta kwa watoa huduma zingine mbalimbali na hivyo kusaidia kuwafikia...
Habari wakuu,
Nimepatwa dharura ninahitaji kujua taasisi zinazotoa mikopo kwa kutumia kiwanja kama dhamana.
Msaada wenu tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari zenu....nimejaribu kupita alibaba nimeiona hiyo bajaji,kwa hiyo bei hapo naona inaweza kuwa afordable kuliko kununua hapa Tanzania....japo wameandika min order unatakiwa kununua 4...
Habarin jaman natumahi kila mmoja yupo okay
Leo nataka kushare idea na nyinyi katka habar za mitandaoni
Kuna kampuni mbalimbali kama eBay, Ali baba na Amazon unaweza kufanya manunuzi suala na...
Ninahitaji kufanya biashara ya usafirishaji kwa kutumia Bajaji.
Kwa kua ninahitaji kuanza na bajaji nne, nimehisi nivyema nikaziagiza kutoka nje kwa kua yaweza ikawa nirahisi zaidi kuliko kununua...
Kumkopesha pesa jamaa/ndugu muda mwngine kumekuwa na changamoto sana kwenye urudishaji wa deni, nimegundua kwa sehemu kubwa mkopaji huwa akija kukopa kwa upole huku akitia huruma huku akiwa na...
Ubidhaishaji (Commoditification)
Mbali na kitu hiki kuonekana kuwa kinawafanya watu wakae mbali na utu lakini tunapoendea tunapaswa kujua kuwa ubidhaishaji ni chanzo kikuu cha ajira kwa kipindi...
Serikali imerudi kwa kasi kwenye Biashara mbalimbali, na Sasa inakuja na Benki kubwa ya kibiashara Tanzania ambapo itamilikiwa kwa 100% na serikali.
Benki itaenda kwa jina la Tanzania Commercial...