Neno ujasiriamali si, neno geni miongoni mwetu na kumekuwa na dhana nyingi sana kuhusiana na ni nani mjasiriamali na ni nani ambaye sio mjariamali.
Mjasiriamali katika dhana ya kisasa ni mtu...
NOTE: SIKO VIZURI KTK UANDISHI, MAPUNGUFU UYAVUMILIE CHUKUA UJUMBE
Naanzia baada ya kumaliza form 4.
Nikiwa nimemaliza form 4 nilichaguliwa kujiunga na A level kwakuwa mambo ya kiuchumi yalikuwa...
Wasaalam wanajukwaa!
Nimeamua kwenda kujilipua Zanzibar hivyo kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu huu mji naomba uzoefu wake.
Kwa nini naenda Zanzibari? Jibu ni simple tu, naenda kutafuta maisha...
Zamani nilidanganywa kwa kuambiwa kuwa ukiwa na pesa utapata kila kitu, kweli nikapambana na nikafanikiwa kwa kiasi chake.
Ki ufupi nimewekeza kwenye biashara zisizofilisika. Na kwa siku napata...
Wakuu heshima kwenu.
Kwa wenyeji wa Mkoa wa Arusha (mjini na maeneo ya karibu) ni maeneo gani ni naweza kufungua biashara ya Pub/grocery na ikawa ya mafanikio? Eneo Liwe limechangamka, mzunguko...
Heshima zenu wakuu
Nipo Pwani ya kupambana na ninataka kuchoma meli. Lakini tatizo kuna mpinzani mmoja ananivuta shati nyuma. Mpinzani huyo ni mkopo toka benki moja hivi mjini.
Hoja yangu ni hii...
Wadau kama title inavyosema japo juu Mimi najishughulisha na uuzaji wa kuku wa kienyeji pure ambao hua nazama vijijini kukusanya mzigo nipo singida ikiwa kuna mtu atahitaji kusafirisha hua...
Biashara ni sayansi tena Sayansi ngumu sana.
Nilicho kuja kujifunza ni kwamba kwenye Biashara usifuate stort za mtu, usivutiwe na biashara ya mtu nawewe ukataka kufanya kama yeye, usi hamasike...
Nadhani asilimia ndogo sana ya watanzania wanaofanikiwa kupata Tsh 100M katika maisha yao. Asilimia yetu kubwa pesa hizi tunazisikia tu na uwezekano wa kutozipata katika maisha yetu ni mkubwa ...
Marekani imeiondoa China kutoka kwenye orodha yake ya nchi zinazodhibiti kiwango cha ubadilishaji wa fedha.
Ripoti iliyotolewa jana na Wizara ya fedha ya Marekani inasema kwa sasa hakuna nchi...
(Highly Graphic And GAMING DESKTOP ) ELITEDESK800 TOWER 1 5th generation Ina ram16gb,InvidiaGTX1060 3GB ,HHD500 PROCESSOR 3.2 4cpu kwa mawasiliano nichek kwa 0675979150
Sent using Jamii Forums...
Wataalamu, naomba kujua siri iliyojificha kwenye minada ya hadhara. Je vifaa wanavyouza ni kweli vinakuwa vimechukuliwa kwa wafanyabiashara walioshindwa kurudisha mikopo?
Je hizi bidhaa sio fake...
Jaman wanajukwaa mm nafanya biashara ya simu second hand nataka kupanua wigo wangu nauliza kwenu mana nimeambiwa Zanzibar kuna chimbo za hizi simu mwenye uzoefu au mwenye kujua anisaidie kuhusu...
Mwaka mpya ni wakati wa kutafakari yaliyopita, tulipokosea, tulipofanikiwa na namna gani tufanye vizuri zaidi. Tumeingia pia muongo mpya (2020 hadi 2030) kwa hiyo pia ni miaka kumi kutafakari nini...
Heri ya mwaka mpya 2020 JF massive!
Leo kama kawaida nipo hapa nikikupatia darasa muhimu kabisa kwanini Hustle zako (business) inakosa wateja wakati unafahamu kabisa product au service unayouza...
Wataalam Nawasalimu,
Nisiwachoshe niende straight to the point.Nahitaji kufungua kampuni ndogo,Ya kufanya usafi maofisini,Nitakuwa na ofisi ambayo itakuwa na wafanya kazi wa ofisini maybe wawili...
Ukatumwa tarehe 16 na leo umefika..
NILICHOJIFUNZA
1. Wakati mwingine woga wetu ndio unaotufanya kuwa nyuma kimaendeleo.. Dunia ya sasa imekua kijiji unaweza pata bidhaa yeyote toka ulimwengu...
Habari za leo wanaJF!
Ninahitaji diesel pump ya maji yenye uwezo mkubwa wa kutoa maji kutoka mita 200 kwenye bwawa na kuyaleta kwenye tank lililopo mita nne juu (limejengewa mnara wake)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.