Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Neno ujasiriamali si, neno geni miongoni mwetu na kumekuwa na dhana nyingi sana kuhusiana na ni nani mjasiriamali na ni nani ambaye sio mjariamali. Mjasiriamali katika dhana ya kisasa ni mtu...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
NOTE: SIKO VIZURI KTK UANDISHI, MAPUNGUFU UYAVUMILIE CHUKUA UJUMBE Naanzia baada ya kumaliza form 4. Nikiwa nimemaliza form 4 nilichaguliwa kujiunga na A level kwakuwa mambo ya kiuchumi yalikuwa...
63 Reactions
60 Replies
10K Views
Naomba mwenye uwelewa na uzoefu wa biashara ya usafiri wa UBER anijuze please! Inaendeshwaje na mimi napataje commission yangu?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasaalam wanajukwaa! Nimeamua kwenda kujilipua Zanzibar hivyo kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu huu mji naomba uzoefu wake. Kwa nini naenda Zanzibari? Jibu ni simple tu, naenda kutafuta maisha...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Zamani nilidanganywa kwa kuambiwa kuwa ukiwa na pesa utapata kila kitu, kweli nikapambana na nikafanikiwa kwa kiasi chake. Ki ufupi nimewekeza kwenye biashara zisizofilisika. Na kwa siku napata...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Wakuu heshima kwenu. Kwa wenyeji wa Mkoa wa Arusha (mjini na maeneo ya karibu) ni maeneo gani ni naweza kufungua biashara ya Pub/grocery na ikawa ya mafanikio? Eneo Liwe limechangamka, mzunguko...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Heshima zenu wakuu Nipo Pwani ya kupambana na ninataka kuchoma meli. Lakini tatizo kuna mpinzani mmoja ananivuta shati nyuma. Mpinzani huyo ni mkopo toka benki moja hivi mjini. Hoja yangu ni hii...
2 Reactions
88 Replies
18K Views
Wadau kama title inavyosema japo juu Mimi najishughulisha na uuzaji wa kuku wa kienyeji pure ambao hua nazama vijijini kukusanya mzigo nipo singida ikiwa kuna mtu atahitaji kusafirisha hua...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Biashara ni sayansi tena Sayansi ngumu sana. Nilicho kuja kujifunza ni kwamba kwenye Biashara usifuate stort za mtu, usivutiwe na biashara ya mtu nawewe ukataka kufanya kama yeye, usi hamasike...
21 Reactions
19 Replies
3K Views
Nadhani asilimia ndogo sana ya watanzania wanaofanikiwa kupata Tsh 100M katika maisha yao. Asilimia yetu kubwa pesa hizi tunazisikia tu na uwezekano wa kutozipata katika maisha yetu ni mkubwa ...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Marekani imeiondoa China kutoka kwenye orodha yake ya nchi zinazodhibiti kiwango cha ubadilishaji wa fedha. Ripoti iliyotolewa jana na Wizara ya fedha ya Marekani inasema kwa sasa hakuna nchi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
(Highly Graphic And GAMING DESKTOP ) ELITEDESK800 TOWER 1 5th generation Ina ram16gb,InvidiaGTX1060 3GB ,HHD500 PROCESSOR 3.2 4cpu kwa mawasiliano nichek kwa 0675979150 Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalamu, naomba kujua siri iliyojificha kwenye minada ya hadhara. Je vifaa wanavyouza ni kweli vinakuwa vimechukuliwa kwa wafanyabiashara walioshindwa kurudisha mikopo? Je hizi bidhaa sio fake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman wanajukwaa mm nafanya biashara ya simu second hand nataka kupanua wigo wangu nauliza kwenu mana nimeambiwa Zanzibar kuna chimbo za hizi simu mwenye uzoefu au mwenye kujua anisaidie kuhusu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwaka mpya ni wakati wa kutafakari yaliyopita, tulipokosea, tulipofanikiwa na namna gani tufanye vizuri zaidi. Tumeingia pia muongo mpya (2020 hadi 2030) kwa hiyo pia ni miaka kumi kutafakari nini...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Heri ya mwaka mpya 2020 JF massive! Leo kama kawaida nipo hapa nikikupatia darasa muhimu kabisa kwanini Hustle zako (business) inakosa wateja wakati unafahamu kabisa product au service unayouza...
13 Reactions
90 Replies
6K Views
Wadau, Wakati mambo yakiendelea naona shillingi yetu inakata pumzi polepole ilikuwa 2,230 na sasa 2,304. Na bei ya kuuzia itakuwa 2,400? Nini shida?
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Wataalam Nawasalimu, Nisiwachoshe niende straight to the point.Nahitaji kufungua kampuni ndogo,Ya kufanya usafi maofisini,Nitakuwa na ofisi ambayo itakuwa na wafanya kazi wa ofisini maybe wawili...
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Ukatumwa tarehe 16 na leo umefika.. NILICHOJIFUNZA 1. Wakati mwingine woga wetu ndio unaotufanya kuwa nyuma kimaendeleo.. Dunia ya sasa imekua kijiji unaweza pata bidhaa yeyote toka ulimwengu...
12 Reactions
300 Replies
39K Views
Habari za leo wanaJF! Ninahitaji diesel pump ya maji yenye uwezo mkubwa wa kutoa maji kutoka mita 200 kwenye bwawa na kuyaleta kwenye tank lililopo mita nne juu (limejengewa mnara wake)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…