Jaman naomba ushaur me nipo mkoa wa Kilimanjaro , Nina mtaji wa milion kumi, nan mwenye wazo LA biashara itakayo nilipa.
NB. Pesa ya kula na kujikimu nategemea hapo hapo.
Habari za CNN zinasema China
1. Wamewapiku Germany na sasa wapo nyuma ya Japan na USA in terms of economic volume/gross domestic product.
2. Uchumi wao umekua 10-fold tangu 1979 (i.e. within...
Lengo Moja Muhimu Unalopaswa Kujiwekea 2020 Ili Uweze Kufikia Malengo Mengine Unayojiwekea.
Heri ya mwaka mpya 2020!
Ni nafasi ya kipekee sana kwetu tumeipata kuiona siku hii nyingine mpya, ya...
Korosho tamu kutoka kusini mwa Tanzania katika mkoa wa Mtwara. Zipo kwa ajili yako si za kukosa kabisa maana utamu wake ni wa kipekee. Napatikana Dar ila na mikoani natuma napatikana kwa namba...
Habari wakuu.
Hii biashara ya kutangaza bidhaa zako kwenye mitandao naona bado haijaeleweka vizuri hapa Tanzania.
Wafanya biashara wengi bado wana uswahili mwingi sana. Mtu anatangaza biashara...
Watumiaji wa simu za mkononi nchini wamepokea habari njema kuwa kampuni mbili za mawasiliano ya simu za mkononi nchini za Tigo na Zantel sasa zimekamilisha zoezi la kuunganisha shughuli zao na...
Wanabodi,
Katika angaika angaika yangu, nimefanikiwa kupata Milioni 10 (kumi) taslimu. Kiukweli sijawahi kupata pesa kama hii kwa mkupuo maishani mwangu pamoja na kwamba nina 42 years now. Ni...
Watu tumezoea kudanganyana na kutokuelezana ukweli kuhusiana na biashara. Tumekuwa watu wa kupeana moyo na kushauriana kila mtu afanye iashara lakini biashara au ujasiriamali sio kitu rahisi kiasi...
Hello again, business guru's
Mchango kidogo wa mawazo, kujenga real estate, gorofa/ apartments kwa ajili ya renting/kupangisha kwa Kiswahili mnasema...
Je, budget ya bilioni zaidi ya moja na...
Wakuu habari!
Hapo juzi tar 22/12/19 nilinunua mzigo ebay, lakini baadaye tukashindwana na seller gharama za usafirishaji kwa dhl, Nika request kucancel order.
Bila shida seller alicancel order na...
Kwanza nawapa pole kwa yanayoendelea nikiwepo mimi mwenyewe.
Lengo la uzi huu ni kutafuta namna mbadala nje ya kazi zetu. Mimi nimekuwa na kabiashara kangu na huko ndo nguvu zangu iliko kwa wingi...
Heri ya mwaka mpya wana JF hongera sana kwako kwa kuweza kuiona hii siku ya leo na pole sana kwa wale ambao bado ni wagonjwa naamini kwa MUNGU muweza watapata nafuu.
Mimi mwanafunzi wa chuo...
Napenda kufahamu faida inayopatikana kwa Mawakala wa Fahari Huduma CRDB.
Kati ya Uwakala wa Benki na Uwakala wa Simu (M-Pesa na mingine), kipi kina faida zaidi?
Habari zenu wakuu,
Mwaka ndiyo hivyo tunauanza, mawazo safi ya biashara yanaanza kutokota.
Wazo la biashara ya mbao mahali nilipo haipo; nataka kuisogeza muongozo kwa anayeijua. Au kama kuna...
Mafanikio yoyote yale unayoyafahamu hapa ulimwenguni yalianza kama wazo na wazo huja baada ya kubadilisha mtazamo ili kufupisha mambo kila mmoja aendelee na mambo yake.
Basi niende kwenye point...
Mtaji wangu umekata mpaka kupelekea kuuza kuku wa mayai wapo 540(mia tano arobaini),bado wiki mbili waanze kutaga..nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3.
SABABU.
Hii ni baada ya kukosa hela ya...
Choosing the right business directory is one of the major thing in business growth, in Tanzania today i recommend Bizyciti.com as one of the best business directory in Tanzania. The system has...
Habari wakuu.
Wakuu naomba watalaamu wa paa wanipe hesabu za kupaua na kuezeka nyumba ya ukubwa wa Sqm 400. Nataka hesabu za makadirio ya vifaa vinavyohitajika na za ufundi.
Vilevile nataka...
Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.