Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Jaman naomba ushaur me nipo mkoa wa Kilimanjaro , Nina mtaji wa milion kumi, nan mwenye wazo LA biashara itakayo nilipa. NB. Pesa ya kula na kujikimu nategemea hapo hapo.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
آنلاین الخربانه بنلغیرنححفغ ل أن خیلیزرنیس
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za CNN zinasema China 1. Wamewapiku Germany na sasa wapo nyuma ya Japan na USA in terms of economic volume/gross domestic product. 2. Uchumi wao umekua 10-fold tangu 1979 (i.e. within...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Lengo Moja Muhimu Unalopaswa Kujiwekea 2020 Ili Uweze Kufikia Malengo Mengine Unayojiwekea. Heri ya mwaka mpya 2020! Ni nafasi ya kipekee sana kwetu tumeipata kuiona siku hii nyingine mpya, ya...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Korosho tamu kutoka kusini mwa Tanzania katika mkoa wa Mtwara. Zipo kwa ajili yako si za kukosa kabisa maana utamu wake ni wa kipekee. Napatikana Dar ila na mikoani natuma napatikana kwa namba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu. Hii biashara ya kutangaza bidhaa zako kwenye mitandao naona bado haijaeleweka vizuri hapa Tanzania. Wafanya biashara wengi bado wana uswahili mwingi sana. Mtu anatangaza biashara...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Watumiaji wa simu za mkononi nchini wamepokea habari njema kuwa kampuni mbili za mawasiliano ya simu za mkononi nchini za Tigo na Zantel sasa zimekamilisha zoezi la kuunganisha shughuli zao na...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi, Katika angaika angaika yangu, nimefanikiwa kupata Milioni 10 (kumi) taslimu. Kiukweli sijawahi kupata pesa kama hii kwa mkupuo maishani mwangu pamoja na kwamba nina 42 years now. Ni...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
Watu tumezoea kudanganyana na kutokuelezana ukweli kuhusiana na biashara. Tumekuwa watu wa kupeana moyo na kushauriana kila mtu afanye iashara lakini biashara au ujasiriamali sio kitu rahisi kiasi...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello again, business guru's Mchango kidogo wa mawazo, kujenga real estate, gorofa/ apartments kwa ajili ya renting/kupangisha kwa Kiswahili mnasema... Je, budget ya bilioni zaidi ya moja na...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Wakuu habari! Hapo juzi tar 22/12/19 nilinunua mzigo ebay, lakini baadaye tukashindwana na seller gharama za usafirishaji kwa dhl, Nika request kucancel order. Bila shida seller alicancel order na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwanza nawapa pole kwa yanayoendelea nikiwepo mimi mwenyewe. Lengo la uzi huu ni kutafuta namna mbadala nje ya kazi zetu. Mimi nimekuwa na kabiashara kangu na huko ndo nguvu zangu iliko kwa wingi...
2 Reactions
0 Replies
981 Views
Heri ya mwaka mpya wana JF hongera sana kwako kwa kuweza kuiona hii siku ya leo na pole sana kwa wale ambao bado ni wagonjwa naamini kwa MUNGU muweza watapata nafuu. Mimi mwanafunzi wa chuo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Napenda kufahamu faida inayopatikana kwa Mawakala wa Fahari Huduma CRDB. Kati ya Uwakala wa Benki na Uwakala wa Simu (M-Pesa na mingine), kipi kina faida zaidi?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Mwaka ndiyo hivyo tunauanza, mawazo safi ya biashara yanaanza kutokota. Wazo la biashara ya mbao mahali nilipo haipo; nataka kuisogeza muongozo kwa anayeijua. Au kama kuna...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mafanikio yoyote yale unayoyafahamu hapa ulimwenguni yalianza kama wazo na wazo huja baada ya kubadilisha mtazamo ili kufupisha mambo kila mmoja aendelee na mambo yake. Basi niende kwenye point...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtaji wangu umekata mpaka kupelekea kuuza kuku wa mayai wapo 540(mia tano arobaini),bado wiki mbili waanze kutaga..nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3. SABABU. Hii ni baada ya kukosa hela ya...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Choosing the right business directory is one of the major thing in business growth, in Tanzania today i recommend Bizyciti.com as one of the best business directory in Tanzania. The system has...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Habari wakuu. Wakuu naomba watalaamu wa paa wanipe hesabu za kupaua na kuezeka nyumba ya ukubwa wa Sqm 400. Nataka hesabu za makadirio ya vifaa vinavyohitajika na za ufundi. Vilevile nataka...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…