Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Greetings everybody! Kama kawaida tunakutana tena katika darasa la leo ambapo nataka ni-share somo muhimu kabisa litakalokusaidia kuona njia bora yakuanzisha biashara ya mtandoni itakayopata...
8 Reactions
11 Replies
3K Views
Hello! Hope mko poa guys Kwa yoyote anaeuza simu za jumla haswa za kichini (ndogo ndogo sio smart phone) naomba anicheck pm tufanye biashara N:B Kama wewe ni dalali/mtu wa kati/ mlanguzi hii...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Ni bidhaa zipi zinazoingia ndani ya Tanzania kutoka nje ya nchi bila kodi Tanzania? Kwa mfano pedi za wanawake nasikia hazina kodi ila sijaprove.
0 Reactions
28 Replies
3K Views
SIRI YA UTAJIRI WA VODACOM YATAJWA. Zikiwa zimebaki siku mbili kufungwa kwa mauzo ya hisa za Awali kwa Kampuni ya Mawasiliano nchi Vodacom imefahamika ongezeko la ukuaji wa Mapato kwa mwaka...
5 Reactions
48 Replies
7K Views
Kila mtu anaongelea habari za ujasiriamali. Pengine hii inatokana na wengi wetu kutambua kwamba nyakati zimebadilika na ujasiriamali ndio njia iliyo sahihi zaidi kama mtu anatamani mafanikio ya...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari ya humu ndani wakuu naombeni mwenye uzoefu na hii biashara aweze kuelezea kuhusu biashara ya simu na vifaa vyake, mtaji milioni 10 maximum.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba kupata mwanga kidogo juu ya vigezo ambavyo nchi fulani duniani huchukuwa kuongeza thamani au pesa mpya katika mzunguko wa kiuchumi. Mfano, tuchukulie labda Tanzania hapa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Amani kwenu wana JF Mwenye uzoefu ama mwenye taarifa sahihi juu ya hii biashara * mtaji kiasi kwa kima cha chini mtu anaweza anza? * changamoto za hii biashara * soko lake ni wapi Natanguliza...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Wakuu kwanza natanguliza Shukrani na salamu kwenu, Mimi ninao mtaji wa shilingi milioni 3, nina ndoto za kufanya biashara ya mazao kutoka Mbeya kwenda Dar. Je, nini changamoto na kipi cha...
1 Reactions
20 Replies
10K Views
Habari wakuu, nimekuja hapa kwenu nina changamoto moja kubwa sana. Hasa katika kufanya miamala online, nimefungiwa na CRDB sijui kwa nini ila sitaki kujua. Maana kutuma naweza ila, kuingiza...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari zenu wana jamvi, Nimeacha ajira kwa hasira. Nimefanya maamuzi ya kipuuzi? sijui! Ngoja nianzie mbali kidogo kuwasimulia: Nilihitimu Shahada yangu ya Uhandisi mwaka jana na baada ya kukaa...
14 Reactions
98 Replies
14K Views
Habarini, Hiki kitendo cha watu kuweka hela zao benki pasipo kuzitoa kwa muda mrefu halafu benki wanakuwa wanazikata kwa kasi ya 4G wakati benki wanazikopesha kwa watu wenginebkwa riba siyo sawa...
9 Reactions
59 Replies
19K Views
JISHINDIE MTAJI WA MILIONI 10. Mtanzania aliyekataa mshahara wa milioni 400 Marekani (na mwanzilishi wa kampuni ya NALA) anatoa mtaji wa MILIONI 10 kwa mtu yeyote anayetaka kuanza ama kukuza...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada, ni vitu gani vinaitajika humo dukani? Kuanzia ni mtaji bei gani, na ni bora kuagiza mtandaoni au nje ya nchi? Je, ukinunua hapa hapa ndani na wewe kuuza faida zipoje?
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari za leo! Naitwa Edison Ernest nipo dares salaam, Mimi ninahitaji kujiajiri kwa kufanya biashara, mpaka sasa ninamtaji Wa sh,400,000 laki 4 lakini sijuwi nifanye biashara gani naombeni...
1 Reactions
2 Replies
688 Views
Habari zenu wana jamvi wenzangu. Tafadhali nina uhitaji wa hanger kwa ajili ya nguo za watoto. Kwa yeyote mwenye kujua chimbo kwa Dar tafadhali nifahamishe na ikiwezekana niunganishe na mhusika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Profesa Palamagamba Kabudi amewaalika wenzake kadhaa wa Kiafrika na Nordic kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Afrika-Nordic jijini...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Habar wana jamii wenzangu, Ninalolileta halijawekewa takwimu na vyombo vinavyojishugulisha na utafiti, Lakini ni maono yangu binafsi tu yanayofanya nione kama hivi. Jambo la kwanza lililofanya...
1 Reactions
2 Replies
731 Views
Kwanza namshukuru Sana kijana mwenzangu kwa kunipa mwanga wa maisha. Kupitia ONTARIO sasa natengeneza mil 7 hadi 10 kwa mwezi. Simjui ONTARIO na wala hanijui na sijawahi kumwona. Niliwahi kusikia...
57 Reactions
307 Replies
37K Views
TANZANIA sasa itaanza kuchenjua na kusafi sha dhahabu kwa ajili ya kuhifadhiwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa lengo la kulinda uchumi wa nchi. Usafishaji wa dhahabu ni moja ya hatua muhimu ambazo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…