Greetings.
Kama kawaida leo tunakutana tena katika darasa muhimu kabisa linalohusu mbinu za kuuza bidhaa au huduma yoyote ile kwa potential client.
Nafahamu watu wengi wanaoanzisha business mpya...
Wana JF habari zenu,
Mama yangu baada ya kunusurika na kikotoo ameniomba nimshauri kumpendekezea mradi ambao anaweza akaanzisha na kuusimamia yeye mwenyewe, pesa anazotegemea kupata ni Tshs...
Salaaam wakuu,
Nina wazo moja la kufanya biashara ya dobi. Ndugu yangu mmoja alishawahi kuwa dobi alikuwa anafua nguo na kupiga pasi kwa siku alikuwa analaza around 10,000/= mpaka 15,000/=...
Mahitaji ya nyumba ya kulala wageni yapo kila sehemu hasa kama kuna shughuli za uchumi mfano mgodi wa madini, kilimo hasa cha mazao ya biashara kama pamba na korosho.
Hata shughuli za utalii...
Wakati mbunge wa Kigoma Kusini (CCM), Husna Mwilima akisema wahudumu wa ndege za ATCL hawana mvuto kwa wateja, shirika hilo limesema haliwachagui kwa ajili ya kuonyesha sura 3.
“Hatuchagui...
Awe tayari anatengeneza kwa uzoefu. Nitakuwa nanunua kwake kwa jumla. Vipodozi viwe asilia kabisa bila kemikali zozote. Namba ya kunicheki 0678823995 kwa SMS au WHATSAPP TU.
Habari Wana JF
Tujifunze utengenezaji wa vyungu vya maua.
MALIGHAFI
1.MCHANGA
2.CEMENT
3.MWIKO WA KUJENGEA
4.UMBO
5.RANGI
6.VANISH (MAHOGAN)
JINSI YA KUTENGENEZA
Changanya MCHANGA 3 + CEMENT...
Habari wakubwa
Naomba kujua Billing zip code ya Tanzania nataka kufanya manunuzi Online sasa wanataka hiyo nimejaribu 00000 imekataa, nimejaribu pia 23100 imekataa.
Wakuu msaada.
Chinese e-commerce giant Alibaba Group Holding said on Monday that sales for its annual Singles' Day shopping blitz hit 91.2 billion yuan ($13 billion).
Akin to Black Friday and Cyber Monday in...
Kutokana na kazi yangu, nahitaji fuso tiper iliyotumika, ila sina cash, naihitaji kwa mkataba kwa muda wa miaka miwili. Kila mwezi ni Tsh mil 2, kwa mwaka ni sh mil 24.
Onyo! Sihitaji dalali...
Unaweza kuwekeza kwenye uchenjuaji wa dhahabu na ukapata faida kubwa sana kea muda mfupi kutokana na kiasi ulichowekeza.
Kuna sehemu inaitwa Mwamazengo iko huko Mwanza kuna eneo lina leseni kwa...
Kutoka meza ya mdau.
ELIMU YA MATUMIZI YA FEDHA
Fedha inatakiwa uwe na nidhamu nayo katika kuitumia. Kanuni ifuatayo imetumika kwenye vyanzo vyako vyote vya fedha ili uwe na mafanikio yenye...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha uzi hapo juu naomba kujuzwa ni mitaa gani hapa Dar es Salaam yenye shida ya maji? Naomba wadau kama mnajua sehemu ambazo maji ya kutumia (maji baridi) ni shida...
Habari wana JF
Dereva wa uber anahitajika
Vigezo:
1. Awe na experience ya biashara
2.awe na account uber [active account]
3.awe mkazi wa dar es salaam
Kama yupo anitafute kwa namba hii 0656735641
Wakuu habari. Sina maneno mengi, nahitaji kuku wa kienyeji pure kutoka Morogoro, wakubwa size ya kuliwa.
Mimi nipo Dar es salaam, Kimara hapa.
Unaweza kunicheki PM au Whatsapp 0654 171 555.
Wana JF natumai mko poa
Nimepanga kuanza kufanya biashara ya mayai ya kienyeji kwa kuyatoa mkoani na kuyaleta hapa dar.
katika utafiti wangu nimegundua kwamba hii ni biashara ambayo haikulazimu...
Tafadhali naomba mnifahamishe jinsi ya kufungua school labaratory. Hii ni kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma sayansi watakuwa wanakuja kufanya practical za masomo kwa gharama katika kituo changu...
Ni imani yangu mko wazima wakuu.
Naomba msaada wa kujulishwa gharama zitakazo tumika kumiliki ps4 (bei ya ps4, flat screen ya bei ya kawaida) na vitu vingine vya muhimu natakiwa kuwa navyo ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.