Idea ya VICOBA ambayo ilianzia India miaka ya 80 huko ilikuwa na lengo kuu moja kwa ajili ya kuhakikisha wale walio tengwa na taasisi lasimi za kifedha wanafikiwa.
Financial Inclusion...
HONGERENI SANA MADIWANI WA HALMASHAURI YETU YA SHINYANGA
Leo asubuhi kupitia Radio Free Afrika Matukio nimesikia Madiwani wa Halmashauri yetu ya Shinyanga mmeibua mjadala wa kupanda kwa Nafaka...
Hii ni kudhihirisha kwamba, Tanzania ni tegemeo la nchi zote katika ukanda huu, wakati huohuo mauzo ya mchele kwenda Rwanda, Uganda na Kenya yameongezeka Mara dufu mwaka huu.
Kutokana na...
Nimefanya biashara ya vitenge kutoka Holland. Nilishirikiana na wenzangu mzigo ulishukia Ghana. Kwakuwa nilikuwa ninaanza, wateja walikuwa wananifuata nyumbani.
Nimewasiliana na kiwandani...
Ipo hvyo wazee kwa wale wadau wa 'uber' madereva ama wenye magari.
Hii imeanza zaidi kushika kasi kuanzia mwezi July.
Kwa nini?
Nadhani ni kwa sababu kuu mbili:
1. Mifuko ya watu inazidi...
1. Kujifanya unafahamu kila kitu
Usijifanye unajua kila kitu, hasa kama ndiyo umeingia kwenye ulimwengu wa kibiashara. Kwanini? Kwa sababu kuendesha biashara ni kujifunza na kupata uzoefu...
Imeingia email hiyo hapo kwenye Screenshot.
Sasa wakuu mzigo upo local post office umewasili bila shaka ni ofisi ya mkoani kwangu nilipoweka ufike si ndio au bado upo postal kuu Dar es salaam...
DALILI za bei ya sukari kushuka nchini zimeanza kuonekana kutokana na mipango ya kuongeza uzalishaji iliyowekwa ikiwamo uanzishaji wa viwanda vipya. wa viwanda vipya. Wakati sekta ya sukari ikiwa...
Kwa kweli naandika ujumbe huu nikiwa na hasira kwelikweli..na huu mtandao unaoitwa TTCL,.Leo nimejaribu kuweka pesa kwenye akaunt yangu ya T_pesa..ili nijiunge na kifurushi cha serereka weekly...
Natumai mu wazima wote,
Kama kichwa kinavyojieleza, Shughuli yoyote ambayo inaweza kunipatia 10,000 hadi 15,000 kwa siku.
Location: Dar es Salaam
Gender: Male
Mtaji:150,000
Mr Confidential...
Habari ya Mapumziko wana Jukwaa?
Tukiwa katika kuelekea kilele cha kumbukizi ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa Mwalim Julius Kambarage Nyerere kesho ziku ya Jumatatu tarehe 14/10/2019, ni vizuri...
Ni ukweli kwamba Nchi za Waarabu wamefaidi mno Gesi na Mafuta na kwa sasa wameanza kuondoka huko na kuanza hata kujenga viwanda make wanajua wana muda mfupi sana wa kuendelea kufaidi.
Kwa sasa...
Mimi nipo Mbagala natafuta mtu tushirikiane tufanye biashara ya matunda. Tunayaweka kwenye package nzuri pamoja kutengeneza juisi za matunda. Kama upo interested ni-PM au Whatsapp 0658 495 324...
Naombeni mnieleweshe mliowahi kufika Pemba nahitaji kwenda huko kununua vifaa vya umeme used kama laptop na simu. Swali langu kwenu: Zile boti zilizo pale Posta ya Zamani zinazoenda Zanzibar kule...
Greetings everybody!
Naomba nianze kwa kukuuliza?
Are you struggling to get your first client on UpWork au Online freelancing platform nyingine yoyote?
Kama jibu ni ndiyo basi leo nipo hapa...
Habari wapendwa, naomba ujuzi wa kutoa ya lebo ya kwenye chupa mfano Heineken na Windhoek ili nipate unafuu maana natumia muda mwingi kutoa na nachelewa kupata pesa wateja nawachelewesha.
Katika miezi nikiri wazi biashara hazilali mimi naonaga ni hii miezi,sehemu nyingi sana biashara hasa sisi tunaolenga wahitaji wa "kila siku" biashara zimechangamka sana sana, unajisikia raha hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.