Mimi ni mmoja wa wanufaika na mikopo ya serikali kupitia halimashauri.. mungu akipenda mapema mwanzoni mwa mwaka nitamaliza mkopo na Nita omba mwingine..Sasa nahitaji kununua gari nifanye tax kwa...
Hello jamii,
Nimejaribu kugoogle ni wapi naweza kwenda kuweka chapa ya biashara yangu lakini nimekosa nikakumbuka kisima cha maarifa chapchap suala hii ndio mahali pake.
Nina logo yangu nataka...
Mitandao ya kijamii imekua suruhisho kwa watu wenye kujua kutumia Mimi mwenyewe nimekua nikinufaika nayo kwa kujifunza vitu mbalimbali kuuza na kununua vitu kwenye mitandao tofauti pamoja na huu...
Habarini za jioni,
Baada ya kufuatilia uzi kuhusu biashara kutoka Uganda leo nimeamua kuianza safari kwa vitendo.
Mfukoni niko na Card ya Yellow Fever nauli na ATM Card yangu, Sina Passport, hii...
Do you want to start any of the following 65 businesses?
Real Estate Agency - 42 pgs
Maize Milling - 71 pgs
Motorcycle Spare Parts Retail -33pgs
Petrol Station (Independent) - 47pgs
Imaging...
Wakuu mimi ni mjasilimali mdogo tu ambae kwa siku naweza tengeneza faida ya kuanzia elfu 30 or elfu 40. Sasa kwa sasa natafuta biashara ambayo inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa...
Habari za mchana wadau.
Natafuta tairi za pikipiki aina Honda Twister CBX 250. Nipo Ruvuma na huku hamna hivyo kama kuna mahari zinapatikana hata kama ni used naomba tuwasiliane tufanye biashara...
Habarini wakubwa na wale wadogo.
Binafsi baada ya maisha kuwa magumu na kusubiria ajira baada ya muda mrefu bila mafanikio, nimeona nianzishe bishara ya M-Pesa na Tigo Pesa Wilayani Kahama...
Leo nimeona Sijui ni Waziri au nani anadai ni marufuku kuagiza Michicha nje. Kwamba Migodi wanaagiza michiche nje.
Kipindi cha nyuma napo ilikuwaga mijadala kwamba Super Market wanaagiza kila...
Habari Wakuu,
Nimeguswa na hii kitu, nimeona niilete kwenu. Soma kwanza
"In 2014 I planned to visit Mikumi National Park; an absolutely beautiful wildlife conservation. To achieve that I prepared...
Wadau napenda kuwakaribisha katika group letu la Biashara na Wajasiriamali la Tangaza Business Solutions uze na kununua hitaji lako kwa bei nafuu group lina miaka 5 mpaka sasa hivi jiunge utengeze...
Peace everybody!
Kama kawaida nipo hapa tena siku ya leo nikikupatia darasa muhimu kabisa litakalokusaidia kupata kazi UpWork au Freelancer.com kwa haraka.
Nafahamu wapo feelancers wengi...
Mara nyingi baadhi yetu huwa tunaanza biashara kwa kusikia kwa watu faida ya biashara hiyo, bila hata kujua misingi halisi ya kabla kuanzia biashara husika tumejikuta Tukianza biashara hiyo na...
Wenye uzoefu wanisaidie kuchanganua : mahitaji, namna ya kutengeneza, masoko na changamoto zake , mfano wa vitafunwa hivyo ni karanga, ubuyu, bisi na crips za ndizi na viazi au mihogo.
Habari za j'pili wakuu,
Kabla ya yote napenda kumshukuru mwenyezi MUNGU kwa tuniweka hai mpaka siku ya leo.
Naomba kwa yeyote anayejua gharama za kupata laini za uwakala [Tigo pesa na M-pesa]...
Wadau nimepata kafursa ka kuvuta kama milioni 20 hivi kipindi kigumu hiki cha magu hadi wanaume tumeona sifa kujiita "wanaume suruali" ili tusinyoyolewe.
Nilikua naomba michango yenu ya mawazo...
Kwa habari ya bei ya mahindi kupanda nami nitoe maoni; Kwanza mkulima wa Tanzania ameshateseka sana, wakati wewe na mimi tukiwa mjini tunakula ugali na kusaza.
Tunapiga kelele bei ya mahindi...
*NAMNA SAHIHI ZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UJENZI*
Na Mtaalam wetu,
*Habari Nduguzanguni*
*Karibu Sana Tuelimishane Namna Sahihi Zaidi ya Kukusaidia Kupunguza Gharama Za Ujenzi kwenye Mradi Wako*...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.