Uongozi wa Tannesco mtwara jaribuni kutatua changamoto hii kama ipo ndani ya uwezo wenu. Tinategemea umeme kufanya shughuli za kujikwamua kiuchumi huku vijijini.
Kumekuwa na tatizo la...
Ili biashara ipate nafasi sokoni lazima kuwe na ushindani,ili mteja apate thamani lazima kuwe na ushindani hivyo hakikisha biashara yako ama wazo lako ni la kishindani na lina mbinu na uwezo wa...
Nimefungua biashara mwezi wa tisa nikaona ni bora niende TRA ili nifanye biashara kwa kufuata sheria za nchi na nilipe kodi.
Kutokana na biashara yangu nikakadiriwa kodi laki moja na hamsini kwa...
Bei ya korosho kwa mnada wa tano, msimu wa 2019/2020 katika chama kikuu cha ushirika cha RUNALI, mkoa wa Lindi imeongezeka ikilinganishwa na mnada wa wanne.
Akizungumza na Muungwana Blog mara tu...
Wadau nina wazo la kuanzisha biashara ya kuuza juice ya miwa....naomba kujuzwa juu ya gharama za mashine hiyo. Ile ya kuzungusha kwa mkono na ile ya kutumia mota. Nawakilisha wadau
MASWALI ZAIDI...
Baada ya kuwa jobless kwa muda mrefu, leo kuna jamaa kanipeleka makumbusho kwenye ofisi za Alliances Global. Hao jamaa wanataka utoe laki 5 alafu ujiunge nao.
Baada ya hapo inabidi utafute watu...
Naomba msaada wa maelezo kutoka kwa mtu ambaye ameshafika maeneo hayo na gharama zake zipo vipi. Je ni airport ipi ipo better au karibu na hayo maeneo? Tour guide ipoje?
Asanteni sana.
Imeelezwa kuwa moja ya mipango ya kuokoa biashara hya Shirika la Ndege la Afrika Kusini (SAA) ni kuliunganisha na Shirika la ndege la Ethiopia lenye mafanikio, kwa lengo la kukuza biashara ya...
Kila kitu kinachoanza kwa hatua ndogo kinatakiwa kukua katika ukubwa, hivyo unapoonzisha biashara ndogo basi fahamu namna ambavyo biashara hiyo itakuwa kubwa.
Zifutazo ndizo kanuni za kuikuza...
1. Kamwe usiamke mapema, endelea kulala na kujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma.
2. Kamwe usipange jinsi ya kutumia pesa zako, wewe zitumie tu pale unapozipata. Na zikiisha kaa chini na...
Salaam Wanajukwaa,
Nimekuwa nikiwasikia na wakati mwingine kuwaona baadhi ya watu wakiwa na mipango ya kuhamia maeneo fulani kiutafutaji na hivyo kuuliza wenyeji kuhusiana na fursa wanazoweza...
Umewahi kusikia fedha za mkopo za Halmashauri zile zinazokopeshwa bila riba?
Mambo muhimu:
1.Unda kikundi cha vijana, wakina mama au walemavu. Kuanzia watu watano na kuendelea
2. Andaa katiba...
Habari wadau.
Nipo Dar kwa sasa nilihitaji kujua kwa wale wazoefu wa uzalishaji wa ice lolly (lambalamba) mambo yafuatayo:
1. Vifaa hasa vinavyotakiwa.
2. Gharama yake.
3. Changamoto.
4. Soko...
Kuna Daktari wa Hospital ya Bunazi Anaitwa Patrick Mwesige anaishi bukoba mjini yupo halimashauri Bunazi namba yake ya simu 0762049842 amekuwa akidai rushwa ya ngono kwa wagonjwa wake kuna dada...
Nimefanya maombi ya kusajili kampuni kwa njia ya mtandao Online Registration System BRELA. Baada ya kupendekeza jina for name reservation, nilipata mrejesho kwa njia ya email kuwa jina...
Habari za usiku. Wanabiashara na wajasiriamali kwa ujumla, ningependa kuuliza mambo gani yanaweza kuharibu biashara kwa mtu aliye na mtaji wa kuanzia 25 million?
Habari wakuu natumai ni wazima. Nilikuwa naomba nipate muangaza kidogo kuhusiana na upataji wa leseni ya biashara aina yenyewe ya biashara ni kama ile ya Kikuu.
Nimejaribu kuuliza inasemekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.