Biashara yeyote duniani ikianzishwa watu wenye biashara huanzisha ushindani wa kutafuta wateja.
Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo watu hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani...
Naomba mwenye ujuzi na uzoefu wa namna ya kutengeneza maandazi ya biashara. Lengo ni kuuzia maduka madogo madogo yanayonizunguka mtaani. Natanguliza shukrani
Hello.
Jamani nimeenda sehemu fulani kupata chakula na vinywaji, lakini bill ilivyokuja nikashangaa kila kitu kimekuja kwa receipt yake na kila kinywaji kina VAT yake!
Mfano: Soda 4 zimekuja...
Ndugu zangu naombeni kunifahamisha fursa inayopatikana mkoa wa kigoma kwa wenyeji wa mkoa huo hasa wilaya ya kibondo ,nataka nihamie kigoma .Natanguliza shukran.
Natumai muwazima.niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mkazi wa dar es salaam kutokana na vyuma kukaza nimepata wazo.la kwenda kununua mzigo wa sabuni kule kigoma nije nifanye biashara ya...
Amani ships first gold consignment from Tanzania
'''Junior Amani Gold has completed the first shipment of gold from the Geita mineral and gem hub, in Tanzania, to a refinery in Hong Kong.
About...
Wakuu,
Poleni Na majukumu.Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Mwenye uzoefu wowote Wa biashara amwage nondo hapa tuweze kujifunza hii baishara.
Nimeona majiko mawili makubwa maeneo ya kimara...
nasajiri kampuni yangu kupitia mfumo wa kielectroniki nimefika sehemu sijaelewa kama kuna mtu anaweza kunipa msaada anisaidie,naiataji kujua (company consolidated form ni form hipi hii na ikoje...
Kwanza kabisa nimpongeze Mh.Raisi Magufuli na Mh.Waziri wa mali asili.
Mimi kama kijana mtanzania nimejiajiri kwenye hii sector. Ninaitangaza nchi yangu kwa hali na mali. Nimefanikiwa kushawishi...
Habari
Kama kichwa Cha mada kinavyojieleza ni kwamba tarehe 3/2/2019 Makato mapya kwa watumiaji wa benki ya makabwela yataongezeka Kama nilivyojaribu kudodosa.
Cash withdrawal fees kwa ATM...
Pole na hongereni kwa kuwa wenye afya njema. Na kwapamoja tuwaombee wale wote ambao wakati kama huu hawana nafasi ya kusoma haya tuliopata pumzi ya bure na tukayasikia, kuona, kusoma na kuchangia...
Kama nilivy anza hapo, naomba tupeane muongozo au tujuzane kuhusu Radio Transmitter kwa undani haswa namna ya kuipata na gharama zake na ukubwa karibu kwa maoni na mchango wako.
Kwa wale wawekezaji wa ndani na wenye viwanda (Mwijage) kama mie hasa kusaga nafaka naomba niwape ushauri kidogo.
Biashara hii ni nzuri kwa mtu mwenye shughuli nyingi kwani inahitaji minimum...
Habari wadau, naomba mwenye kufahamu namna ya kupata leseni ya biashara ya duka la mtandaoni tafadhali naomba anijuze taratibu zake na pa kuanzia nawasilisha
Baada ya kupata loss kidogo nikakaa benchi kujitafakari kidogo
Nilichogundua:
1/ Hakuna biashara isiyokua na hasara.
2/ Hasara inapaswa kuichukulia kama changamoto na utafute solutions...
Binafsi napenda sana biashara za mtandaoni. Kama kuna mtu anaweza nisaidia biashara ya online ambayo siyo ya kushirikisha mtu kama ilivyo Forex, kama inalipa, naahidi kumlipa pesa ili mradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.