Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hata uwe mbunifu mkubwa kiasi gani huwezi kunufaika ikiwa hujui jinsi ya kuuza ulichobuni. Ukiamua kuingia katika ujasiriamali bila hii elimu utajikuta unapiga marktime na kurudi katika kuuza CV...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Greetings. Kama kawaida nipo hapa kukupatia maarifa yatakayokusaidia kupata kitu cha kufanya na mwisho wa siku unatengeneza pesa. Leo nataka nikuonyeshe jinsi unavyoweza kuwa na Online Store...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Nimesoma kupitia magazeti kuwa Vodacom wamepata faida nzuri sana baada ya kodi. Naomba kufahamu nikiwa mwanahisa wa Voda. Je gawio kwa hisa moja kwa mwaka 2019 ni kiasi gani?.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajukwaa mimi ni mgeni jamii forum, hoja yangu inayonitatiza ni namna ya kuanzisha kikampuni cha utalii kwa level ya kawaida. Hapa ninachotaka kujua ni taratibu zake na gharama...
2 Reactions
8 Replies
7K Views
NUKTA NANE MUHIMU KWA SIKU YA DUNIA YA BIMA YA AFYA KWA MTANZANIA KUTOKA KWA KIONGOZI WA ACT WAZALENDO, ZITTO KABWE. Leo Desemba 12, 2019 ni siku ya Dunia ya Bima ya Afya kwa wote. Bima ya afya...
2 Reactions
1 Replies
928 Views
Popote pale ulipo kama unasoma uzi huu tafadhali sikiliza ombi langu lifuatalo. Kwa heshma na taadhima najua kwamba wewe ni mzoefu wa masuala ya usafirishaji wa abiria na fitna zote kwenye sekta...
3 Reactions
46 Replies
13K Views
Amani iwe nanyi. Natumai wote mu wazima na mnaendelea vizuri na majukumu yenu. Leo katika makala zangu za kushauri juu ya mambo gani tunatakiwa tufanye, nimeona ni vizuri nishauri juu ya suala...
0 Reactions
3 Replies
943 Views
Naomba kuomba urafiki wa kudumu na wenye uzoefu wa kazi hizo za taxi kwa njia ya mtandao (Uber) na wenye kumiliki point za kuoshea pikipiki au magari. Mimi pia ni mbobezi kwenye biashara ya chips...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika mfumo wetu wa elimu kuna elimu muhimu inayokosekana na hakuna sehemu ya kuipata hadi uzinduke mwenyewe ambapo elimu hiyo ni elimu ya kujitambua,asilimia kubwa ya watu wanafeli...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
WAKULIMA wa korosho Mkoa wa Lindi wameuza korosho kwa bei ya juu ya Sh 2,825 na chini Sh 2,520 daraja la kwanza na pili kwa Sh 2,337. Kaimu Mrajisi wa vyama vya msingi ushirika mkoa wa Lindi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Watu wengi wanaishi bila kuwa na mipango,mambo yao wanapeleka mambo kwa kufuata mkumbo na bora liende hiyo ni hatari kubwa,mafanikio hayaji kama ajali yanatengenezwa na...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wapendwa Kwa mnaoagiza vipodozi kutoka nje ya nchi na kutumiwa hapa namaanisha wale wanaotumiwa kupitia dhl,meli,ndege etc Nimeambiwa ni lazima zikaguliwe na TFDA na TBS na pia nimeelezwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za saa hii wakuu. Leo nina jipya kwa wale wajasirimali wenzangu na wazalendo wa hii platform mwanajamii mwenzenu ndugu yenu nahitaji msaada wenu wa kibiashara. Nauza mafuta ya mawese na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello Nataka kufahamu ni kwa kiasi gani wananchi wa TZ wanatumia unga wa muhogo katika mlo wao wa kila siku ukilinganisha na unga wa mahindi? Na pia kama ukianzisha biashara ya kuuza unga wa...
1 Reactions
9 Replies
10K Views
Hello Team, naombeni msaada wenu, kuna machine nataka kununua China na wamenitumia details za Bank zote. Kabla sijatuma kama kuna mtu mwenye experience na mambo ya Money Transfer anisaidie ile...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajukwaa naomba kwa wale wanaojihusisha na biashara ya duka la madawa mhimu wanisaidie ushauri jinsi ya kuendesha biashara hiyo, nimepata milioni tatu nataka kuanzisha biashara ambayo itanipatia...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu? Karibuni kwenye mjadala pekee ambao utapata faida ya kupata kufahamu mahali pa kuanzia ili uongeze ama upate faida mtandaoni. Hizi ni sehemu zenye faida kubwa 1...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Sehemu kubwa ambayo bado kama taifa na mtu mmoja mmoja tunafeli sana ni kwenye eneo la ujenzi wa ufahamu kwa watoto na vijana,Asilimia kubwa ya fahamu zetu zimekariri ushindi sana kuliko hatua za...
12 Reactions
32 Replies
4K Views
Kuna wimbi kubwa la vijana kutaka kujiingiza kwenye biashara ya foreign exchange lakini, wengi wana mihemko tu hawajui a,b,c's za huko. Actually wengi wameingia huko na bahati mbaya wameangukia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kutoka kwenye ajira nimekua na mipango mingi sana ya kufanya, lakini kila ninapotaka ushauri kwa watu wa kalibu wanapinga wazo ninalitaka kulifanyia kazi. Biashara kama tano hivi zote...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom