Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari za muda huu wana JF? Nina ndoto ya kuwa wakala wa banks (commercial banks), naomba mwenye uzoefu zile machine za wakala unanunua au unapewa bure na banks accompanied with conditions au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu. Kwanza naomba kudeclare, hili sio tangazo la biashara. Tuendelee, kwa sisi wakaazi wa mjini Dar es Salaam hasa wafanya biashara wa vinywaji baridi na watumiaji wa bidhaa hizo ni...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwa vijana waliomaliza Form Four mwaka huu wanaosubiri matokeo yao ninawashauri wakati huu mkiwa mpo tu nyumbani mnasubiri majibu ya matokeo yenu, nendeni mkajifunze ufundi wa kompyuta na simu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza, kwamba kuna watu wanasema kuacha kazi na kuamua kufanya mambo yako ni kujiingiza kwenye mkenge ambao maisha yako yote utajutia Najiuliza na...
3 Reactions
92 Replies
8K Views
Habari wanajamvi ? Natumai mpo na afya njema(jambo la kumshukuru mungu) lkn kama nitofauti na nilivyotumaini basi mungu akupiganieni mrudi katika hali za sawa. Lengo na madhumuni ya kuanzisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mambo zenu, Nataka kufunga kampuni baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa biashara, anayejua process anipe fasta. Haina deni na documents zote ziko okay. Naanzia wapi na naishia wapi? Karibuni
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Wana jf mwenye ufahamu juu ya paypal acount zinauwezo wa kupokea pesa hapa inchi Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Labda unawaza kuhusu kujikita katika ujasiriamali katika muda huu. Pengine tayari wewe ni mjasiriamali tayari mwenye biashara moja au zaidi. Leo tutaangalia changamoto unazoweza kukutana nazo kama...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau. Leo nilienda showroom maeneo ya Magomeni kuangalia gari ya bei rahisi nikakuta Passo ni milioni 8.5 ndo bei rahisi zaidi. Sasa nikapita mitandaoni kuangalia bei za Passo Used...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza nilimsikia kwenye semina za fursa za clouds. Anaitwa Dr. Derrick. Kwa jinsi anavyoongea, ni kama kwamba ni kwa vile ana uwezo mkubwa wa kuona fursa na kuchukua hatua na kwa...
12 Reactions
35 Replies
11K Views
East african business doing cross-border transactions have less than two years to use their cheque books after which all bulk payments in the region will be done electronically. The EAC-payment...
1 Reactions
2 Replies
825 Views
Wakuu wa JF hope mko poa sana na maisha yanaenda fresh pande zenu. Ninaandika uzi huu kwa uchungu sana kuhusu rafiki yangu wa kufa na kuzikana (he Is like a brother to me), huyu jamaa...
4 Reactions
122 Replies
17K Views
Wakuu ni ipi sabuni nzuri za kung'arisha ngozi simaanishi kuchubua namaanisha kung'aa kutakata Ni wapi naweza kupata kwa hapa Dar na pia bei zake zikoje na vipi kuhusu kojic soap?nitapata wap na...
0 Reactions
14 Replies
13K Views
Wakuu amani iwe nanyi. Hii ni mada ya swali, Kumekuwa na mawazo mbalimbali kuhusiana na Jambo hili. Je wadau mna maoni gani kuhusiana na jambo hili? Ni kweli au ni uongo? Je utafiti wa wabobezi...
0 Reactions
4 Replies
838 Views
Rela Estate hasa Maduka ni swala ambalo nazani linaenda linaisha na halina Feature kabisa. Kwa sasa ni dhahiri huhitaji Frame ili ufanye biashara kitu ambacho huko nyuma hakikuwezekana kabisa...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Hatimaye Serikali umeamua kufungua kiwanda kikubwa na cha kisasa cha kusindika mbogamboga maana sasa hivi akina mama wengi wanafunga mboga zao, Serikali imeamua kuboresha na kuandaa kiwanda...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari za Jumapili ndugu wa JF Mliowahi misa ya saa 12 punde mtarejea. Na wale wa saa 3 jiandaeni. Na wale wa sala kila siku naimani mmeipata ya alfajiri kwa uwezo wake Mungu Mkuu Aliyejuu. The...
28 Reactions
40 Replies
6K Views
Habari wanajamvi, Kutokana na ugumu wa ajira mtaani baada ya kugraduate nimefikiria nikapata wazo la kufungua bookshop hapa mtaani kwetu. Soko la vitabu lipo maana kuna shule,makanisa na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Street vending business is important for the economy and the livelihood of the poor less educated people in developing countries, as it provides employment, and a means for survival. However...
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Habari Tanzania! Leo naomba nilete mada inayohusu changamoto zinazojitokeza katika Mazao ya Kimkakati yanayolimwa katika mikoa mbalimbali kama vile: Korosho, Chai, Kahawa, Alizeti, Mawese...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Back
Top Bottom