Habari wadau wa JF,
Naomba kufahamishwa makadirio ya kodi kwa mwezi kwa mawakala wa huduma za kifedha kwa mitandao ya simu mfano M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money n.k
Mfano mtaji wa laki tano kwa...
Habarini za jioni wakuu, binafsi niko poa kabisa.
Ndugu zangu, naombeni msaada wa namna ya kupata mawasiliano ya wakala wa Kampuni ya Kikuu Kanda ya Ziwa hasa hasa mkoa wa Shinyanga.
Nina mzigo...
Habari zenu ndugu,
M ni kijana ambaye nmekuwa na mawazo ya kufanya biashara ya nguo kwa mda sasa, nlikuwa naomba ushauri kwa wazoefu wa biashara wanaofanya mikoani, na sehem wanapozitoa, na kwa...
Kampuni ya mawasiliano ya vodacom imesaini mkataba na Remmit world ili kuwawezesha watumiaji wa vodacom m-pesa kuweza kupokea fedha kutoka mataifa 50 bila usumbufu wa kupitia bank,sasa wale wazee...
DAY 1.
Kwa Leo acha nianze kuelezea styli hizi za ufanyaji wa biashara kwa upande zaidi wa cryptocurrency na stock pamoja na mikakati.Japo siwezi kumaliza zote kwa Siku ya Leo.acha tuanze na hizi...
Nimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke.
Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku?
Nataka nijiajiri.
Hapa nina...
Na kama nikiweza basi I can make it through any year.
Sijui kama hili ni jukwaa sahihi, lakini nahisi ni hivyo.
Wakuu shida hazizoeleki, shida zinatweza utu wa mtu, yaani shida zinaweza...
Habari ndugu zanguni,
Najua humu kuna watu wamadaraja tofauti tofauti. Vilevile natambua uwepo wa madaraja yote hayo na mimi pia ni miongoni mwao katika moja ya madaraja. Hapa naongelea madaraja...
I salute y'all!
Ndugu zangu, miaka kadhaa sasa nilikua na sera binafsi ya uwekezaji katika maarifa hasa katika kusoma vitabu na kujifunza vitu ambavyo kwanza sijavisoma chuoni na pili niliamini...
Watu wengi tumekuwa tukilalamika kuhusu kukosa mitaji ya kufanya biashara na kutuwezesha kujiajiri. Ukosefu wa mitaji umekuwa ni kilio cha vijana, wazee, walemavu, wakina mama na kila mtu. Hata...
Wengi tunachanganya sehemu tunazotakiwa kuwa laini ndio tunakuwa wagumu na sehemu tunazotakiwa kuwa wagumu ndio tunakuwa laini.
Badilika jitambue kuwa na msimamo usikubali kuyumbishwa na mawazo...
Hello friends.
I have got a brilliant idea for a product that a mobile phone telecom company (Eg. Vodacom, Tigo Tanzania, Vodafone, ViaTel, Airtel) can introduce, which will likely be copied by...
Gates ampiku Bezos na kuwa mtu tajiri zaidi dunia
Boss Jeff Bezos alimpiku kwa muda mchache Bill Gates kama mtu tajiri zaidi duniani siku ya Alhamisi kufuatia kupanda kwa hisa za mfanyibiashara...
Habari Wakuu,
Namependa aina ya biashara ya kufuga ng'ombe. Mimi ni kijana wa miaka 29 ninatamani kupata utaalamu wa kufuga ng'ombe ila sijui nianzie wapi kuanzia;
- Aina ya Ng'ombe
- Muda wa...
Waungwana wenzangu. A salaam aleykhum.
Napenda kuchukua mkopo aidha TALA au BRANCH. ni wapi kati ya hawa kuna unafuu wa interest rates.
Narudisha baada ya muda gani? Mwenye kuwajua tafadhali...
Natambua kwamba kuna watu wengi ambao wangependa kuwa wafanyabiashara, wajasiriamali au hata wawekezaji. Pia wapo wengi ambao pamoja na kutamani hayo yote bado wanakuwa na changamoto ya kupata...
Habari,
Wengi wameenda Business school, wamesoma uchumi, wamesoma marketing na wengine wamefanya mpaka PhD katika maeneo ya biashara lakini bado wanapokuja katika real life situation wanajikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.