Ukipita maeneo ya lango kuu la nchi yetu maeneo ya bandari hali sio hali, yaani ni shughuli mwanzo mwisho pamoja na mamlaka husika kufanya kazi usiku na mchana, meli ni nyingi hakuna mfano,yaani...
Ninachojua kwa hakika sitakufa maskini.
Mungu akinijalia uhai na baraka zake nitahakikisha kabla sijafikisha miaka 28 niwe na mihela kibao.
Even if odds are not in my side, at least niwe na...
Habari wataalamu.
Nina miaka kama 10 nimekuwa nazunguka migodini kuchimba madini ya dhahabu bila mafanikio.
Nimepoteza kiasi cha sh.M.6.5 katika Maeneo ya Musoma Bhuhemba, Nyarugusu Stamico...
habari wakuu!
ninapozungmzia mtandaoni na maanisha search engines kama vile Google,Bing,yahoo,Ask,Websiteas,Blogs na mitandao ya kijamii kama vile Facebook,Twitter n.k.
je hivi kuna umuhimu...
Wakuu Malila, Chasha, Kubota, CONSULT, Mrimi, Franky, mito, Nyenyere, Mvaa Tai, MILLIONS MOVEMENT naomba ambaye ameanza kufuga hawa ndege atushirikishe maendeleo na matokeo...
Nauza sungura wakisasa newzealand white,chinchilla na dutch mmoja 30000 nipo Mbezi Makabe Dar es salaam
Wapo wengi wanafaa kwa ajili ya nyama na ufugaji
Kwa mawasiliano 0753534514
Kama una simu na uko Dodoma naomba niuzie nimekwama kabisa. Masharti, uwe tayari kwenda kuandikisha polisi au kwa mwenyekiti wa mtaa au kwa mwanasheria kuwa tumeuziana simu.
Tecno Air, Tecno...
Wakuu hii ni kwa ushauri tu kwa mtu kama mimi na kwa niaba ya ma Diaspora wengine ambao kwa hiari yetu tumeamua kurudi nyumbani kwa sababu ka umri kameenda kimtindo halafu tunazubaa tu kwenye nchi...
Habari wakuu naomba msaada wa kufahamu makampuni yanayohusika na usafirishaji wa bidhaa kutoka huko ughaibuni kama china yanatumika na haya makampuni kama kikuu hadi bidhaa inamfikia mteja kwa...
Inasikitisha sana wadau lakini ndio katika kupambana na maisha si lelemama.
Ni hivi baada ya kelele za muda mrefu za maboss wetu wenye asili ya Asia.
Nimejipanga 2020 niachane nayo na nitafute...
Ameandika MASANJA MKANDAMIZAJI
AKILI YAKO UTAJIRI WAKO:
Lakini , Laki Tano hii ina uwezo wa kukodi shamba Ekari 13 pale Kiteto au Mpwapwa na ikakutengenezea Million 15 baada ya Miezi MITATU kwa...
Habari waungwana!!
Mimi ni kijana niliyehitimu elimu ya juu. Kutokana na changamoto za ajira niliamua kujiajiri kwa kufungua biashara Mpesa (Tigo, Airtel nk) kwa kutumia kiasi kidogo cha pesa...
Habari wana Jf, nina mpenz wangu ambaye hana shughuli yoyote ya kumpatia kipato na kawa tegemezi sana sasa nina taka kumfungulia biashara ya kuuza pochi za kike za mtumba, tatizo sina connection...
Niliamua kufa ili niishi!
Nimekutana na vijana wengi na kugundua kuwa wengi hawajamaanisha. Umewahi kudhamiria kitu kwa kumaanisha na kujitoa bila kuogopa chochote wala yeyote?
Watu tuliokulia...
Habari Wakuu!
Wakuu naomba kufahamu kwa undani biashara hii tukianzia na mtaji wake ambapo ni kununua chombo cha usafiri, uendeshwaji wake, faida zake, changamoto zilizopo!
Nina imani humu ndani...
Jamani hodi!
Wanajamvi sote tunafahamu hali ya uchumi ilivyo. Nisaidieni mawazo nimetapeliwa, ilikuwa hivi:
Kuna dogo tuliongea biashara ya dagaa, akaniambia dagaa wanalipa ila mtaji tu ndio...
[emoji457]Mambo ma 5 kwanini watu hawa nunui
1. Hawana uhitaji wa unacho uza.
Kama mtu hana huitaji wa unacho uza hawezi kununua.
[emoji419]Kama mjasiririamali unahitajika kumfanya mtu awe na...
Kama mnavyojua nchi zetu masikini vitu vingi tunaagiza nje, ukiangalia pesa tunazowapa Dubai, China, Japan etc kwa ajili ya kununua bidhaa zao ni nyingi sana kuanzia magari, electronics na...
Naomba ushauri nataka kujua vitu gan vinahitajika kwa ajili ya kiwanda kidogo cha kusindika maziwa na product zake zingine na mtaji ni sh ngapi inabid nitafute maana nataka nianze na iyo ila plan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.