Jana CEO wa ATCL amesema shirika lake liko katika mipango ya kufanya baadhi ya huduma lenyewe bila kutumia wakala, na kati ya huduma hizo ni ile ya chakula na vinywaji ndani ya ndege.
Matindi...
Wakuu ni biashara gani ndogo yenye mtaji kuanzia 30k mpaka 100k anayoweza kufanya mwanachuo na ikampa kipato??
Napata shida nawaza nijiingize kwenye shughuli gani nipate kipato??
Sent using Jamii...
Ni kweli serikali inataka faida ili irudishe pesa iliyotumika kununulia ndege 8. Lakini bei ya ticket bado zipo juu sana.
Hivyo mjitahidi kufanya kama ilivyokuwa Fastjet ili kila Mtanzania afaidi.
Greetings everybody!
Ni tumaini langu weekend yako inaenda vizuri.
Leo tunakutana tena ambapo kama ada nakupatia darasa muhimu kabisa katika eneo la online money making.
Leo nataka nikuonyeshe...
Nawasalimu ndugu wakubwa na wadogo pia
Naomba mnifahamishe kuhusu mashamba ambayo hayajapimwa.
Je kuna athari gani ya kununua shamba ambalo halijapimwa na serikali?
Mfano
Umenunua shamba huko...
Salute,
Naomba nianze kwa kunukuu na kunukuu baadhi ya mistari kwenye vitabu vya dini
"Mwanume utakula kwa jasho"
"Ewe mvivu mwendee chungu"
" Asiye fanya kazi na asile"
"Hapa kazi tu"
Okay...
UNALETA USOMI MTAANI? UTAKUFA MASIKINI..!!
Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa. Katika miji na maeneo yote; wenye...
Ndugu wapendwa mimi ni kijana mwenye uchu wa maendeleo,ninapatikana Dar es salaam nataka nifungue office ya kutengeneza alluminium,Mm si fundi bali nataka kuajiri mafundi na niwalipe kulingana na...
Nina mpango wa kuanza kufanya biashara na mtaji minimum 1.5M ila kwasasa sina asije kukuongopea mtu eti mtaji sio lazima pesa uwongo, yaani nimekaa nimepiga mahesabu jinsi yakupata icho kihasi...
Rafiki yangu mpendwa,
Hadithi za watu waliofanikiwa huwa zinatupa hamasa kubwa sana kwamba hata sisi pia tunaweza kufanikiwa. Huwa zinatupa ile hali kwamba kwani wao waweze wana nini na sisi...
Nimepata kuona baiskeli nzuri Toka Johannesburg South Africa. Kwa wenyeji na wajuzi nahitaji kusafirisha zije dsm.
He ni njia zipi. Au Nani freight forwarder wa mzigo Toka gauteng mpaka dsm. Bei...
Salam kwenu nyote.
Wakuu kuna rafiki yangu yupo Nyanda za Juu Kusini huko anafanya biashara. Last week alinipigia simu na kunijulisha kwamba amefuatilia sana till ya MPESA iliyo katika jina lake...
Watu wengi wanatafuta mahali salama kwa ajili ya kuendeleza ama kuanza biashara. Kuanza biashara si kazi ndogo kuendeleza biashara ni kazi rahisi (kuliko kuanza).
MSINGI
+siwezi kutumia maneno...
Mshahara ni malipo/ujira anaopokea mtu baada ya kutekeleza majukumu yako katika kipindi fulani kwa mujibu wa makubaliano.
Mshahara unaweza kuwa mkubwa au mdogo kwa kulinganisha kiwango cha...
Kwanza nianze kwa kusema kwamba kuajiriwa sio vibaya,kufanya kazi kuajiriwa sio kosa,wala kuishi kwa mshahara sio dhambi.Watu wengi huwa wanakuwa na tafsiri mbaya sana wanpoona watu tunahamasisha...
Habarini wana forum,
Mimi ni mfanyabiashara. Nipo kwenye kundi la wafanyabiashara wadogo kwani nina duka linauza vifaa vya umeme, hasa umeme wa solar. Ninauza battery ya solar, solar panels...
Katika andiko hili napenda kuzungumzia kuhusu kitu kinaitwa Profil and Loss statement (P&L) kwa wahasibu.
Kwa wenye ujunzi kidogo wa Uhasibu wanaelewa maana ya P&L na umuhimu wake katika...
Habari Tanzania!
Umewahi kujiuliza ni kwa kiwango gani Ushauri wa Kitaalam (Consultancy) ni muhimu katika uanzishaji, endelezaji na kufanikisha shughuli zetu za Kibiashara, Miradi mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.