Katika maisha kila mtu anapenda afanikiwe na kuweza kukidhi mahitaji yetu ya kila siku. Leo naongea na wewe ambae unawaza siwezi kufanya biashara sababu sina mtaji kwa kutoa uzoefu wangu mdogo...
Wadau mimi ni mfanya biashara, nina duka la jumla la mahitaji ya nyumbani lakini kwa kuwa nimefanya mda mrefu nimechoka. Kwa kuwa nashinda dukani mwenyewe natamani nifunge hili duka halafu ninunue...
Niliomba kufahamu Gharama za kuanzisha Kiwanda kusaga nafaka,Yaani Mashine ya kukoboa mahindi complete,mashine ya kusaga mahindi complete na Mashine ya kukoboa Mpunga.Naomba kujuia gharama na pia...
Mheshima Rais wa Tanzania amesema jambo jema kuwa hataingilia bei ya mazao ya wakulima wanyonge na kuwachombeza kuwa sasa ndio wakati wa kuwalangua wale wasiolima.
Hofu yangu ni kuwa waliona...
Kwa wale mliowahi kulima mahindi mnalijua hili utapata faida nzuri,pale tu ambapo wewe umepata wenzio hawajapata. Kwa lugha rahisi kabisa, mahindi hupanda bei kukiwa na uhaba na kwa muktadha...
No matter the size of the business there is always a room for improvement.
Business restructuring is the process of addressing efficiencies; cost-wise and operational wise with objective of...
Nimekuwa nikijaribu kupitia pitia mitandaoni nikitaka kujua ukweli juu ya biashara hii ya tax kwa njia ya mtandao kwasababu nafikiria kuingia huko.
Nimekuwa pia nikitafuta madereva wa kazi hizo...
Habarini wanajf, mimi nimjasiriamali ninabiashara ambayo ninaifanya yaani nimejiajiri. Biashara ninaifanya kwenye kibanda chachuma ambacho nilikichongesha
Niende kwenye dhumuni lahuu uzi, Leo...
Mambo 13 kuhusu pesa ambayo unapaswa kuzingatia
1. Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba...
Blessed Saturday everybody!
Leo kama kawaida nipo hapa kukupatia darasa litakalokusaidia kuongeza maarifa ili upate pesa ukifanya kazi kama Online freelancer.
Hapo nimetumia neno maarifa...
Mo anatoa ushauri wa kufanikiwa kwa watu, watu wanamwambia yeye pesa kazikuta bana asilete ushauri wake hizo njia zisingefanya chochote angezaliwa kwa kina sisi.
Hawa matajiri kama MO hivi...
Habari wakuu..
Naomba msaada was mawazo yenu katika kufanikisha wazo langu..
Nina wazo la kutoa huduma ya masoko kwa kampuni ndogo na kubwa( ingawa si wazo geni)
Mimi ninachowaza ni kufanya kazi...
Hello friend i hope mko poa. Naomba ushauri juu ya wazo langu.
Kuna fursa nimeiona kitaa kuna tatizo la kutoa/kutuma pesa kwenda mtandao mwingine. Sababu ya tatizo hilo ni baadhi ya maeneo kuwa...
Habari wana JF.
Mimi natakiwa hivi sasa kutumiwa kifurushi cha zawadi kutoka nje ya nchi, kwa hiyo nimempa mtumaji Sanduku la Posta.
Je, ni sahihi na inaweza kunifikia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.